Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

Hiyo ni kwa Mujibu wa mafundisho yenu mnasema ukristo sio Dini ili waumini wenu waamini Dini ya Uislamu ndio dini pekee.... Hiyo ni kauli ya kutaka waumini wenu wasiache dini yenu, kauli za kijanja janja za kubakisha waumini.

Ukristo umekuwepo tangu enzi na enzi, Uislamu ni Dini ya Juzi tu... Uislamu umekuta Dini ya Ukristo tayari ipo Duniani, uwezi kusema ukristo sio Dini wakati Mohamed mwenyewe kaukuta ukristo, na yeye akaamua kuja na Dini yake.
Mhaya je una andiko linalosema ukristo ni dini?
 
Mhaya je una andiko linalosema ukristo ni dini?
Kwani Dini ni nini kwanza tuanzie hapo... Maana unakuta umekariri baada ya kuambiwa na Sheikh wako kuwa Uislamu ni Dini na nyinginezo sio Dini... Je unaelewa maana ya neno Dini na asili yake?

Na je katika Uislamu Neno Dini limetafsiriwa vipi? Tukishajua maana ya neno Dini katika maisha ya kawaida na katika vitabu vyenu vya Dini basi hapo ndipo utakapoanza kueleweshana
 
Waislamu kwa sababu ya kumuabudu Mwenyezi Mungu mmoja na hawakumshirikisha na Mwenyezi Mungu kwa chochote.
Vitu haviko sawa wewe usikemee hiyo itakuwa dini au kikundi cha wahuni.
Kwani kwenye Uyahudu na Ukristo kuna Mwenyewe Mungu wangapi kwenye vitabu vyao?
 
Wao hawafindishi watu kwenda mbinguni, wanafundisha watu kuwa waislamu, hiyo kwao inatosha na ndiyo fahari yao.

Wakati sisi wakristo, fahari yetu ni kuwafundisha watu kuhusu kwenda mbinguni (ufalme wa milele). Ndio maana hatuko busy kukosoa uislamu. Kupoteza mda kwa kukosoa dini nyingine badala ya kuwafundisha wanadamu juu ya ufalme wa milele ni kumkosea Mungu.
Umeandika vice versa wewe mvaa rozari
 
Umeandika vice versa wewe mvaa rozari
Hata wewe mwenyewe unavaa Rosary ambayo kwa kiarabu inaitwa Tasbih

Ebu tafuta maana ya Tasbih kwa kiingereza kama ujaambiwa ni Rosary... shida ni kwamba nyie maneno ya Kiarabu ndio yanawafanya mjione tofauti na wenzenu wakati we mwenyewe mvaa Rosary
 
Kwani kwenye Uyahudu na Ukristo kuna Mwenyewe Mungu wangapi kwenye vitabu vyao?
Wakristo wengi wanaamini kwenye utatu mungu baba, ungu mwana na mungu roho haswa kwa wakatoliki walio wengi.
Ukija kwa wengine wanadai Yesu ndiye mungu mkuu.
Ukija kwa wayahudi huyo Yesu hawamtambui kabisa wala mtume Muhammad SAW. Kwa wayahudi wanaweza kuwa wanaabudu Mungu mmoja ila kuna mambo wamekufuru kama vile kupinga mitume.
Hata kwa kuamini wayahudi na waislamu kwenye kuamini wakawa vitu vingi wapo 'common' tofauti na wakristo.
 
Kwanza hii tone anayotumia ni ya kufake/ kuiga, nasema apuuzwe
 
Umeandika vice versa wewe mvaa rozari
Unafikiri mtu anaweza kwenda mbinguni kwa kuvaa/ kutokuvaa rozari? Au mtu hatakwenda mbinguni kwa sababu tu anavaa rozari?
 
wafuasi wake wako chini
Bahati nzuri umesema hao walikuwa wafuasi wa huyo mtu aliyekuwa juu ya mti.

Unatakiwa utambue kuwa, wanaokwenda mbinguni ni wafuasi wa Yesu tu na sio wafuasi wa mtu.

Sasa hapo unaongelea wafuasi wa zumaridi na huyo mwingine sijui nani, ambao sina cha kusema juu yao.
 
Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini.

