Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Watu wa chuga mnafeli sjui wapi , hyo point ya msingi Sana
Kaka hatujafeli tayari tumesha ungana kuform the Arusha republic (USA) ,THE UNITED STATE OF ARUSHA NA sisi na hatumwogopagi mtu anaitwa mwanadamu anayetembea km sisi Wala hatuogopagi taka taka inaitwa risasi au bomu tunamwogopaga Mungu tu sisi mapambano tunayapenda Sana tu kuikomboa Arusha na Moshi
 
View attachment 2413763
Kwa maana hakuna namna nyingine, wakikaidi ni kipigo tu.
nkupe polee kwanza wajaribu tuwaonyesheee show na mapambano ya ma soldiers wa Arusha na Moshi yalivyo Arusha na Moshi cyo km mikoa mingine iliyojaa uwoga ,sisi Ni NAMBA NYINGINE usifikir km nyie uko usukumani kwenu mna mentality za uwogo Ndio mkafikiri ata watu wa Arusha na Moshi wenye IQ kubwa Africa pia Ni waoga km nyie kwataarifa yako sisi watu wa kaskazini ukiitoa Tanga cyoh waoga Wala hatunaga roho ya uwoga sisi Ni ma soldiers Arusha na moshi hatuogopagi mtu anaitwa binadamu anayetembea km sisi ,Wala hatuogopagi kitu inaitwa risasi,bomu izo vitu kwetu tunaziona Ni takataka zinapotumika kutuzuia kufanya tunachokitaka iwapo tutakuwa tumeamua kufanya Jambo letu huwa hakunaga anayeweza kutupinga kwahiyo we kichwa maji na iyi serikali y'ako ya kibaguzi ya mkoloni mweuc msifikir kuwa ety mtaweza kutuzima kwa matisho ya ivyoh vi askari kanzu vyenu ambavyo hata huku mitaani tunavibomoa tu km kawa havina madhara wenyewe wanalielewa vagi letu tukiamua kuliamsha hawana uwezo wa kutusogelea na wakijaribu tunawafanya bucha na mto wa Damu,,,afu nikupe taarifa tu km hujui cyotujaribu tayari tumesha jaribu na hakuna aliye thubutu kutuzuia na hakuna mtu anaitwa binadamu au takataka yoyote inaitwa risasi,bomu inayowezakutuzui watu wa Arusha na Moshi kuform ,serikali yetu ya the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,UTake ctake Sawa Sawa eeeh
 
Kaka hatujafeli tayari tumesha ungana kuform the Arusha republic (USA) ,THE UNITED STATE OF ARUSHA NA sisi na hatumwogopagi mtu anaitwa mwanadamu anayetembea km sisi Wala hatuogopagi taka taka inaitwa risasi au bomu tunamwogopaga Mungu tu sisi mapambano tunayapenda Sana tu kuikomboa Arusha na Moshi
Mi npo mwanza Ila nitaunga tela , mana hii nchi ishakuwa ya watu Fulani wachache
 
Huduma mnazotaka hata huko Namtumbo, wanazihitaji. Arusha mna mapato ya ndani sidhani kama ni busara kulilia vifaa tiba?
Ndio lazima tulilie mapato yetu yanayokusanywa Arusha na Moshi yanaenda kuijenga dar ,Zanzibar sisi Arusha na Moshi tangu tupate uhuru tupo vile vile alafu unatuambia tunyamaze sisi cyo mataahira tunajitambua
 
Sasa si mfanye muondoke hapa dar muende kwenu au mnataka Yale mauaji ya kimbali...Tuwatafute tukiona meno ya kuoza ni mwendo wa parungu tu ...fanyeni muondoke maana watu wa ajabu sana jua lote mnavaa majackets Tena kweny mwendokasi ..😂😂😂

mji una idadi ndogo ya watu kumbe mko ugenini mkirudi kweny mnaweza kufika hata 3mil .ila hamtaki.

Kiuhalisia mji Mimi bila ya bahari hata ziwa moja siwezi kukubali sijui wanyama pori sina time nao na milima nije kutoka vigimbi vya miguu vya nn?

