Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

😂😂😂Matusi kibao unatukana mtu humjui inaonyesha kwa kiasi gani hauna exposure ni keyword warrior ...ujanja uko wpi na kwenu 90% mko ivyo kwamba ni vichwa empty
Utake uctake sisi Arusha Ni ma soldiers hatuogopi mtu anaitwa binadamu ,au kitu kinaitwa chombo Cha Moto kwetu sisi izo Ni uchafu sisi tunamwogopa Mungu pekee baasi hakuna kingine kitatuzuia ma soldiers wa Arusha kuitokomeza serikali ya kibaguzi ya mkoloni mweusi na kuunda ,The Arusha republic tupo tayar kupambana na yeyote atayejaribu kutuzuia kutimiza ndoto yetu ya ,the Arusha republic ama zetu ama zao,over soon ,over
 
Kweni aliyekwambia Singida wao hawataki hiyo stand ni nani? Kati ya Singida na Arusha ni mkoa upi unaopitisha mabasi mengi ya mikoani kama siyo Singida? Au hujui?
Wewe na SERIKALI y'ako ya kibaguzi ya mkoloni mweusi mtake msitake ma soldiers wa Arusha nzima lazima tutafanya jambo litatimia na resources zetu potentially unique dunia nzima zitatunufaisha kihalali ,hatuogopi binadamu yeyote anayetembea ,au roboti yoyote,au silaha yeyote tumechokaaaa,tumeamua ,the Arusha republic (USA),UNITED STATE OF ARUSHA ,OVER SOON GOD BLESS US
 
Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.

Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyew
Yaani awa mambanga wamesha tuhujumu vya kutosha toka Uhuru Sasa mwisho wao unafika hawana Nia ya kubadilika kwani tuliamua kutulia kuvunga tuone km wataanza kuijenga Arusha lakin bado Nia hiyo hawanq Sasa sisi ma soldiers wa Arusha tumeamua wenyew kupambana kuikomboa Arusha yetu ,kifuatacho cyo kingine Bali Ni ,The Arusha republic (USA),UNITED STATE OF ARUSHA ,hatumwogopi binadamu yoyote km sisi ata angekuwa na sura ya Simba kwetu sisi ma soldiers wa Arusha cyo chochote Ni hewa hakuna wakutuzuia kamwe na atakaye jaribu atapotea mazima,over
 
Utake uctake sisi Arusha Ni ma soldiers hatuogopi mtu anaitwa binadamu ,au kitu kinaitwa chombo Cha Moto kwetu sisi izo Ni uchafu sisi tunamwogopa Mungu pekee baasi hakuna kingine kitatuzuia ma soldiers wa Arusha kuitokomeza serikali ya kibaguzi ya mkoloni mweusi na kuunda ,The Arusha republic tupo tayar kupambana na yeyote atayejaribu kutuzuia kutimiza ndoto yetu ya ,the Arusha republic ama zetu ama zao,over soon ,over
😂😂😂Masoldiers wanavyoliwa vilemba na wazungu, Masoldiers wanageuka ombaomba ,Masoldiers wanalilia kwamba wananyanyaswa na serikali...Ebu jitambue wengi sifa za kijinga .

Kuwa mstaarabu then jua kufanya reasoning so kama kichaa.
 