View: https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Lakini mara nyingi nimekuwa Disappointed kukutana na baadhi ya Masheikh wakitumia muda mwingi kufundisha juu ya ukamilifu wa Dini yao na kupondea Dini nyingine. Yani mpaka muda mwingine unasikia kabisa anakwambia ni heri uwe mtendaji dhambi lakini uitwe muislam kuliko kuwa mtu wa Dini nyingine. Neno nilijaribu kutafuta maana yake nikaambiwa ni mtu ambaye hayuko kwenye hizi Dini tatu zenye chimbuko la Abrahamu. Lakini waislamu wengine utumia neno Kafiri kumaanisha wafu wa dini zote isipokuwa Uislamu, hasa hasa wakristo ndio umaanishwa hapa.

My Take: Kwa nini Waislamu wasitumie nguvu kubwa kuhubiri kuhusu matendo mema, kuacha dhambi, na kuabudu MUNGU mkuu kuliko hii nguvu wanayotumia kuponda dini za watu wengine na agenda yao kuu ni kila mtu kujiunga na uislamu. Katika ukristo ni Dini isiyokuwa na mambo mengi, uwezi kukuta Mchungaji au Askofu yuko busy kupondea Dini nyingine au kuzikashifu, kwenye ukristo habari njema inayohubiriwa ni juu ya wokovu yani kuacha dhambi na kumtumikia MUNGU mkuu na mwanaye YESU kristo ambaye alitumwa kututoa katika dhambi na yeye akiwa ndio njia ya kufika mbinguni kwa kumuamini na kuamini mafundisho yake.

Waislamu mmekuwa mkiponda ukristo ikizingatiwa Ukristo umetangulia kuja Duniani hata kabla ya Uislamu na hata Quran yenu imetoa mafundisho katika kitabu cha biblia chenye Injili ya kristo, na Torati.

Sasa ndugu yangu unamsikiliza Sheikh Muhammad Bachu?

Sheikh Muhammad Bachu waislamu wenzake aliyotofautiana nao msimamo anawaita waongo, washirikina n.k
 
Wakristo wengi wanaamini kwenye utatu mungu baba, ungu mwana na mungu roho haswa kwa wakatoliki walio wengi.
Ukija kwa wengine wanadai Yesu ndiye mungu mkuu.
Ukija kwa wayahudi huyo Yesu hawamtambui kabisa wala mtume Muhammad SAW. Kwa wayahudi wanaweza kuwa wanaabudu Mungu mmoja ila kuna mambo wamekufuru kama vile kupinga mitume.
Hata kwa kuamini wayahudi na waislamu kwenye kuamini wakawa vitu vingi wapo 'common' tofauti na wakristo.
Hata Wayahudi hawafanani na Waislamu... Waislamu wanasali kwenye Jiwe lao huko Mecca, Wayahudi hawatumii jiwe, Waislamu wanasali Ijumaa, wayahudi wanasali Jumamosi, Wayahudi wanatumia kiebrania kwenye mafundisho yao, Waislamu wanatunia Kiarabu

Mpaka Leo Wayahudi na Waislamu wa palestina wanavita... Muyahudi hamjui Mtume Muhammed, lakini wanamjua YESU kama mwalimu mzuri wa mafundisho ya torati.

Wakristo wa misabato ndio kidogo wanafanana na Wayahudi...

Muislamu yeye Dini yake ni Zao la wakristo na Wayahudi kwa sababu Dini yake imekuja na kuchukua mafundisho ya kwenye vitabu vya Injili ya kristo na torati
 
NImekuona zezeta kumbe haufatilii mambo umemezeshwa na Mwamposa.
Waislamu na wayahudi wanasali kila siku. Waislamu mara 5 kwa siku na wayahudi mara 3 kwa siku.
Vita hiyo sababu umetoa ya kijinga hata Russia na Ukraine kuna vita sio kuhusiana na dini bali kuhusu ardhi.
We miongoni wa wahaya mazezeta umeshindwa kugoogle vitu simple eti waislamu wanasali ijumaa na wayahudi jumamosi.
Kwa hiyo hizo siku nyingine wanaenda msikitini kufanya nini? Embu vijana muache uzezeta usifuate dini kiushabiki.
 