Rudini kwenu joto lipungue hapa Town.
Bila Shaka we utakuwa msukuma mshamba mmoja wa bujora mwanza kwanza nenda Kanye ziwani victora kama mlivyo zoea kunyea ziwani wanaume kwa wanawake Kisha ukaliwe kwa hao mabwana zako walio ndani ya iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc ukirudi ufunge domo lako ukalale maana unaongea pumba na haro tu huijui Arusha na Moshi kwahiyo usidandie gari kwa mbele utaumia we sawa eeeh alafu usiwachukulie easy easy watu wa Arusha na Moshi sawa eeh utafanywa hamna pumbafuu ww
 
Mi npo mwanza Ila nitaunga tela , mana hii nchi ishakuwa ya watu Fulani wachache
Tupo pamoja na ule mwiko wa hii serikali ya kibaguzi ya kinafki ya mkoloni mweuc ety kusema tz hakuna ukabila tumesha uvunja ,sababu serikali inabagua arusha na Moshi pekee ake tz nzima katika kutupatia miradi ya maendeleo km inavyofanya pengine serikali Ndio Inatufanya sisi Arusha na moshi tuukumbatie ukabila sababu wao wanafanya( UNEQUALLY DISTRIBUTION OF RESOURCES ) Na kuamua kuitupa Arusha na Moshi na kutoa huduma sehemu zengine Tena mbaya zaidi kwa kutumia mapato yanayo kusanywa Arusha na Moshi huu Ni ubatili,utaahira ,uzumbukuku,ujuha ,ushenzi unao fanywa na hii serikali iliyooza ya kibaguzi dhidi ya watu wa Arusha na moshi Ndio mana tumejitenga ,wenyew kuwa na jamhuri yetu wenyewe ,the Arusha republic ,(USA ) ,THE UNITED STATE OF ARUSHA ,mtake mctake soon itatambulika internationally na UNO KAMA nchi huru
 
Hizi ni fantasy tu. Arusha kuna shughuli nyingi za uchumi kuliko Mwanza. Ndiyo maana wanalipa kodi kubwa kuliko Mwanza kwa karibu mara 2.

Arusha ni more metropolitan kuliko Mwanza. Mwanza washamba ni wengi mno hadi kero
Hawa wasukuma washenzi kweli kweli wao kazi yao kunya kunya tu ziwa Victoria afu mbaya zaidi huwa wanakunya wanaume kwa wanawake pumbafuuuh😳☹️☹️alafu ety wanakuja kuilinganisha mwanza ya mawe na Arusha city GENEVA OF AFRICA ,THE HUB CENTER OF TOURISM ,Arusha Ni nchi ambayo inatambulika duniani pote mwanza hata Kenya ,cjui Rwanda hawaitambui mwanza hamna hadhi ya kujifananisha na Arusha city hata tone hqdhi yenu nyie Ni kigoma ,sumbawanga huko ,sawa ,imekuuma mezea kunywa maji huo Ndio ukweli
 
👉😂😂😂Na bado kabisa niache kuvaa mikito ya maana nivae mashuka ambayo hata ukipiga perfume inadunda unabaki unanuka maziwa kama kitoto cha kondooo...Hata week huku town huwezi kuvaa Yale mashuka kama mganga wa radi mpaka ukirudi porini kwenu.

Na zile ngeu mbona meno ya mbele hamna ?
We kichwa maji hacha kuarisha km unapukuchuliwa tigo hapa Rudi kwenye mada acha mipasho hapa cyo mahali pale pumbafuuuh huna Cha kuchangia funga domo
 
Sasa dada unaona sawa bus station ya mwanza kuwa mbovu?

Namna yako yakufikiri ina mawaa.

As long serikali inakusanya kodi basi haina budi wajenge bus station inayokidhi viwango.

Inamaana waTz tumekuwa namna hii? Umasikini na huduma mbovu tunaona sawa tu?
Sina maana kwamba naona sawa kwa kasoro za stendi nilizotaja ila najaribu kumkumbusha mleta mada kwamba asione kama Arusha inaonewa kutokua na miundombinu ambayo inaendana na hadhi ya jiji hilo na kwamba kuna majiji yanayoendana na jiji la arusha lakini miundombinu yake haiendani
 
Bila Shaka we utakuwa msukuma mshamba mmoja wa bujora mwanza kwanza nenda Kanye ziwani victora kama mlivyo zoea kunyea ziwani wanaume kwa wanawake Kisha ukaliwe kwa hao mabwana zako walio ndani ya iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc ukirudi ufunge domo lako ukalale maana unaongea pumba na haro tu huijui Arusha na Moshi kwahiyo usidandie gari kwa mbele utaumia we sawa eeeh alafu usiwachukulie easy easy watu wa Arusha na Moshi sawa eeh utafanywa hamna pumbafuu ww
Ondokeni town matapeli wakubwa mrudi kwenu.
 
