Kwa namna technology ilivyopanuka ushahidi unaweza kutengenezwa tu kwa njia yoyote. Usiamini kila ushahidi hasa ule wa electronic siku hizo watu wame advance sana kwenye masuala ya IT.Kaka humu kesi inaendelea ebu fuatiliaView attachment 2097031
Kwa namna technology ilivyopanuka ushahidi unaweza kutengenezwa tu kwa njia yoyote. Usiamini kila ushahidi hasa ule wa electronic siku hizo watu wame advance sana kwenye masuala ya IT.
Kwa mahakama inaangalia relevance ya ushahidi haina muda wa kuangalia chain of communication katika administration. Hivyo Polisi hawapo bound kufuata taratibu za ki administration wanapopeleleza au kutafuta ushahidi. Siku wanapoupeleka mahakamani ndio mahakama itaamua kama ushahidi husika ni relevant katika ku prove au ku disprove jambo lililo mahakamaniIssue sio mipaka ya polisi kufanya kazi.soma vizuri maelezo ya Lt Urio ndio msingi mkuu wa mtoa mada.ilikuwa ni busara yeye kuripoti hiyo issue kwa wakubwa wake then wampe go ahead au kama aliwajulisha basi tutajua baada ya kuhojiwa na upande wa utetezi.
Kwani Urio naye ni mstaafu?Kosa la wanajeshi wastafu alitakiwa akaripoti jeshini kwanza. Acp Kingai alikuwa Arusha
Kuna tactician inaitwa u turnNi suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.
Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?
Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?
Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua
Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Kuna tamthilia inaitwa u turnNi suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.
Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?
Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?
Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua
Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Imenishangaza sana yule aliyesema ameweza kuihack telegram na kupata hizo taarifa wakati telegram waliweka dola kadhaa (zaidi ya 500 Milioni) kwa yeyote atakaeweza kuihack, Marekani na kote kuliko na hackers ulimwengu wameshindwa ije kuwa Tanzania [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Hacking unaijua mkuu?
telegram ina njia mbili za mawasiliano.. au zaidi, mtu akishakuwa na device yako mkononi mwake ( mchezo unafanyika ). Na ninacho hisi hatujui integrity juu ya hizo device zilipochukuliwa kama hawaku temper kwa aina yoyote na hizo vitu.. kama una ABC za computer forensic kuna kapicha kanaweza kuja japo sio 100%.. bado na mashaka ingawa sitoi hukumu na sitetei mtu.. 😀😀Imenishangaza sana yule aliyesema ameweza kuihack telegram na kupata hizo taarifa wakati telegram waliweka dola kadhaa (zaidi ya 500 Milioni) kwa yeyote atakaeweza kuihack, Marekani na kote kuliko na hackers ulimwengu wameshindwa ije kuwa Tanzania [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Inashangaza Sana,Tanzania ina mambo ya ajabu.Ukipata kisa cha Hiroo Onoda askari wa kijapan aliyepigana zaidi y miaka ishirini na tano peke yake utaona kijeshi swala la Urio haliwezekani.Lakini Kwetu hii haishangazi maana Kuna askari polisi marehemu alikuwa ni mwandishi wa gazeti la uhuru la CCM.Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.
Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?
Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?
Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua
Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
JAMAA ASINGEWAKAMATISHA HAO JAMAA ILA ALIPOAMBIWA ENDELEA NA MPANGO WA KUWAPELEKA NA DCI TENA HAPO NAKO ASINGEKATAA ILIBIUDI AENDELEE NA MPANGO WA KUWAPELEKA ILI MBOWE AJULIKANE MPANGO WAKE MUOVU ILA HAWA WAMETESEKA LAKINI URIO KAWATOA KWENYE KESI WALIJUA NI WALINZI KUMBE MWAMBA ALIKUWA ANATAKA KUCHAFUA HALI YA HEWA WATATOKA LAKINI MBOWE BYE BYEMichongo mingine nuksi, inanikumbusha nilipewa kazi flani.. ile kazi ilinifirisi nikaanza sifuri. Mtu anajua hili pila la moto anakupa tu 😀😀😀.. ila urio kazingua sanaaa.. kuna watu specia na wenye hiyo kazi ndio walitwaki apenyezewe mwamba, hili la kuokota watu kutoka kitaa anatia mashakaa.. labda kama wana nao ni undercover 😀😀😀
Siku zote nimekuwa nikijiuliza hili swali. Huyu Urio alifikaje huko??? Hili jeshi limefikia kufanya kazi kwa style hii???Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.
Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?
Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?
Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua
Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Ni kwasababu makosa ya jinai Wana deal nayo polisi ndo maana kaenda kutoa taarifa polis , na ninafikiri mwanzo ilishaelezwa kuwa alieleza viongozi wake alaf viongozi wake ndo wakamuelekeza aende kwa DCI labda tu kama hukuifatilia hii kesi tangu mwanzo ndo utakua hujui kuhusu hilo ila lipo wazi
Hahaha mimi nina mwanangu naye W. URIO alikua safi sana mtu. Inatokea tu mkuu.Ila hilo jina hua Lina changamoto,Kuna jamaa mwingine tulikua tunafanya nae shughuli huko site alikuaga snitch snitch tu.
Hili ndilo swali la msingi na linambeba mtu kuwa na hatia au lahashaswali la msingi je mbowe na kamanda urio walikuwa wakifanya hivyo vikao?
Jeshi wangelitoa Onyo kwa Polisi !Huu mchongo na wasiwasi umeanzia jeshini nia ilikuwa kuwakomoa commando wale
Nimesoma comment zako we mtu una roho mbaya sana , hivi mbowe akifungwa utafaidika nini ? Acha roho mbaya kama shetani ,Hadi mawasiliano ya telegram ni narration?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kweli nyie ni vipofu na viziwi ngoja niwaache uenda siku mtakuja kuamka
Ye aliyewatafutia hiyo kazi alienda kuripoti jeshini?!Kosa la wanajeshi wastafu alitakiwa akaripoti jeshini kwanza. Acp Kingai alikuwa Arusha