Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

Ila hii dunia haiko fair kabisa, yani SAMIA SULUHU HASSAN ndio wa kutuongoza watu wenye akili timamu kweli? Wakina Mula mula, mimi, chenge japo ni lijizi, Prof. Muhongo ndio tunaongozwa na huyu akili ndogo kweli?
 
Ila huyu mama binafsi nikimsikiliza akiwa anaongea sielewi anaongea nini yupo smart ila hakua na Karama ya uzungumzaji.
Kweli kabisa anachekacheka sana wakati anaongea mpaka anakuwa haeleweki vizuri !!
 
Huo mjadala wa nini kilitufikisha hapa ni mjadala endelevu usiokuwa na majibu mepesi. Na kuna threads kibao huko nyuma nshawahi kuchangia hoja za namna hii za kufananisha Afrika na Singapore kabla ya uhuru na sasa. Ila kwa sasa jambo moja lipo wazi kabisa. Nchi zilizopiga hatua za maendeleo fasta walijijengea uwezo mkubwa sana wa kujitegemea kuanzia akilini mwao. Nchi zetu hizi za kiafrika zilibaki kuwa makoloni tu hata baada ya uhuru. Nyerere alijitahidi sana kujenga uwezo wa kujitegemea kuanzia fikra hadi kiuchumi, kwa bahati mbaya sana jitihada zake zilikwama mahali. Aidha, ujasusi wa kiuchumi kutoka mataifa ya nje ulijipenyeza na kuvuruga kila hatua ya kujitegemea kiuchumi tuliyoanza nayo. Anguko rasmi la kujitegemea kwetu lilifika rasmi tulipoamua kukubaliana na mifumo ya kibeberu (SAPs). Nchi zinazofanikiwa kupenya na kufanikiwa kujikwamua kijitegemea hazifiki hapo kwa urahisi. Unaona Pyongyang, Iran, Venezuela, n.k wanavyowekewa vikwazo vya kutisha. Somehow watu wa Singapore, South Korea walikuwa na ujanja na uzalendo wa kutosha kustawi chini ya mifumo ya kibeberu. Kwa bahati mbaya kwa nchi yetu hii, Nyerere hakuweza kupata watu wenye sifa za watu wa Singapore au South Korea kufanya nao kazi.
 
....kakaa kama mama wa Kiafrika zaidi. So kupiga picha nae ilikuwa ni Kama kuonyesha public kuwa, "We concern and consider third world problems, including malnutrition, health and poverty".......

She is absolutely done nothing for her country.
 
Alikua mpiga dili naona kamzunguka mkuu wake
 
Uhusiano gani uliharibika?
 
inasikitisha.
 
Siyo kweli, Wajapani na Wakorea wote (karibia) ni wafupi na miili midogo, lkn Japan ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa Duniani, isitoshe Mwanamke kuna mfupi ni kawaida, ni biology kwamba Wanawake ni wafupi na wadogo kimaumbo kuliko Wanaume!
Hata wachina wana miili midogo sana but very smart upstairs. Hao wajapan na Wakorea ndo usiseme. Mimi nlikosa suruali size yangu kwao. Nlikuwa naonekana mkubwa sana. Lakini nchi yao unaweza acha gari hadi mwaka ukaikuta haijaguswa hata side mirror. Ukiacha simu kwenye bench after a day ukija utaikuta pale pale. So si naumbile tu
 
Ukibaka, uwizi uwizi, udokozi dokozi ni dalili za underdevelopment ya akili. Aidha ni ugonjwa wa akili au ni dalili za ujima (kutostaarabika). Kadri watu wanavyostaarabika hata uwizi unapotea kwenye jamii.
 
Ila huyu mama binafsi nikimsikiliza akiwa anaongea sielewi anaongea nini yupo smart ila hakua na Karama ya uzungumzaji.
Hivi mtu kuwa smart anatambulikaje? Kuna utofauti wa kuwa smart na kuwa kibaraka mzuri? Nauliza tu swali, maana hawa smart people huwa sioni impacts zao zaidi ya kuambiwa ni smart na evidence za kukutana na westerners tu? Kwakweli ukoloni madhara yake ni makubwa sana kwenye ubongo wa mtu mweusi...
 
Ukibaka, uwizi uwizi, udokozi dokozi ni dalili za underdevelopment ya akili. Aidha ni ugonjwa wa akili au ni dalili za ujima (kutostaarabika). Kadri watu wanavyostaarabika hata uwizi unapotea kwenye jamii.
Utashangaa sana kusikia wewe hukuwa smart simply because unaji associate na hao unawa perceive kuwa smart...Any smart person can still be smart even with his people na bado akaleta change kubwa kubwa tu bila hizo associations za kitapeli wa dunia...Kina Abraham Lincoln na Franklin Roosevelt Wa huko walikuwa wana associate na akina nani hadi walipofanikiwa kuzifanya nchi zao kuwa powerful? Sana sana walijiepusha na kila aina ya European influence chini ya Kingdomship ya U.K na Roman Empire mpaka kutengeneza kitu ambacho hakikuwepo duniani, yaani Democratic governance....Sasa kama kuwa smart kunamaana ya uchawa basi hapo na log off.....

Africans mind zina ukoko na kutu hasa ya kutawaliwa...Hazina confidence wala haziwezi kuamini katika wao wenyewe...Nadhani tukihangaika na hili tatizo itakuwa njema zaidi...Nasikitika kuzaliwa nchi inayoamini ya kuwa kuwa smart ni kuwa chawa wa watu weupe...A parasitic kind of association ..
 
She's smart mpaka amefikia hapo alipofikia sababu sidhani kama yeye ni zao la UVCCM au wale wakufikia sehemu aliyofika hapo sababu ya kua associated na Chama.
 
Upo sahihi sana mkuu.

Nadhani pia kwa dunia ya sasa ya utandawazi kuna namna ambavyo nchi fulani fulani zina nguvu ya kuathiri nchi zingine na kujenga hiyo taswira ya white superiority. Kama nchi msipojenga ukuta wa fikra kuchuja kipi cha kupokea, kipi cha kupotezea na ni kipi chenu cha kulinda na kutunza kama tunu ya dhahabu aisee mnaweza jikuta mmebaki na linchi dampo tu. Wizara ya elimu na utamaduni ndiyo kazi zake hasa kuhakikisha nchi pamoja na influences zote hizo lakini inalinda nafsi na identity ya nchi. Na ni wajibu wetu pia kuwakataa watu wetu wote wenye kuendekeza ukibaraka. Mimi hata sijui nini kimemponza mama Mulamula ila sijawahi kuvutiwa na viongozi wanaowaza kujiweka close na Washington au Beijing. Kiongozi wa nchi lazima awe visionary and independent minded. Mtu utaishije kwa maono ya watu wengine kama siyo utumwa tu huo?
 
Reactions: Ame

Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…