Yaani utoke utokako uje chooni upange mipango ya wizi!Kupangia mipango ya wizi chooni[emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji23]Tatizo kunya pembeni, benki hapata kalika
We unapenda kuweka pesa ama gogo
Na wenyewe waache sasa kuwakalisha foleni wateja wao kwa masaa kibao, huku madirisha ya kutolea huduma yakiwa hayana wahudumu.Ndio ni sababu za kiusalama kumbuka ni ngumu kumfuatilia mtu anapokuwa chooni na huwezi kuweka camera hivyo mtu anaweza kuingia kule aka army kisha akapanda juu anavunja up bord akatambaa kama nyoka hadi anapotaka akavunja akatumbukia Chini akaiba na kuuwa na kujeruhi kisha akapitia njia ile ile akarudi as if hakuna kilichotokea.
USSR
Hivyo sio vyoo mkuu ,,kujisaidia kwny choo Cha kukaa Ni kukosa hekimaWajenge vya kukaa kabisa.
Kwhy wewe uliyekuwa unakunya ulikuwa unapanga kuiibia bbenk?Yaani utoke utokako uje chooni upange mipango ya wizi!
Huna akili kabisa 😂Kuna bank fulani choo kipo tena kinaonekana. Nilipokiona nikaingia nikamaliza mambo yangu nilipotoka mfanyakazi wa benki ananiambia hicho choo sio cha wateja ni cha wafanyakazi. Nikamwambia nimeona alama ya choo tu sijaona katazo wateja tusitumie.
Siku yoyote nikizidiwa naingia humo.
Ndugu mbona maneno makali asubuhi yote hii?Kwhy wewe uliyekuwa unakunya ulikuwa unapanga kuiibia bbenk?
Huna akili kabisa 😂
Benki ni kwenda kuweka hela na sio makimba.Kwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!
Hili ni suala la usalama au biashara?
Wajauzi tufahamisheni.
Wanatoa huduma za kifedha. Wamelenga kwa hicho wanachofanya.Kwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!
Hili ni suala la usalama au biashara?
Wajauzi tufahamisheni.
Sababu za kiusalamaKwa nini Benki huwa hazina vyoo vya umma kwa ajili ya wateja wake? Ikiwa mtu anahitaji huduma ya choo akiwa benki anafanyaje ikizingatiwa kuna wakati mtu anaweza kukaa hadi nusu saa benki akisubiria huduma!
Hili ni suala la usalama au biashara?
Wajauzi tufahamisheni.
Benki ni kwenda kuweka hela na sio makimba.
Nisamehe ndugu nilitaka kukujibu na kamzaha kidogo sema nikaweka na kitimoto ,nisamehe tuNdugu mbona maneno makali asubuhi yote hii?
wale wanatakiwa wanye kwao waende pale utumbo mkavuVipi wale wanaoenda kutafuta mikopo au kufuatilia matatizo kwenye akaunti zao?
Daah hii dunia tutaisingizia mengi kumbe akili za wanadamu.Hivyo sio vyoo mkuu ,,kujisaidia kwny choo Cha kukaa Ni kukosa hekima
Vyoo vipo ila unamuomba afwande ndo uingie maana ni maalumu kwa stafu wa benki, hatahivyo vipo nje haviungani (vipo mbali) na majengo ya kutolea huduma za kifedha nadhani ni kwajili ya usalama...
Ukiuliza (ukitaka) vyoo vya umma benki eti kisa ni sehemu ya huduma kwa jamii basi utatakiwa kujiuliza pia vyoo vya umma mahakamani, shuleni, polisi, halmashauri, na kadhalika maana namo ni sehemu za huduma kwa jamii
Siwezi kunya then badala kinyesi kiende zake Sasa kinarudi kugonga kilipotoka Ni kukosa hekimaDaah hii dunia tutaisingizia mengi kumbe akili za wanadamu.