Geneva Of Africa

Tatizo la watu wa Arusha ni kuichukulia Arusha km Nchi sio Arusha km Mkoa

Arusha sio Nchi mkiondoa hio mentality soon mtapata maendeleo ila mkibaki na hio mentality mtapitwa hata na Lindi sio Zanzibar tu,
Kaka hii serikali ya kibaguzi ya mkoloni mweusi imeshachelewa sisi Wana Arusha tulishaipa MDA kuingojea labda pengine itaacha ubaguzi lakini yenyew Ndio inazidi kupanga mikakati kila kukicha kuibagua Arusha,kuirudisha nyuma,hata ktk uwekezaji,Tena ifanya hivi kimaksudi Sasa na sisi ma soldiers wa Arusha wenyewe tumeamua hatuitaki Tena hii serikali ya mkoloni mweusi ya kibaguzi kitu kimoja tu Ambacho soon tunakifanya Ambacho Ni ,kuunda the Arusha republic,(USA)~YAAN UNITED STATE OF ARUSHA ,HATURUDI NYUMAAAAAH TENAAA,NA HAKUNA BINADAMU YEYOTE MWENYE UWEZO WA KUTUZUIA ATA NA TAKA TAKA YEYOTE INAIRWA CJUI RISASI,CHOMBO CHA MOTO,KWETU SISI MA SOLDIERS WA ARUSHA HUO NI UCHAFU MTU UYO TUTAMSHUHULIKIA IPASAVYO NA ATAENDA KUHADISIA UKOO WAKE
 
😂😂😂Masoldiers wanavyoliwa vilemba na wazungu, Masoldiers wanageuka ombaomba ,Masoldiers wanalilia kwamba wananyanyaswa na serikali...Ebu jitambue wengi sifa za kijinga .

Kuwa mstaarabu then jua kufanya reasoning so kama ki
Bila Shaka we na SERIKALI y'ako ya kibaguzi ya mkoloni mweusi mmevimbiwa Sasa utake uctake mtake mctake we endelea kujichetua ,sisi ma soldiers wa Arusha Ndio tumeshaamua hapa tuna wapa taarifa mfahamu kijacho Ni kipi na hakuna binadamu yeyote chini ya jua anayeweza kuizuia adhma yetu ya kuunda ,the Arusha republic (USA),The United state of Arusha ,,,over
 
Toursm kwenda wapi? Au unasemea mlima meru na momela, na bwawa duluti

Maana mkijitenga kutakuwa na restriction hamuingii mikoa yatanzania mfano manyara tarangire, ngoro ngoro pia haipo Arusha , Serengeti ndo usiseme hivo watalii watashukia manyara kutakuwa na uwanja wa kimataifa Sasa sijui hizo war bus zenu mtapeleka wapi
Acha fix wewe. Ngorongoro ipo Arusha kwa 100%, Tarangire ipo Arusha kwa 30% na sehemu ya Serengeti pia iko Mkoa wa Arusha. Manyara NP pia ipo Arusha 98% . Kama haujui ramani ya Tanzania uwe unauliza
 
Acheni ubinafsi na upumbavu mnatengwa kwa lipi au mnataka kila kitu kipelekwe kwenu je watu wa mikoa mingine wasemeje, mbona watu wa Mikoa mingine hawalii kama nyie, mnapenda sana mbeleko za kijinga.
Tuliza mshededeeh huo ucjifanye huoni kinacho endelea unaona vizuri sema unajichetua Sasa. Nkikuita kichwa maji ctakosea mbona kila kukicha dar,mwanza,miradi ya maendeleo inaenda huko hasa dar kila kukicha zunajengwa barabara mpaka uswahilin kwa mapato kutoka Arusha ,alafu Arusha sisi HAKUNA chochote kunafanyika tangu Uhuru isipokuwa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa Sasa sisi ma soldiers wa Arusha Ndio tumeshaamua kuunda ,the Arusha republic ,na hatuogopi binadamu yeyote anayefanana nasisi atakaye jaribu kutuzuia kuunda (USA),Tutamrarua rarua na kumfanya bucha
 
Tax kwa kujimilikisha serengeti national park na bado mnatoa machozi kila iitwayo leo subiri utawala wa majimbo uje ili mzidi kulia na kusaga meno.
Jaribu kutuelewa kichwa maji wewe utake uctake Serengeti kwa %60 ipo upande wa Arusha hilotunalijua ata dunia inatambua kwanza sisi hatuitambui iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweusi najua mnaumia Sana sababu mtakosa mapato makubwa Sana mliyozoea kuyaiba Arusha sisi tayar tumejiunga watu wa Arusha na Moshi ndugu wa Damu na kuunda ,the Arusha republic (USA),the United State of Arusha na soon itatambulika internationally over
 
