Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Ulichoandika umeandika kwa jazba plus matusi, sisi wazee huwa hatujibu kwa ujinga na utoto.

Nakusahihisha kuwa kusahau nguvu ya serikali ndiyo iliyowezesha kufanikisha hilo na elewa pasipo serikali ya wananchi hakuna lolote mwananchi anafanya yeye kama yeye.

POLE SANA.
Mwambie uyo mtoto wa mama siyo fighter kula kulala hajui chochote uyo akili zake Ni zero Ni kichwa maji uyo kaka
 
Nadhani hii Myopic Thinking ndio imefanya dunia tumekuwa duni (Yaani mtu wa Asia anakuwa mchoyo na kuvutia kwake, mtu wa Europa na America hali kadhalika) wakati hii dunia ni moja na viumbe wote tunategemeana..

Na ndio hilo linafanya Africa Tusiendelee wala kuwa wamoja sababu kila mtu anajali nchi yake na sio wengine (Ni kama unajali chumbani kwako unafanya sebuleni ni Jalala)

Hali kadhalika inafanya East Africa tusifike mbali sababu Mkenya anajiona mjanja na kumuonea wivu Mtanzania wala hataki haendelee wakati anasahau chakula anacholima ni yeye anakula na siku likisanuka huko ni huku atakimbilia

Vilevile same thinking inafanya fulani aibe rasilimali za taifa ili eti apeleke kwao au anajenga kwao au huku ni kwetu anasahau kwamba hii nchi ni moja wala hauhitaji passport kujenga wala kwenda popote..., (Yaani ni kama unajifanya mjanja eti kukomoa miguu unaenda Gym unafanya mazoezi ya Pua na Vidole pekee) Kumbe unajiharibu sura kwa kuwa na Pua Kubwa kuzidi Miguu
 
Nyege zako mpelekee mke wako ingiac kwenye mada unajibu hoja Kama umevimbiwa maparachichi nenda Kanye kwanza Ndio urudi akili itakukaa Sawa unesizi we kwa mvumbio wa maparachichi
😂😂😂Matusi kibao unatukana mtu humjui inaonyesha kwa kiasi gani hauna exposure ni keyword warrior ...ujanja uko wpi na kwenu 90% mko ivyo kwamba ni vichwa empty
 
Wewe dada unafahamu unachosimamia?

Nakukumbusha tena hoja hapa ni rahisi tu.

Kwanini serikali inapuuzia arusha?

Je, hiyo inafanya mimi nionekane nachukia wananchi masikini wanaoishi sehemu nyingine Tanzania?

Wakazi wa arusha kudai huduma bora za kijamii na kiuchumi hiyo haimaanishi tunawachukia watu wa Dodoma au Dar es Salaam au Mara.
Upo sahihi sisi tunajitambua Ndio maana tunadai haki zetu ambazo tunaona wazi kuwa SERIKALI inazihujumu kimaksudi Tena mbaya zaidi kila kukicha serikali Ndio inazidi kufanya mikakati ya kuibagua na kututenga Arusha pekee ake na c mkoa mwengine Sasa uyu taahira ambaye hajitambui anataka akili zetu zifanane na zake za kijinga za kutozitambua haki zake pale anapoona wazi anahujumiwa ,over
 
Kama Ndio tunatengwa na kubaguliwa kiasi hiki itabidi tuizindue Republic of Arusha (USA)~United state of Arusha tujitegemee vizuri na Resources zetu za Arusha zinatutosha kabisa km serikali inatuhujumu kias hiki ,inakuwaje jiji la KITALII km wanavyo liita hata uwanja wa ndege wa kimataifa hakina lakini wakati huo huo viwanja vya ndege vinajengwa mikoa mingine kila kukicha hata stendi ,tu ya kisasa hakuna Ila Cha ajabu stendi inajengwa singida ,Arusha the hub of tourism panapotezewa tangu Uhuru mpaka Sasa km vile hawapaoni mwisho utafika tu tumechokaaa sisi
Mwisho upi? Utafanya nini? Nani alikwambia wamepasahau? Nyie mmekaliaga ubinafsi tu Wala hamna lolote la maana, mmejaa ukabila na ubinafsi afu mnakuja kulalamika, mi ninafanya kazi na nyie hapa hapa Arusha miaka zaidi ya 10,na huko makwetu tulikotoka mmekuja mmepewa viwanja mmejenga na mnaishinna familia zetu lakini bado hua mna ubaguzi na roho za gubu, washenzi nyie tena mnapaswa mtengwe mpotelee mbali
 
Arusha maeneo yote wanayoringia hayapo mkoani kwao.

