Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

Usitumie vibaya neno ugaidi Mama!

Hakuna "ugaidi"!!

Pale Haki inapokosekana kwa njia za sheria, kanuni na taratibu Basi itatumika njia yoyote Haki hiyo ipatikane!

Muonevu siku zote huwabambika neno "ugaidi" wale wote wanaompinga yeye na system yake ya uonevu ili kujustify matendo yake ya kidhulmat!

Ili kujua gaidi Ni yupi Ni juu yako kujua origin ya tatizo na njia ambazo zimeshatumika kutatua tatizo ila zikafeli
 
Kwa nini unataka Askofu akamatwe. Kuokosa serikali ni kitu cha kawaida. Ungeluza: Kwa nini Sheik Ponda akamatwe wakati kukosoa serikali ni kitu cha kawaida? Usitake serikali ifanye kosa inalomfanyia Sheikh Ponda kwa watu wengine. Sikubaliane na kukamatwa kwa Sheikh Ponda. Vivyo hivyo sitaki serikali ifanye ufedhuli wake kwa watu wengine.
 
" madrasa yawe Sunday school" alisikika mlevi mmoja akisema
 
Wewe hujui chochote kwanza KKKYT ndio nini?

Halafu una uhakika sasahv KKKT inapata msaada wa Mjerumani au unaharisha tu usivyovijua?
Hao ndio vijana wasomi wa chama cha mapinduzi utakuta ana masters degreee!!! Na anatamani kua das,ded ,dc or Rc
 
Kwa hiyo kwa mantiki ya andiko lako, Askofu Bagonza ni kipenzi cha hao anaowasema?

Huku ndio kukosa akili. Wote mko upande mmoja, halafu mmoja wenu anamlalamikia mwenzake kwa vile yeye kazi anayofanya, ambayo lengo lake ni hilo hilo mnalotazamia nyote, halafu unageuka na kuanza kumwona kama adui; unaacha lengo mnalokusudia nyote.

Hii ni akili mbovu.
 
Watu hujenga dhana pale double standards zinapojitokeza.

Kuna upande huwa hauguswi au kwa vile upo connected na mabeberu.
KKKYT- beberu la Germany na hutoa sn misaada
Na jambo kubwa linalopandikiza chuki zaidi kwenye mioyo ya watu wa imani yako ni kujilinganisha na vitu ambavyo hamlingani navyo au hamuwezi fanana navyo.
 
Ni swali zuri kwa serikali hii isiyo na utaratibu maalumu. Lakini dawa yake in October.
 
Hapa ndio wale wapinzani wa serikali wanakuwa upande wa serikali na wale wanaokuaga upande wa serikali wanatofautiana na serikali,inakuwa upinzani wa kiimani na hapo hata yule aliyekuwa anapigia kelele uonevu kwenye utawala huu unakuta anabariki uonevu kwa unafanyika kwa imani isiyo ya kwake.
 
Hapa lazima apige kimya
 
Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa...
Kupinga jambo kwa kulinganisha na jambo jingine haina mantiki… kwako wewe kama Askofu angekamatwa, je ingekuwa sawa na shehe naye kukamatwa?
 
Bora maneno ya Bagonza. Gwajima went further alitoa hadi clips za lugha ya kisukuma kuhamasisha wasukuma kuunda vikundi vya kumpigania Magu na akatoa maneno kabisa kura sipigwe kikabila akaishia kupigiwa simu na polisi tu kwa mujibu wa maneno ya polisi.
Alijirekodi akifanya ngono na mwanamke polisi wakamsitiri na kuishia kusema Eti video imetengenezwa.

Prof Assad alisimamia ukweli kwa sababu ya dini yake akaishia kufukuzwa kazi na kudhalilishwa.

Sheikh Ponda kutoa waraka tu ndo hadi kapelekewa mabunduki kukamatwa.

Alafu mnaniambia bwana yule Eti raisi wa wanyonge na anapenda watu wote!! Shame!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…