Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

Brother! Iulize biblia vizuri umri gani kwa wanawake zama hizo za manabii na mitume wa Mungu wanawake walikuwa wakiolewa?

Au waulize wayahudi sheria zao ni umri gani kwao mwanamke alikuwa akiolewa?

Sifahamu vifungu vya kwenye Zaburi, Injil au Taurati vya moja kwa moja vyenye kukava muktadha husika. Ila fanya hilo tafiti.
Muhammad alikuwa pedophile, Yani badala awe mfano yeye ndio alikuwa anashahuri watu waoe watoto , kuna kisa jamaa alimtolea uvivu akamwambia hawezi kuoa mtoto kwani atakuja kucheza na watoto wake ,

Katoto Aisha kalikuwa kanacheza na watoto wenzake , pedophile Muhammad akirudi anakaita ndani anakafumua

Maandiko ya waislamu yanathibitisha

Aisha aliripoti kwamba alikuwa akicheza na mwanasesere mbele ya Muhammad na wakati watoto wenzake walipo muona mtume waliondoka (nyumbani) kwa sababu walihisi aibu kwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu. na Mtume wa Mwenyezi Mungu akawaruhusu waendelee kucheza nae. Sahih al-Bukhari 6130
 
Neno dini limekuja kutumika baada ya Yesu kuondoka.... Huko nyuma hakukuwa na Dini, makabila, na mataifa... na kila kabila na Taifa lilikuwa na tamaduni zake za kuabudu, hata Uyahudi haukuwa Dini, lilikuwa ni kabila... Neno Dini limekuja kuanza kutumika karne za baada ya Yesu kuondoka, baada ya watu kubwa na mitazamo tofautitofauti juu ya Mungu wanayemuabudu....
Yakobo 1:27 Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu.
Neno hili dini kwenye Yakobo limetumika kama kitu gani?
 
Soma vizuri... Nimekwambia neno Dini limeanza kutumika, sijasema kuwa neno Dini halikuwepo....

Dini zimeanza kutumika baada ya Yesu kuondoka, hakukuwa na Dini ya Uislamu na Ukristo, wala Dini ya wayahudi... Kulikuwa na kabila la wayahudi ambao walikuwa na Tamaduni za kumuabudu Mungu.

Wewe unahisi hapo "YAKOBO" alikuwa anaongelea Dini gani kati ya Ukristo, Uislamu, na Uyahudi, kama kweli Dini zilikuwepo?
 
Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini.

View: https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Lakini mara nyingi nimekuwa Disappointed kukutana na baadhi ya Masheikh wakitumia muda mwingi kufundisha juu ya ukamilifu wa Dini yao na kupondea Dini nyingine. Yani mpaka muda mwingine unasikia kabisa anakwambia ni heri uwe mtendaji dhambi lakini uitwe muislam kuliko kuwa mtu wa Dini nyingine. Neno nilijaribu kutafuta maana yake nikaambiwa ni mtu ambaye hayuko kwenye hizi Dini tatu zenye chimbuko la Abrahamu. Lakini waislamu wengine utumia neno Kafiri kumaanisha wafu wa dini zote isipokuwa Uislamu, hasa hasa wakristo ndio umaanishwa hapa.

My Take: Kwa nini Waislamu wasitumie nguvu kubwa kuhubiri kuhusu matendo mema, kuacha dhambi, na kuabudu MUNGU mkuu kuliko hii nguvu wanayotumia kuponda dini za watu wengine na agenda yao kuu ni kila mtu kujiunga na uislamu. Katika ukristo ni Dini isiyokuwa na mambo mengi, uwezi kukuta Mchungaji au Askofu yuko busy kupondea Dini nyingine au kuzikashifu, kwenye ukristo habari njema inayohubiriwa ni juu ya wokovu yani kuacha dhambi na kumtumikia MUNGU mkuu na mwanaye YESU kristo ambaye alitumwa kututoa katika dhambi na yeye akiwa ndio njia ya kufika mbinguni kwa kumuamini na kuamini mafundisho yake.

Waislamu mmekuwa mkiponda ukristo ikizingatiwa Ukristo umetangulia kuja Duniani hata kabla ya Uislamu na hata Quran yenu imetoa mafundisho katika kitabu cha biblia chenye Injili ya kristo, na Torati.

Huna akili
 
Nimecheka sana....haya huwanawahubiria watu timamu kweli au mateja? Mimi nahisi hizi clips mnazitengeneza ili kuwachafua tu😃
 
wanaume wapemba walikufanya nini mkuu dah pole sana.
☹️☹️☹️☹️
Yaani watoto wa kiume tena vijana kufanyana sio tatizo?!! Hao wa kike bora atoe nyaaaa... Ili mradi aolewa akiwa bikra aahaaaa!! Haya mambo sikuwa nayaamini ili nilipokaa pemba kwa muda ndio nikashuhudia live!! Hao wazee wenyewe pemba nzima wanategemea ma bar maid wa pale mess(MACHO MANNE),
 
walikufanyaje mkuu funguka☹️☹️☹️☹️
 
walikufanyaje mkuu funguka☹️☹️☹️☹️
Jibu hoja, acha janja janja!! Nenda mitaa ya pale malindi (unguja) daaa, yaani huwezi kuamini kama kweli haya mambo yanafanyika kwenye wazee wa DINI YAO!!
 
