Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
😀 😀 😀Soma jihad kwa kupitia vitabu kama Qur an , kuna jihad ya nafsi yaani vita ni mwisho kabisa mtu anapokushambulia .mkuu ila ukweli unaujua ww
Ulaya na marekani kuna uhuru wa kuchagua dini,Uisilamu una net conversion popote pale Duniani, including Ulaya, Marekani, South America etc.
Ingekuwa wanakubali kuingia uisilamu Kwa vitisho unazungumzia vipi hayo mabara?
Na inakuwaje wanaupeleka huko ulaya bila uwoga mpaka wazungu wanajinyeaWatu wengi wako kwenye dini hasa uislamu kwa sababu ya vitisho na kuogopeshwa lakini wakipata uhuru wanaachana na dini.
Somalia, Yemen, Saudi Arabia, Afghanistan, nk ukitangaza kuachana na Allah unauwawa so watu wanaogopa kifo wanaamua kua waumini kwa lazima..
na mm sijasema wasomali wote
Wengi ni waislam mfu wanaogopa kubadili dini
Ulaya na marekani kuna uhuru wa kuchagua dini,
Ila Somalia haupo,
Hata Tanzania wapo wakristo wanaamua kwa hiari yao kuwa waislamu ila Somalia unalazimishwa kuwa mwislamu
Mfano,ukienda Zambia kuna kulazimisha mtu kuwa mkristo
Kuna nchi wanalazimisha dini
kinachokupa maksasiriko n nnMbona hao wasomali wametapakaa dunia nzima na huko US na Ulaya wapo, mbona ndio kwanza hawaogopi mtu na wanautangaza, kwanini wasiuache huko kwenye uhuru wa kila kitu
Nyinyi mbulula wa maporini ndio hata hamjijui mnaamini nini, kwa vile ililetwa na mzungu mnaemuona bora kuliko wazazi wenu, mnafuata kama mifugo mbuzi nyinyi
punguza makasirikoNa inakuwaje wanaupeleka huko ulaya bila uwoga mpaka wazungu wanajinyea
Kwanini hao waliofika ulaya wasitoke na kuwa huru, badala yake ndio kwanza wanalianzisha
View: https://www.youtube.com/watch?time_continue=3&v=ScTYKqwdaIM&embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2F&source_ve_path=Mjg2NjY
Sihitaji kuambiwa wakati mimi ni mmoja wao huko unakuona ni peponi kwa wagalatiawote ni waislam nan kakwambia
Jipange kuleta mada ijadiliwe bila kuleta viini vya udinipunguza makasiriko
Hii dini imewabana watu wengi sana kwa shuruti hata Tz wengi humo wapo kwa shuruti kubwa.Uisilamu una net conversion popote pale Duniani, including Ulaya, Marekani, South America etc.
Ingekuwa wanakubali kuingia uisilamu Kwa vitisho unazungumzia vipi hayo mabara?
ushahidi gan punguza mihemuko!Jipange kuleta mada ijadiliwe bila kuleta viini vya udini
Kama kweli ungekuwa una elimu ya juu, ungejua kuleta hii mada kama assigment au mdahalo ujadiliwe kwa kutumia ushahidi na vielelezo
Kuna uhuru wa kuabudu dini yo yote! Vipi nchi za kiislamu?Mbona huko ulaya na marekani wazungu ndio wanaongoza kuingia kwenye uislamu
Baadhi ya hizo nchi zimepiga marufuku mtu kumiliki Biblia.Kuna uhuru wa kuabudu dini yo yote! Vipi nchi za kiislamu?
Ko dunia nzima wanaofanya uharamia ni wenye unasaba na uislamu tu???Tatizo kwene ugaidi tu hapo
na kuamini kuna bikra72