Bila Shaka we na SERIKALI y'ako ya kibaguzi ya mkoloni mweusi mmevimbiwa Sasa utake uctake mtake mctake we endelea kujichetua ,sisi ma soldiers wa Arusha Ndio tumeshaamua hapa tuna wapa taarifa mfahamu kijacho Ni kipi na hakuna binadamu yeyote chini ya jua anayeweza kuizuia adhma yetu ya kuunda ,the Arusha republic (USA),The United state of Arusha ,,,over
Nan ni mkoloni? nyie Karne ya bado mnavaa manguo ya mtumba kutoka ulaya.
 
Mama yako mkenya Ni mkikuyu ama mkalenjini na baba yako Ni mchagga. Mana kila mtu ataandika hivi kuwa mkoa wake ama mji wake haujaliwi kwa Mambo ya maendeleo. So Naona unaleta ukenya na ukanda. Sie muasisi wa Taifa letu alitujenga kwa dhana ya umoja shida Hawa watt wake ndio wamekuja kuharibu kujitwalia Mali na miktaba feki ya kuwanufaisha.
Najua baba wa Taifa la Kenya aka Kenyatta alijitwalia ardhi nzuri ya rutuba kwa Koo yake pia na kabila lake mpaka jamaa zake wa karibu. Pia na ukabila pamoja kuwa mmesoma na kuishi nje sana. Ila hujioni wa thamani ukisema kuwa wewe Ni mkenya sifa watapata wakenya wote Hadi wajaluo ama wakurya. Inabidi useme kuwa mie Ni mkikuyu kwa ubinafsi wako wa kikabila.
Kuna mikoa ama kabila nyingi mno Tanzania kila mtu akitaka mtu wa kabila lake awe kiongozi ama waziri sijui itakuwaje
 
Jaribu kutuelewa kichwa maji wewe utake uctake Serengeti kwa %60 ipo upande wa Arusha hilotunalijua ata dunia inatambua kwanza sisi hatuitambui iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweusi najua mnaumia Sana sababu mtakosa mapato makubwa Sana mliyozoea kuyaiba Arusha sisi tayar tumejiunga watu wa Arusha na Moshi ndugu wa Damu na kuunda ,the Arusha republic (USA),the United State of Arusha na soon itatambulika internationally over
Serengeti yote ipo mkoa wa Mara labda unaongelea ngorongoro
 
Jaribu kutuelewa kichwa maji wewe utake uctake Serengeti kwa %60 ipo upande wa Arusha hilotunalijua ata dunia inatambua kwanza sisi hatuitambui iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweusi najua mnaumia Sana sababu mtakosa mapato makubwa Sana mliyozoea kuyaiba Arusha sisi tayar tumejiunga watu wa Arusha na Moshi ndugu wa Damu na kuunda ,the Arusha republic (USA),the United State of Arusha na soon itatambulika internationally over
Hakunaga watu wa Arusha na Moshi huko Ni wachaga ndio mnaosumbua. Yaani mngemezwa Kenya nadhani tz ingekuwa poa mno. Mana huko kwa ukabila na kubaguana ndio maisha yao. Mmasai ama mmeru ama mwiraqw Hana hizi Mambo bana. Usitake kuwaongelea wote.kuna wamanga'ati watu POA mno na mbabargaig Hana hizi swaga
 
Tatizo ni siasa, Arusha miaka mingi imekuwa ikionekana kama jiji la upinzani, hivyo serikali ya CCM huacha kupeleka maendeleo makusudi ili wapinzani waonekane hawana msaada wowote kwa wananchi.
Iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweusi sisi watu wa Arusha huwa hatuitambuagi sisi huwa tunawaonaga tu nyie Ni wakoloni weusi mnao ngangania kututawala kinguvu wakati sisi hatupo tayari hatuwatiki ili kusudi mtuibie revenue na tax kutoka kwenye potential resources zetu ambazo Mungu ameibariki nazo watu wa Arusha na Moshi ,Sasa sisi tumeamua mda Sana tayari tumejiunga watu wa Arusha na Moshi ,kuunda ,the Arusha republic tuwe na (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA,ili tuijenge Arusha na Moshi wenyewe sababu serikali ya kibaguzi inatubagua kila kukicha soon ,tutafanikisha hili
 