Walikuwa wanaringia Tanzanite na Mererani hili eneo lipo wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara

Walikuwa wanaitaja Serengeti hii mbuga ipo Mkoa wa Manyara, Mara na Simiyu.
Sasa hivi mageti ya kuingia hifadhini yanafunguliwa Simiyu, Mara.
Pakijengwa uwanja wa kisasa wa Ndege Mwanza ujue Arusha inazikwa.
Kwa sababu ni karibu zaidi kutoka Mwanza kwenda Serengeti kuliko Arusha.

Mlima Kilimanjaro upo mkoa Mwingine yaani Moshi.

Hivyo unagundua Arusha itazidi kunywea baada ya miaka 15 ijayo.

Watake wasitake
Hawatakagi ukweli, wamekaliaga ubaguzi tu ngoja wakome
 
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu unique ambayo Ni POTENTIAL yenye Resources Adimu sana Sana kwa nchi hii hata Mwanza haikaribii ARUSHA kimapato hata kidogo nadhani hili mwalifahamu uzuuri.

Natumai mu wazima nyote humu ndani poleni na majukumu , Naomba mrejee kichwa Cha habari hapo juu hiyo Ndio mada lengwa hivyo kwa leo naomba nianze na issue ya TAKWIMU (metro area population ya Arusha city Uki search Google itakuja na kuleta idadi ya watu 519,000, yaani idadi hii inayoleta Ni idadi ya watu ya ARUSHA DC tu yaani wilaya moja tu, Kati ya wilaya zote 7, Yaani siku zote uki-search na ukitafuta data population ya Arusha city sehemu yeyote ile utaletewa jumla ya idadi ya watu hao laki 519,000 ambayo ni ya wilaya moja tu ya ARUSHA DC, lakin idadi nyingine ya watu ya hizo wilaya 7 zingine za Arusha city huwa zinaachwa pembeni hazijumlishiwi na hizo idadi za ARUSHA DC ambazo ni laki 519,000 ili kuleta idadi kamili ya metro area population ya Arusha city km inavyofanywa kwa majiji mengine km Mwanza ,au Dar Sasa huwa najuiliza Kwanini ni Arusha city pekee yake metro area population yake huwa inachukuliwa ya wilaya moja tu ya Arusha DC na kuachwa wilaya zengine 6, lakini ukiangalia City Kama Zanzibar, Dar, Mwanza na majiji mengine Metro area population yake haichukuliwi ya wilaya moja tu zinachukuliwa idadi za watu kutoka wilaya zote ili kuleta jumla kamili ya metro area population ya Mwanza, Dar na Zanzibar city na majiji mengine lakini kwa ARUSHA ni tofauti Ndio maana naona wazi ARUSHA CITY inahujumiwa Sana tu na SERIKALI na pia watu wenye wivu na ARUSHA CITY ili tu kusudi isiwe na maendeleo isipate wawekezaji lakini mbinu zote izo za hujuma za kuihujumu ARUSHA hazitafanikiwa Sababu ARUSHA resources zake za ku attract wawekezaji wa KITALII zinaonekana kwa macho bahati nzuri hao watu wenye nia ya kuihujumu ARUSHA CITY watashindwa kuzificha Wealth resources ambazo zinaonekana kwa macho na zitafanya wawekezaji waje ARUSHA kuwekeza kwenye sekta ya UTALIII na nyinginezo watake wasitake pamoja na kwamba wanafanya hujuma kila kukicha kuihujumu ARUSHA CITY kimaksudi na kuipaisha MWANZA