Uwe unapima na uwezo wa kielimu wa mtoa mawaiza ndiyo usikilize.
 
NImekuona zezeta kumbe haufatilii mambo umemezeshwa na Mwamposa.
Waislamu na wayahudi wanasali kila siku. Waislamu mara 5 kwa siku na wayahudi mara 3 kwa siku.
Vita hiyo sababu umetoa ya kijinga hata Russia na Ukraine kuna vita sio kuhusiana na dini bali kuhusu ardhi.
We miongoni wa wahaya mazezeta umeshindwa kugoogle vitu simple eti waislamu wanasali ijumaa na wayahudi jumamosi.
Kwa hiyo hizo siku nyingine wanaenda msikitini kufanya nini? Embu vijana muache uzezeta usifuate dini kiushabiki.
Sasa mwamposa kaingia je hapa?, Hizo kauli ni Dalili ya kushindwa kutetea hoja yako, unatumia kauli kali ili ku-defend point yako

Kusali sio shida... Hata wakristo wanapaswa kusali karibia kila siku, hata majumbani wakristo usali zaidi ya sara mbili kwa siku. Kusali kila siku haimaanishi Wayahudi na waislamu wanafanana, hata Wahindi wanaswalia Ng'ombe kila siku. Kwa hiyo kwa sababu Wahindi nao wanasali kila siku napo tuseme mnafanana na Wahindi?

Kuswali kila siku haikufanyi wewe kufanana na Dini fulani hata Freemason wanasali kila siku
 
Sasa ndugu yangu unamsikiliza Sheikh Muhammad Bachu?

Sheikh Muhammad Bachu waislamu wenzake aliyotofautiana nao msimamo anawaita waongo, washirikina n.k
Kwa hiyo akizingua sheikh mnamkataa lakini akizingua mchungaji wa wakristo mnajumuisha wakristo wote kwamba makafir
 
Ni ujinga wa fikra tu. Badala mtu atumie muda wake kutueleza uzuri wa dini yake ni watu washawishike lakini anatumia muda kuelezea dini nyingine.
Hio ni ishara kwamba dini ya uislamu haijakamilika ndo maana inawabidi watumie biblia ili kuikamalisha

Na hii inadhihirisha qurani ni copy ya biblia kwa sababu ni copy kuna vitu vingi ime-lack kwa hiyo inawalazimisha kurudi kwenye original book ambayo ni biblia tusiwalaumu sana huo ni utukufu wa Mungu
 
Kuna hii nilikuwa napita zangu dumila morogoro mara nikasikia shekh anasema bikira maria hakupewa mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu..hapa napo nilichoka kwakweli
 
NImekuona zezeta kumbe haufatilii mambo umemezeshwa na Mwamposa.
Waislamu na wayahudi wanasali kila siku. Waislamu mara 5 kwa siku na wayahudi mara 3 kwa siku.
Vita hiyo sababu umetoa ya kijinga hata Russia na Ukraine kuna vita sio kuhusiana na dini bali kuhusu ardhi.
We miongoni wa wahaya mazezeta umeshindwa kugoogle vitu simple eti waislamu wanasali ijumaa na wayahudi jumamosi.
Kwa hiyo hizo siku nyingine wanaenda msikitini kufanya nini? Embu vijana muache uzezeta usifuate dini kiushabiki.
Wakristo wanatakiwa wasali kila mda tofautisha kusali na ibada
Jumapili au jumamosi ni siku ya ibada
Ila kusali kwa wakristo tunatakiwa kusali kila mara ila sisi kusali sio public relation ni swala la siri
 
Kwa hiyo unataka kubishana na kitabu Chenu...

Mohamed alioa mtoto wa miaka 6 huku yeye akiwa na miaka 53. Yani ni sawa na Babu aoe mjukuu wake. Na jumla alioa wake 10.
Ila hakukutana kimwili alimuacha mpaka akue.

Hili suala la kuoa ni suala la kitamaduni zaidi na kawaida kwa miaka ya nyuma.

Uingereza mwanamke anaolewa kuanzia miaka 16 na hii ni legal age of marriage.

Mbali na hilo wanawake wanawahi kupevuka kuliko mwanaume. Binti mwenye miaka 15 tofauti na kijana wa mika 15.
 
Back
Top Bottom