Dini iliyojaa unafiki tu!! Wenzenu wana komalia elimu nyie, mnacheza na madufu, mwisho wa siku mnaanza kuwaona wanawanyonya!! Na kitu kimoja CHAMA CHA KAVU, kimeshawaona hamnazo, kina wapampu na nyie mnajaa mazima!!!
 
Soma vizuri... Nimekwambia neno Dini limeanza kutumika, sijasema kuwa neno Dini halikuwepo....

Dini zimeanza kutumika baada ya Yesu kuondoka, hakukuwa na Dini ya Uislamu na Ukristo, wala Dini ya wayahudi... Kulikuwa na kabila la wayahudi ambao walikuwa na Tamaduni za kumuabudu Mungu.

Wewe unahisi hapo "YAKOBO" alikuwa anaongelea Dini gani kati ya Ukristo, Uislamu, na Uyahudi, kama kweli Dini zilikuwepo?
Kwa hivyo Yesu alikuwa akifanya ibada za utamaduni wao wa kabila lake la kiyahudi?
Sasa baada ya Yesu kuondoka, nani aliyekuja kuanzisha kutumia neno dini katika Ukristo?
Na vipi neno dini limeanza kutumiwa kama utambulisho wa imani fulani ya watu katika kuabudu?
Wewe unahisi hapo "YAKOBO" alikuwa anaongelea Dini gani kati ya Ukristo, Uislamu, na Uyahudi, kama kweli Dini zilikuwepo?
Siwezi kusema Yakobo alikuwa akiongelea ukristo kwa kuwa dini hiyo imeanzishwa baada ya Yesu kuondoka, na siwezi kusema alikuwa akizungumzia Uyahudi si sawa, sababu Juda ni mtoto wa Yakobo na ndiye muanzilishi wa kabila la wayahudi.
Na tukisema alikuwa akizungumzia kuhusu uislamu wetu huu si sawa kwa kuwa mtume Muhammad alikuja baada ya miaka 600 baada ya Yesu. Lakini Yakobo alilitumia neno dini, alimaanisha nini? Naomba unisaidiye.
 
walikufanyaje mkuu funguka☹️☹️☹️☹️
Mzee wa dini ya ukweli, umesikia mfia dini huko karachi alivyowalipua wenzake?!! Sasa anachezea..... Za ma bikra 72!!yaani hata birthday ya.... Nayo watu wanajilipua?? Hiii dini hiii!!! Bora niwe kafiri tuu
 
Maalim toa muongozo

sawalakini uislamu ndioumekuja kufuta dinizote zauongo zinazo abudu watu badala yamungu.

wakiristo mnamwabudu yesu wakatiyesu alikuwa kapenta Kule galilaya huoni mnadanganywa?
Mkuu bdo hujaachana na masomo ya madrasa?ebu soma ulichoandika
 
Kwasababu katika kristo mungu ni wa kweli tena mwenye kujibu hapo hapo na pia nguvu zake ni za uhakika na isitoshe amejitokeza mara kazaa kwa watu wake na kuwasaidia pasipo kutumia malaika wala nini
 
Wakristo wengi wanaamini kwenye utatu mungu baba, ungu mwana na mungu roho haswa kwa wakatoliki walio wengi.
Ukija kwa wengine wanadai Yesu ndiye mungu mkuu.
Ukija kwa wayahudi huyo Yesu hawamtambui kabisa wala mtume Muhammad SAW. Kwa wayahudi wanaweza kuwa wanaabudu Mungu mmoja ila kuna mambo wamekufuru kama vile kupinga mitume.
Hata kwa kuamini wayahudi na waislamu kwenye kuamini wakawa vitu vingi wapo 'common' tofauti na wakristo.
Alikwambia nan hawamtambui MYAHUDI hawamtambui alah.. na ukiwaambia habari za alah wanakupoteza kama rais wa iran
 
Sisi akina asamaleko, hapo tatzo letu ni ukosefu wa akili maarifa uchumi na elimu...
 
NI kweli kupitia elimu hiyo, nilimsikia yule mama mfalume yule wa mwanza amsimulia ndugu mwandishi, kuhusu safari yake ya mbinguni.
Mwingine, nilimuona yuko juu ya mti, wafuasi wake wako chini, wakimuimbia mchungaji akijiandaa kwenda mbinguni.
Ukiona mnazidiwa hadi na mfalme Zumaridi inatakiwa mjitafakari. Mahojiano yote hujasikia akipondea dini ya mtu,hujasikia akimuita mtu kafiri. Inafikirisha.
 
Back
Top Bottom