NA SASA HIVI WAMEANZA KUIPASHA ZANZIBAR KWA TAKWIMU za uwongo ili ety Zanzibar population ionekane ina population kubwa kuliko ARUSHA CITY, icho Ni kitu ambacho HAKIWEZEKANIKI hata kwa dawa Zanzibar ikawa na population kubwa kuliko ARUSHA CITY ispokuwa kwa watu ambao wanafkiria bila kutafakari wataliamini hili ,yaani kusema eti kwa sasa ZANZIBAR NDIO CITY Ipo mbele ya ARUSHA CITY kwa wingi wa watu huo Ni UONGO mkubwa Kama ambavyo mtu atasema kwa sasa Geita Ndio mkoa wenye idadi kubwa ya watu kuliko DAR ES SALAAM, Lakini kwa Mimi nahisi malengo ya hujuma hii kwa ARUSHA CITY Ni ya kupangwa hayajaanza leo kitambo Sana kutokana na uchunguzi niliofanya yakinifu Ni kama nilivyo elezea Apo juu ingawa ningependa pia kusikiza maoni yenu Kwanini ARUSHA CITY inahujumiwa tukianza na issue ya TAKWIMU za uwongo za metro area population hii inatokea kwa ARUSHA CITY pekee ake huwezi kukuta mkoa au City nyingine imewekwa metro area population total ya hujuma/uwongo Kama nilivyo hainisha Apo juu ,ila wadau naombeni tulenge mada tusiende opposite Mimi Ni mtanzania halisi baba yañgu Mtanzania mama mkenya Nawasilisha.

View attachment 2412647
Acha wivu na ze karafuu Island,tuko juu
 
Mwisho upi? Utafanya nini? Nani alikwambia wamepasahau? Nyie mmekaliaga ubinafsi tu Wala hamna lolote la maana, mmejaa ukabila na ubinafsi afu mnakuja kulalamika, mi ninafanya kazi na nyie hapa hapa Arusha miaka zaidi ya 10,na huko makwetu tulikotoka mmekuja mmepewa viwanja mmejenga na mnaishinna familia zetu lakini bado hua mna ubaguzi na roho za gubu, washenzi nyie tena mnapaswa mtengwe mpotelee mbali

Wewe kenge unamtishia nani?

Wakazi wa arusha hawana shida na watanzania wengine wanaishi sehemu nyingine hapa Tanzania.

Wewe unaona hali ya miundombinu ya maji, umeme, barabara, elimu ipo sawasawa?

Pumbav kabisa.
 
Ni kwasababu SERIKALI inaihujumu Arusha na kuichukia tu bila sababu za msingi Ndio maana haioni haibu kwenda kujenga Stendi mpya singida,chato,na kuiacha Arusha the second City kwa tax and revenue collector hivi kweli hii inaingia Akilini na badala yake SERIKALI inachojua Ni kukusanya mapato Arusha kwenda kujenga flyover,barabara dar na mwanza hatutakubali Tena tumechoka kuhujumiwa hatuoni wivu sehemu zengine kujengwa tunachoumia Ni Kwanini Wanatubagua Arusha pekee ake alafu ukizingatia Ni jiji potentially duniani ,na ki resources na kimapato ,ingetakiwa Arusha kuwe na stend kubwa ya kimataifa na Uwanja mkubwa wa kimataifa ili kusudi watalii wakitoka makwao wanashukia moja kwa moja Arusha na cyo kweli kuwa SERIKALI inashindwa kujenga Uwanja wa ndege wa kimataifa Arusha na Stendi kwa sababu mbona panaendelea kujengwa sehemu zengine lakin Arusha pekee ake Ndio panabaguliwa na kutengwa km vipi Kuna haja ya sisi kuunda Arusha republic ikiwa SERIKALI inaendelea kututenga ili tuijenge Arusha wenyewe
Kweni aliyekwambia Singida wao hawataki hiyo stand ni nani? Kati ya Singida na Arusha ni mkoa upi unaopitisha mabasi mengi ya mikoani kama siyo Singida? Au hujui?
 
Cyo tunajifanya tunaongea ukweli sababu ya tunazitambua potentially resources Adimu ambazo zipo Arusha hazitunufaishi sisi hata tone badala yake zinaenda kunufaisha mikoa mingine hasa dar,na mwanza, alafu sisi tunaachwa yatima hatukubali huu ujinga unaofanywa na SERIKALI tupo mbioni kuform Arusha republic ,United State of Arusha ili tuijenge Arusha kwa resources zetu kwani serikali inafanya maksudi kuihujumu ARUSHA hatukubali Tena hii kitu uvumilivu umetushinda
Mkuu ni resources gani za a town zinainufaisha Rock city?
 
sasa mkuu kujitenga sio suluhisho

mipango madhubuti, weledi na uzalendo ndio unaoendeleza Taifa mkuu

inasikitisha ndiyo lakini nadhani nchi nyingi za Afrika zilishachelewa toka zilipopata uhuru nchi nyingi ziliendekeza ufisadi na kungangania madaraka badala ya kufanya maendeleo.

