Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

Labda alikuwa loyal KWA jk na sio KWA mama who knows!?

Jk ndio Rais pekee mwenye mvuto KWA US Nadhani kuliko marais wengine wote !!!

Akifanikisha ujio wa Bush,Obama hata Tony Blair mara NYINGI Sana!!

Maoni HURU haya nikichangia uchumi wa Tozo!!!
 
Ile picha ya school bus kwenda public hata mi ningemtimua
 
Hapana, mm naheshimu mawazo yako lakn sikubaliani na ww hata kdg kuhusu Mheshimiwa Balozi Liberata ,


Huyu Balozi alikua kiungo muhimu sana katika Kujenga Diplomasia ya uchumi wa Tanzania, hasa Mtangamano wa Tanzania na Mataifa makubwa Duniani, Marekani ikiwepo !! MULAMULA Ni Mwanadiplomasia na kiungo muhimu sana kwa nchi changa tena masikini kama Tanzania.
 
Mambo mhimu hata mawili tu yenye masili ya wazi kwa taifa kutoka Mulamula yataje?
 
kwahiyo ulitaka aegemee kwa waarabu wa dubai
 
 
Imani ya wazungu kwa Samia?

Aisee mtu mweusi sijui anakwama wapi. Kwa akili hizi wallahi waafrika hatutoboi. We ndugu yangu wazungu ni watu wa kawaida kama mimi na wewe, Samia haitaji kufanya chochote kurudisha imani au kupoteza imani ya wazungu. Samia anawajibika tu kwa familia yake na kwa watanzania pekee.
 
Akili za mtanzania mnyonge hizi!
 
Kabisa hata interview zake ukisikiliza huelewi kitu
Hutaelewa nini na akili hauna!! Utamuelewa kweli mtu mwenye PhD kwa elimu yako ya mang'amung'amu!? Mtu amekuwa balozi wa Tanzania kwenye umoja wa mataifa,amekuwa mwanadiplomasia nchi zaidi ya miaka 30!

Wewe umewahi kuwa nani nchi hii? Zaidi ya kujaza mavi kwenye choo cha nyumbani kwenu,hata kijijini kwenu umeshindwa kujenga choo!utajilinganisha na Mulamula kweli? Mkishiba makande na parachichi mnakuwaga na mbwembwe na confidence za kibwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…