Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini.

View: https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Lakini mara nyingi nimekuwa Disappointed kukutana na baadhi ya Masheikh wakitumia muda mwingi kufundisha juu ya ukamilifu wa Dini yao na kupondea Dini nyingine. Yani mpaka muda mwingine unasikia kabisa anakwambia ni heri uwe mtendaji dhambi lakini uitwe muislam kuliko kuwa mtu wa Dini nyingine. Neno nilijaribu kutafuta maana yake nikaambiwa ni mtu ambaye hayuko kwenye hizi Dini tatu zenye chimbuko la Abrahamu. Lakini waislamu wengine utumia neno Kafiri kumaanisha wafu wa dini zote isipokuwa Uislamu, hasa hasa wakristo ndio umaanishwa hapa.

My Take: Kwa nini Waislamu wasitumie nguvu kubwa kuhubiri kuhusu matendo mema, kuacha dhambi, na kuabudu MUNGU mkuu kuliko hii nguvu wanayotumia kuponda dini za watu wengine na agenda yao kuu ni kila mtu kujiunga na uislamu. Katika ukristo ni Dini isiyokuwa na mambo mengi, uwezi kukuta Mchungaji au Askofu yuko busy kupondea Dini nyingine au kuzikashifu, kwenye ukristo habari njema inayohubiriwa ni juu ya wokovu yani kuacha dhambi na kumtumikia MUNGU mkuu na mwanaye YESU kristo ambaye alitumwa kututoa katika dhambi na yeye akiwa ndio njia ya kufika mbinguni kwa kumuamini na kuamini mafundisho yake.

Waislamu mmekuwa mkiponda ukristo ikizingatiwa Ukristo umetangulia kuja Duniani hata kabla ya Uislamu na hata Quran yenu imetoa mafundisho katika kitabu cha biblia chenye Injili ya kristo, na Torati.

Ni kwa sababu hawapendi ukweli na wanatishia waumini wao kila kukicha ili kupata credibility by force. Dini yeyote inayotawala by force na uwongo si dini hiyo.
 
Mimi toka enzi za Msikiti wa Mwembechai kuwa busy na mambo hayo na baadhi ya misikiti mmoja ulikua mbagala na mwingine Kinondoni Mkwajuni miaka hiyo huwa siendi kuswali kwenye msikiti shekhe muda wote anazungumzia chuki na visasa ambavyo havipo never...unawachukia watu wa dini zingine kwa sababu zipi badala ya kueneza Upendo baadae katika safari zangu nilipita Senegal jinsi wanavyoishi na watu wa dini zingine ni tofauti kabisa na Tanzania na wale jamaa wanajua dini kuliko hata sisi hawazungumzii ubaguzi hata siku moja na wapo serious kweli na uislam..
 
Back
Top Bottom