sasa hivi ni ngumu sana kuendelea kuwa kama wazungu.
Kaka hakuna ugumu wowote penye ,Nia ,umoja,sisi watu wa Arusha hatuna tabia ya uwoga ety kuogopa kufa ,ety kuogopa chombo Cha Moto ,ety kuhofia risasi ,huu uwoga Arusha haupogo tukiamua jambo letu lazima tulifanye hatumwogopi kidudu mtu yeyote huwa tunamwogopa Mungu tuuuu,sisi Wana Arusha wenyewe Ni masoldiers tunao uwezo wa kuikomboa Arusha yetu wenyewe bila msaada wa mtu yeyote Yule na kuunda Arusha republic yetu USA(UNITED STATE OF ARUSHA),OVER
 
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu unique ambayo Ni POTENTIAL yenye Resources Adimu sana Sana kwa nchi hii hata Mwanza haikaribii ARUSHA kimapato hata kidogo nadhani hili mwalifahamu uzuuri.

Natumai mu wazima nyote humu ndani poleni na majukumu , Naomba mrejee kichwa Cha habari hapo juu hiyo Ndio mada lengwa hivyo kwa leo naomba nianze na issue ya TAKWIMU (metro area population ya Arusha city Uki search Google itakuja na kuleta idadi ya watu 519,000, yaani idadi hii inayoleta Ni idadi ya watu ya ARUSHA DC tu yaani wilaya moja tu, Kati ya wilaya zote 7, Yaani siku zote uki-search na ukitafuta data population ya Arusha city sehemu yeyote ile utaletewa jumla ya idadi ya watu hao laki 519,000 ambayo ni ya wilaya moja tu ya ARUSHA DC, lakin idadi nyingine ya watu ya hizo wilaya 7 zingine za Arusha city huwa zinaachwa pembeni hazijumlishiwi na hizo idadi za ARUSHA DC ambazo ni laki 519,000 ili kuleta idadi kamili ya metro area population ya Arusha city km inavyofanywa kwa majiji mengine km Mwanza ,au Dar Sasa huwa najuiliza Kwanini ni Arusha city pekee yake metro area population yake huwa inachukuliwa ya wilaya moja tu ya Arusha DC na kuachwa wilaya zengine 6, lakini ukiangalia City Kama Zanzibar, Dar, Mwanza na majiji mengine Metro area population yake haichukuliwi ya wilaya moja tu zinachukuliwa idadi za watu kutoka wilaya zote ili kuleta jumla kamili ya metro area population ya Mwanza, Dar na Zanzibar city na majiji mengine lakini kwa ARUSHA ni tofauti Ndio maana naona wazi ARUSHA CITY inahujumiwa Sana tu na SERIKALI na pia watu wenye wivu na ARUSHA CITY ili tu kusudi isiwe na maendeleo isipate wawekezaji lakini mbinu zote izo za hujuma za kuihujumu ARUSHA hazitafanikiwa Sababu ARUSHA resources zake za ku attract wawekezaji wa KITALII zinaonekana kwa macho bahati nzuri hao watu wenye nia ya kuihujumu ARUSHA CITY watashindwa kuzificha Wealth resources ambazo zinaonekana kwa macho na zitafanya wawekezaji waje ARUSHA kuwekeza kwenye sekta ya UTALIII na nyinginezo watake wasitake pamoja na kwamba wanafanya hujuma kila kukicha kuihujumu ARUSHA CITY kimaksudi na kuipaisha MWANZA

NA SASA HIVI WAMEANZA KUIPASHA ZANZIBAR KWA TAKWIMU za uwongo ili ety Zanzibar population ionekane ina population kubwa kuliko ARUSHA CITY, icho Ni kitu ambacho HAKIWEZEKANIKI hata kwa dawa Zanzibar ikawa na population kubwa kuliko ARUSHA CITY ispokuwa kwa watu ambao wanafkiria bila kutafakari wataliamini hili ,yaani kusema eti kwa sasa ZANZIBAR NDIO CITY Ipo mbele ya ARUSHA CITY kwa wingi wa watu huo Ni UONGO mkubwa Kama ambavyo mtu atasema kwa sasa Geita Ndio mkoa wenye idadi kubwa ya watu kuliko DAR ES SALAAM, Lakini kwa Mimi nahisi malengo ya hujuma hii kwa ARUSHA CITY Ni ya kupangwa hayajaanza leo kitambo Sana kutokana na uchunguzi niliofanya yakinifu Ni kama nilivyo elezea Apo juu ingawa ningependa pia kusikiza maoni yenu Kwanini ARUSHA CITY inahujumiwa tukianza na issue ya TAKWIMU za uwongo za metro area population hii inatokea kwa ARUSHA CITY pekee ake huwezi kukuta mkoa au City nyingine imewekwa metro area population total ya hujuma/uwongo Kama nilivyo hainisha Apo juu ,ila wadau naombeni tulenge mada tusiende opposite Mimi Ni mtanzania halisi baba yañgu Mtanzania mama mkenya Nawasilisha.