We kichwa maji hacha kuarisha km unapukuchuliwa tigo hapa Rudi kwenye mada acha mipasho hapa cyo mahali pale pumbafuuuh huna Cha kuchangia funga domo
Hamna neno "hacha" sema "acha"

Elimu ya mchongo ya kuiba mitihani, wizi na utapeli ndo mnajua ila kichwani empty
 
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu unique ambayo Ni POTENTIAL yenye Resources Adimu sana Sana kwa nchi hii hata Mwanza haikaribii ARUSHA kimapato hata kidogo nadhani hili mwalifahamu uzuuri.

Natumai mu wazima nyote humu ndani poleni na majukumu , Naomba mrejee kichwa Cha habari hapo juu hiyo Ndio mada lengwa hivyo kwa leo naomba nianze na issue ya TAKWIMU (metro area population ya Arusha city Uki search Google itakuja na kuleta idadi ya watu 519,000, yaani idadi hii inayoleta Ni idadi ya watu ya ARUSHA DC tu yaani wilaya moja tu, Kati ya wilaya zote 7, Yaani siku zote uki-search na ukitafuta data population ya Arusha city sehemu yeyote ile utaletewa jumla ya idadi ya watu hao laki 519,000 ambayo ni ya wilaya moja tu ya ARUSHA DC, lakin idadi nyingine ya watu ya hizo wilaya 7 zingine za Arusha city huwa zinaachwa pembeni hazijumlishiwi na hizo idadi za ARUSHA DC ambazo ni laki 519,000 ili kuleta idadi kamili ya metro area population ya Arusha city km inavyofanywa kwa majiji mengine km Mwanza ,au Dar Sasa huwa najuiliza Kwanini ni Arusha city pekee yake metro area population yake huwa inachukuliwa ya wilaya moja tu ya Arusha DC na kuachwa wilaya zengine 6, lakini ukiangalia City Kama Zanzibar, Dar, Mwanza na majiji mengine Metro area population yake haichukuliwi ya wilaya moja tu zinachukuliwa idadi za watu kutoka wilaya zote ili kuleta jumla kamili ya metro area population ya Mwanza, Dar na Zanzibar city na majiji mengine lakini kwa ARUSHA ni tofauti Ndio maana naona wazi ARUSHA CITY inahujumiwa Sana tu na SERIKALI na pia watu wenye wivu na ARUSHA CITY ili tu kusudi isiwe na maendeleo isipate wawekezaji lakini mbinu zote izo za hujuma za kuihujumu ARUSHA hazitafanikiwa Sababu ARUSHA resources zake za ku attract wawekezaji wa KITALII zinaonekana kwa macho bahati nzuri hao watu wenye nia ya kuihujumu ARUSHA CITY watashindwa kuzificha Wealth resources ambazo zinaonekana kwa macho na zitafanya wawekezaji waje ARUSHA kuwekeza kwenye sekta ya UTALIII na nyinginezo watake wasitake pamoja na kwamba wanafanya hujuma kila kukicha kuihujumu ARUSHA CITY kimaksudi na kuipaisha MWANZA

NA SASA HIVI WAMEANZA KUIPASHA ZANZIBAR KWA TAKWIMU za uwongo ili ety Zanzibar population ionekane ina population kubwa kuliko ARUSHA CITY, icho Ni kitu ambacho HAKIWEZEKANIKI hata kwa dawa Zanzibar ikawa na population kubwa kuliko ARUSHA CITY ispokuwa kwa watu ambao wanafkiria bila kutafakari wataliamini hili ,yaani kusema eti kwa sasa ZANZIBAR NDIO CITY Ipo mbele ya ARUSHA CITY kwa wingi wa watu huo Ni UONGO mkubwa Kama ambavyo mtu atasema kwa sasa Geita Ndio mkoa wenye idadi kubwa ya watu kuliko DAR ES SALAAM, Lakini kwa Mimi nahisi malengo ya hujuma hii kwa ARUSHA CITY Ni ya kupangwa hayajaanza leo kitambo Sana kutokana na uchunguzi niliofanya yakinifu Ni kama nilivyo elezea Apo juu ingawa ningependa pia kusikiza maoni yenu Kwanini ARUSHA CITY inahujumiwa tukianza na issue ya TAKWIMU za uwongo za metro area population hii inatokea kwa ARUSHA CITY pekee ake huwezi kukuta mkoa au City nyingine imewekwa metro area population total ya hujuma/uwongo Kama nilivyo hainisha Apo juu ,ila wadau naombeni tulenge mada tusiende opposite Mimi Ni mtanzania halisi baba yañgu Mtanzania mama mtanzania pia Nawasilisha.

