Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

Ni kwa sababu hawapendi ukweli na wanatishia waumini wao kila kukicha ili kupata credibility by force. Dini yeyote inayotawala by force na uwongo si dini hiyo.
 
Mimi toka enzi za Msikiti wa Mwembechai kuwa busy na mambo hayo na baadhi ya misikiti mmoja ulikua mbagala na mwingine Kinondoni Mkwajuni miaka hiyo huwa siendi kuswali kwenye msikiti shekhe muda wote anazungumzia chuki na visasa ambavyo havipo never...unawachukia watu wa dini zingine kwa sababu zipi badala ya kueneza Upendo baadae katika safari zangu nilipita Senegal jinsi wanavyoishi na watu wa dini zingine ni tofauti kabisa na Tanzania na wale jamaa wanajua dini kuliko hata sisi hawazungumzii ubaguzi hata siku moja na wapo serious kweli na uislam..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…