View attachment 2412647
Una afutatu hapo ?
Nikusaidie kukuza jina la Arusha city.
 
Mkuu ni resources gani za a town zinainufaisha Rock city?
Acha uzumbukuku punguani mmoja inatosha kulitambua hili kwa kigezo Cha revenue ,and tax collection ,Arusha city Ni namba 2,baada ya Dar,na nyie mwanza kwanza Kilimanjaro tu inawakaribia bado kidogo Sana iwapite ,najua ukweli unaujua sema unajichetua Sasa jibu Ni hili izo mapato zote zinazokusanywa Arusha ,haziijengi Arusha ata tone je zinaenda kujenga wapi,Kama cyo dar,over
 
Ndio tunawapa iyo serikali ya kibaguzi taarifa na nyie wenyew mjue hili soon the Arusha republic itaundwa ,(USA)~UNITED STATE OF ARUSHA ,Over

Arusha republic haizuiliki.

Haiwezekani miaka na miaka hawa wanajiita serikali hakuna cha maana wanafanya na wanachukua billions kwenye kodi.

Unatembea na gari kali Lakini barabara mbovu kama tupo mwaka 1800, unarudi home unakuta umeme wamekata. Hii haikubaliki hata kidogo.
 
Nadhani hii Myopic Thinking ndio imefanya dunia tumekuwa duni (Yaani mtu wa Asia anakuwa mchoyo na kuvutia kwake, mtu wa Europa na America hali kadhalika) wakati hii dunia ni moja na viumbe wote tunategemeana..

Na ndio hilo linafanya Africa Tusiendelee wala kuwa wamoja sababu kila mtu anajali nchi yake na sio wengine (Ni kama unajali chumbani kwako unafanya sebuleni ni Jalala)

Hali kadhalika inafanya East Africa tusifike mbali sababu Mkenya anajiona mjanja na kumuonea wivu Mtanzania wala hataki haendelee wakati anasahau chakula anacholima ni yeye anakula na siku likisanuka huko ni huku atakimbilia

Vilevile same thinking inafanya fulani aibe rasilimali za taifa ili eti apeleke kwao au anajenga kwao au huku ni kwetu anasahau kwamba hii nchi ni moja wala hauhitaji passport kujenga wala kwenda popote..., (Yaani ni kama unajifanya mjanja eti kukomoa miguu unaenda Gym unafanya mazoezi ya Pua na Vidole pekee) Kumbe unajiharibu sura kwa kuwa na Pua Kubwa kuzidi Miguu
Yaani kaka kwa hii tz .Mimi naona tangu tupate Uhuru mpaka Sasa kiongozi ambaye kiukweli na cyo kinafki aliyekuwa mzalendo,acye na hila,acye na ubaguzi Ni nyerere pekee ake ,over
 
Arusha republic haizuiliki.

Haiwezekani miaka na miaka hawa wanajiita serikali hakuna cha maana wanafanya na wanachukua billions kwenye kodi.

Unatembea na gari kali Lakini barabara mbovu kama tupo mwaka 1800, unarudi home unakuta umeme wamekata. Hii haikubaliki hata kidogo.
Big up kaka unajitambua hatuwez kumbatia serikali ya kibaguzi Ni Bora ungekuwa tumetawaliwa na kaburu tujue moja kuliko kutawaliwa na mkoloni mweusi hii Ndio mbaya zaidi Arusha sisi wenyew Ni ma soldiers hatuogopi mtu yeyote anaitwa mwanadamu ,ata awe roboti ,ata iwe risasi kwetu sisi hatuogopi chochote sisi Ni ma soldiers hapa kifuatacho Ni Arusha republic (USA),UNITED STATE OF ARUSHA ,haturudi nyuma ,hakuna chochote kinaitwa cjui silaha za Moto,cjui bomu ety wakifkiri kitaturudisha nyuma ivyo vitu kwetu Ni uchafu tu hatuogopi lazima tuikomboe Arusha ,lazima,lazima over
 
Back
Top Bottom