Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

Africa bado hatujajitawala kifikra na hii inafanya tusijiamini. Ikiwa kiongozi au mwanasiasa wa Africa anaongoza Africa lakini mawazo yake yapo Ulaya hapo mkuu unategemea nini.

Ukija kwenye soka Africa tunacheza ni kama hatujui tunachokitaka wachezaji wanacheza utadhani wako wanatoa birudani na siyo mashindano, hatuko agressive na mipango kama ya wenzetu wazungu. Juzi niliboreka sana na jinsi Cameroon walivyocheza yaan wamefungwa goli lakin wanavyocheza ni kama wao ndio wanaongoza yaani hawakuonesha purukushani yeyote ya kurudisha goal.
 
Mkuu mbona hata waarabu wametuzidi na wakati wamefuata mambo hayo ya kizungu unayosema kama elimu tiba za kizungu na hutumia teknolijia za wazungu ila mbona wenzetu wameweza kufika mbali na kutuacha sisi nyuma?
Wale Waarabu si wote...
Na hawajachukua Kila kitu kama sisi.
Wana dini yao, wana lugha zao, wana Mila zao, wana mafuta yao.
Sisi tuna nini?
 
Mifumo mingi ishavulugwa na kuisuka kwa namna ya kuwanufisha wao. Dini mungu wao, mfumo wa uchumi wamesuka wao, elimu yakwao, michezo sheria wamezitunga wao ni ngumu kutoboa bila kujitoa kwanza kwenye mifumo yote ambayo tumeletewa na hao watu
 
Alafu yule aboubakar kafunga goli la pili baada ya kuwai kuchukua mpira alrte kati eti anacheka na kushangilia kwa mbwembwe kabisa wakati muda huo matokeo yanasoma timu yake imefungwa 3-2.. ghana nae ivyo ivyo bado wamezidiwa magoli na ureno chukua mpira leta kati kuwaamsha wenzako ngoma bado hii jamaa kapiga goli kaenda kupiga siu pembeni ya uwanja
 
unachosema ni kweli, naamini hata tungepewa mafuta kama Qatar sasa hivi tungekuwa tunachinjana tu na masikini wa kutupa ref Congo, Congo ni nchi tajiri kuliko Qatar.
 
Wale Waarabu si wote...
Na hawajachukua Kila kitu kama sisi.
Wana dini yao, wana lugha zao, wana Mila zao, wana mafuta yao.
Sisi tuna nini?
Hakuna aliyechukua kila kitu hata sisi tuna lugha zetu,tuna mila zetu na tuna zaidi ya mafuta mkuu kushinda hao waarabu wenye mafuta tu.
 
Mkuu, ukijigundua kwamba una mapungufu Gani tayari umejiby hiyo swali lako.......
He wewe kama mwafrika unajionaje, kwa maana bara LA afrika ni watu siyo kingine..
Mwafrika ni mbinafsi kuliko kiumbe chochote....
Mwafrika ni mzembe kuliko kiumbe chochote.
Mwafrika ni mfitina kuliko kiumbe chochote....,


Malizia mengine uliyo nayo wewe pia
 
Ooh eti nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza Asali

Tatizo letu tunalijua ni ujinga yaani mpaka leo kuna watu wanawalaumu wazungu
Wakati wameachiwa kila kitu chao
Mzungu kaacha mito, maziwa hata madini
Yeye kaenda kufungua zoo kwao kwa kuonyesha vipepeo na nyani na Simba waliofungiwa kwenye vyumba na wanaingiza hela nyingi kuliko baadhi ya hifadhi zetu

Kutwa tunalaumu utawala utafikiri bado tunatawaliwa kisultani au Govana wa uk

Eti miaka ya nyuma tulikuwa tunawashinda Singapore kwa uchumi acha nicheke tu
Uzalendo my hairy ass
Misemo ya kijinga hii hapa
 
--Ubinafsi.
--Umimi,
--Mambo ya kipuuzi kuyafanya ndy yenye tija.
--Mambo yenye tija tukayafanya ya kipuuzi...


--Mtumishi wa serikalini anamiliki NYUMBA 30 za kifahari ,magari ya kifahari 10 na Bado anaendelea kuiba Mali ya umma,
Taasisi zinajuwa Lakini hafanywi chochote.

--Daktari anaamua kuchukuwa dawa ktk hospital ya serikali na kupeleka hospital zake binafsi.
Taasisi zinajuwa Lakini hafanywi chochote,
--Watu wenye mamlaka wanavuruga mfumo mzima wa elimu ya serikali inchini,
Ili waweze kuendeleza shule zao za private.
Taasisi zinajuwa Lakini hafanywi chochote.
--Mtu anapokea rushwa kupindisha sheria mahakamani,
Taasisi zinajuwa Lakini hafanywi chochote.

--Mtu amekamatwa na BANGI/Madawa ya kulevya ambayo hayana athari yeyote Kwa taifa wala Kwa jamii anafungwa Miaka 30 jela
..au maisha.

Wakati wale wanaosababishia hasara na kuharibu inchi wao Wanaonekana ndy wasafi...

Trump alikuwa sahihi kabisa kusema Africa is a shit hole..

Wenzetu wazungu wanakuwa serious Sana kwa mambo ambayo ni hatari Kwa taifa kuliko maslahi ya mtu mmoja mmoja..
Unamiliki pesa Chafu,
Mwizi,
Rushwa,
Kupiga mwanamke,
Kujeruhi ,
Wizi wa silaha
Muhujumu uchumi,nk,,
unapigwa Miaka mingi jela..
*Kesi zingine upuuzi mtupu
 
I doubt sababu tume abandon Miungu yetu ya Asili na kupokea ya wageni.Wametuacha tunyooshwe nayo
 
Tatizo viongozi kukosa maarifa.wewe unaona tu rais kama samia tutafika kweli?
Siamini katika hili labda sisi ndio wabovu maana iweje nchi zote za weusi tuwe hovyo??? Viongozi hatuwapati nje ya nchi bali ni miongoni mwetu, shortly hatuna akili sawa na weupe.
 
Wakina Nyerere na wenzake walikurupuka kuwafukuza wazungu. Walikuwa hawako tayari kutawala bado.
 
Kwenye mada hizi huwa kila mtu anaongea lake, utasikia huyu anasema oh sababu waafrika tunapenda sana ngono mara oh waafrika tumeacha dini zetu mara sijui sababu ni vyakula tunavyokula mara oh waafrika hatuna akili.
 
Afrika tatizo kubwa ni elimu, watu hawana elimu, elimu haipewi thamani na nidhamu ipo chini pia.
 
Jibu la swali hilo ni jibu lile lile la siku zote “ SELFISHNESS “
 
Ndio kukosa akili kwenyewe, anakuja vipi mtu anakubadilisha asili yako na wewe unakubali?
 
Ngono ngono ngono...mawazo yote mmelekeza huko...hakuna mgunduzi (whites) aliyepata kuwa serious na ngono..anzia Kwa Newton mpaka akina da Vinci...hawajawai hata siku Moja kudili na madem
Uzinzi na umasikini vinaendana.Ngono usambaza magonjwa ya kimwili na kiroho ikiwemo laana,mikosi na umasikini. Thus kuna amri usizini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…