View attachment 2412647
Ila mda mwingine mnapenda kulialia tu Arusha mlijengewa chuo kikuu cha Nelson Mandela wakati wa kikwete na makao makuu ya Africa mashariki yapo kwenu wakati yalifaa zaidi kuwa mwanza kutokana na location!
 
Punguza matumizi ya ule mmea korofi dogo

Haibu ndo kitu gani? Typing error(s) sote tunazijua acha ujuaji wa kusimuliwa

Pambana ka Majaliwa

Bangi wengine hazitufai tuachane nazo
Wenyewe wanapaita chuga
Screenshot_2022-11-11-22-04-25-30.jpg
 
Kila kona ya nchi ya Tanzania kuna watu wa hali ya chini kama hao.

Mmoja wao ni mjomba wako.

Nani tumlaumu sasa?

Jibu ni bayana.

Au nikusaidie kujibu wewe kenge?

Watu kuvuta herbs hiyo kawaida tu. Mbona mshua wako anavuta na watu wanajua?
Sawa Binti wa chuga nimekuelewa
Screenshot_2022-11-12-12-16-42-68.jpg
 
Arusha ikijitenga tutatumia resource zetu kwa manufaa ya watu wetu.

1- barabara nzuri za mitaa na vijiji.
2- mazingira daraja la kwanza kuvutia na kukuza tourism
3-biashara ya madini kuimarishwa
4-shule bora, huduma za afya bora
5-kiwanja cha kimataifa cha ndege
6-pesa nyingi itapelekwa kwenye elimu ili watoto wetu wapate elimu ya kisasa na si bora elimu.
7-tourism pekee itatoa ajira kwa watu wetu wengi, kuanzia watu wa mahoteli, tour guides, tour operators, vijana wanaofanya ujasiriamali unaolenga watalii, hawa wote watapata pesa.

Tusirudi nyuma, Arusha kuwa nchi huru haikwepeki tena.
Hello!
Hizi ndoto za mlevi.
 
Arusha ikijitenga tutatumia resource zetu kwa manufaa ya watu wetu.

1- barabara nzuri za mitaa na vijiji.
2- mazingira daraja la kwanza kuvutia na kukuza tourism
3-biashara ya madini kuimarishwa
4-shule bora, huduma za afya bora
5-kiwanja cha kimataifa cha ndege
6-pesa nyingi itapelekwa kwenye elimu ili watoto wetu wapate elimu ya kisasa na si bora elimu.
7-tourism pekee itatoa ajira kwa watu wetu wengi, kuanzia watu wa mahoteli, tour guides, tour operators, vijana wanaofanya ujasiriamali unaolenga watalii, hawa wote watapata pesa.

Tusirudi nyuma, Arusha kuwa nchi huru haikwepeki tena.
Hello!
Hizi ndoto za mlevi.
 
Arusha ikijitenga tutatumia resource zetu kwa manufaa ya watu wetu.

1- barabara nzuri za mitaa na vijiji.
2- mazingira daraja la kwanza kuvutia na kukuza tourism
3-biashara ya madini kuimarishwa
4-shule bora, huduma za afya bora
5-kiwanja cha kimataifa cha ndege
6-pesa nyingi itapelekwa kwenye elimu ili watoto wetu wapate elimu ya kisasa na si bora elimu.
7-tourism pekee itatoa ajira kwa watu wetu wengi, kuanzia watu wa mahoteli, tour guides, tour operators, vijana wanaofanya ujasiriamali unaolenga watalii, hawa wote watapata pesa.

Tusirudi nyuma, Arusha kuwa nchi huru haikwepeki tena.
Hello!
Hizi ndoto za mlevi.
 
Back
Top Bottom