Stand yao hapo Kilombero kipindi cha mvua ni kama watu wanashukia mtoni hapo Stand kubwa ipo kiujanja ujanja tuu...Arusha kwa mapato inayoingiza sio kwa stand zilizopo yaani sioni kazi ya Jiji Arusha ni ujanja ujanja tu pamoja na magari yao ya Taka yenyewe Taka tosha...
 
Hakunaga watu wa Arusha na Moshi huko Ni wachaga ndio mnaosumbua. Yaani mngemezwa Kenya nadhani tz ingekuwa poa mno. Mana huko kwa ukabila na kubaguana ndio maisha yao. Mmasai ama mmeru ama mwiraqw Hana hizi Mambo bana. Usitake kuwaongelea wote.kuna wamanga'ati watu POA mno na mbabargaig Hana hizi swaga
We kichwa maji upo mwanza huko ushambani kwa wasukuma wenzio kwahiyo ckulaumu sababu we hujui kinachoendelea Arusha na Moshi sababu haupo huku kwahiyo usidandie gari kwa mbele utahaibika funga domo lako ngosha wa kisukuma ww mwenye akili finyu usiye tambua haki zako kwanza hakunaga msukuma anayezitambua haki zake kamwe kwahiyo hunisumbui
 
Naona ego anafanya kazi yake sio wewe, nakuomba muombe mhamie Kenya mtaishi kwa amani. Huko wanatambua haki zao. Ingia roads kuziomba mangi mbona unaongelea mtandaoni. Wewe mjanja umesoma una hela unafanya biashara kubwa kubwa tu na kila dunia upo sehemu yoyote. Nadhani hata sayari ya Jupiter mpo huko mnapigana. Hamieni huko tuacheni nchi yetu vyasaka na vishoia bana.
Mnatusumbua mno mlijua wengine hawatasomaga milele enzi umeme unapelekwa mpaka mgombani eti tumesoma kumbe mlifurahia kupendelews na viongozi wenu waliowekwa saivi wasomi nyomi adi kuku akasoma hakuna Tena unadai haki zako.
Huko mtwara unajua Wana shule ngapi,kigoma unajua wanafunzi ama wamama wajazito wanajifungulia mazingira gani. Ama upo na USA yako
 
Nan ni mkoloni? nyie Karne ya bado mnavaa manguo ya mtumba kutoka ulaya.
Habari imewafikia wewe kichwa maji na SERIKALI y'ako ya kibaguzi ya mkoloni mweusi usiyejua haki zako Sasa sisi watu wa Arusha na Moshi haki zetu tunazitambua vyema kwahiyo hatutakubali Tena kuona tunahujumiwa na Hawa wakoloni weuc wanaongangania kututawala kinguvu wakati sisi hatuwatambui soon the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA,NI muunganiko wa Moshi na Arusha kuwa republic mtake mctake imeiiishaaah iyooooh ,,over
 
Kuhusu uwanja wa ndege ni kwamba haujengwi wa kisasa na mkubwa zaidi kwasababu ya uwepo wa KIA pale moshi. Ni sawa na mtu akilalamika kwanini pwani hapajengwi uwanja wa ndege wa kisasa ilihali uwanja wa aina hyohyo upo dar es salaam.
 
Acha fix wewe. Ngorongoro ipo Arusha kwa 100%, Tarangire ipo Arusha kwa 30% na sehemu ya Serengeti pia iko Mkoa wa Arusha. Manyara NP pia ipo Arusha 98% . Kama haujui ramani ya Tanzania uwe unauliza
Hizo percent umetoa wapi binti😃 manyara iko mkoa wa manyara ova..
 
Back
Top Bottom