Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Ndiyo watulie wasaidiwe viburi mno hawa viumbe..
 
Nilikuwa katika mahusiano na Singlemother nilimuonesha njia zote za kumpenda na kumjali yeye pamoja na mwanae, kusema kweli hawa watu hawapendeki na jeuri hawawezi kuonesha upendo kwako. Hawa watu wanakua na matatizo ya kisaikolojia.
Single mother anaweza kuishi yeye tuu,hata akimpata mwanaume mwenye malengo naye,bado hukumbuka ya aliyemtelekeza.kazi ipo jmn
 
Mi huwa nakwambia daily konyagi na mirungi haikufai kijana unakuwa mkali ona ulichoandika sasa,hakiendani na status yangu.
 
Pole sana...

Wapo watakaokuja kubishana na wewe... ila kimoyo moyo wanajua umeongea ukweli kadri ya uwezo wako...
Tatizo bindadamu ni wabishi sana...

1.jeuri
2.tabia za ajabu
3.viburi
4.uchafu
5.kukatisha tamaa
6.umbeya

Cc: mahondaw
Umeona
 
Ni dhahili tabia zao ni mbaya. Kwa sababu msichana mwenye maadili/dini hafanyi mapenzi kabla hajaolewa. Achilia mbali kupata mimba kabisa! Labda kama alibakwa. Hahahaaaaa najua ni ngumu lkn ndo ukweli huo
But sizingumzii kama ni wote tafadhal japo robo tatu hizo sifa zao
 
Ebuana ee uzi wala haujakashifu mtuu,embu soma ktk post yangu kuna sehemu nimeandika NB/Kumbuka,then rudi tupambane
 
Uko 100% mkuu yaan wale mme wake aliyemzalisha ni everything ndio maana anaweza kuolewa na bwana mwingine wakaishi hata miaka 15 akijitokeza mmewe wa mwanzo yuko tayar kukumwaga
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kengele ya hatari ikalia kichwani
 
Usiseme wanaume,sema baadhi ya wanaume
 
Jifikilie mwenyewe utaweza kummdu mtu alikuwa anajipangia mwenyewe ratiba Sasa unamuwekea kalenda na anajua huwezi kulea kama yeye coz anamtoto tayari ndo anakwambia nikome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True say

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maada ngumu
napita tu ila hata mm single mum cyo kipaumbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…