Aisee we ndugu nimekupenda bure!! Swali fikirishi na la msingi ila tunachukulia for granted tu. Kama stendi, kanisani, sokoni, hospitalini, shuleni n.k. kuna vyoo, kwa nini benki hazitujengei vyoo sie wateja wakati tunakaaga humo benki sometimes for hours? Na mie nasubiri majibu aisee...Ni hilo tu kwa leo...kama unafahamu sababu tuambie ,unaingia mle gogo likibana unasamehe foleni unasepa...kwamba hawawajali wateja? ...ni nini...au haimo kwenye requirements za BOT for one to qualify for a desired facility...
Ujambazi utashamiri, watu watakuwa wakijipanga chooni kufanya uharifuNi hilo tu kwa leo...kama unafahamu sababu tuambie ,unaingia mle gogo likibana unasamehe foleni unasepa...kwamba hawawajali wateja? ...ni nini...au haimo kwenye requirements za BOT for one to qualify for a desired facility...
Meneja alikuwa huko chooni badala ya kuwahudumia wateja?Kuna benki fulani jina nalihifadhi ina choo, niliingia moja nilipotoka meneja akaniambia sio cha wateja!
Unatakiwa ujisaidie kabla ya kuingia huko.hahaaaa
kuna bank moja hapa jina kapuni hapa Kimara mwisho pia kuna office za TRA ktk hilo jengo ...
mbona wana huduma ya choo pia kwa wateja wao
hapana mkuu waweza kuacha jam ..kisha ukaenda maliwatoni Mara moja...mimi nilitoka hapo juzi tu mkuuUnatakiwa ujisaidie kabla ya kuingia huko.
Mkuu hawaweki vyoo kwa sababu za kiusalama.hapana mkuu waweza kuacha jam ..kisha ukaenda maliwatoni Mara moja...mimi nilitoka hapo juzi tu mkuu
nikweli usemacho kabisaa sipingi hoja...ila pale katk lile jengo kuna office tofauti tofaut ..so huwa wanatumia vyoo vya nje nyuma ya jengo..nasio kutumia vyoo vyao vya ndani...nop.Mkuu hawaweki vyoo kwa sababu za kiusalama.
Kwa maelezo yako mkuu ni kwamba kuna sehemu maalum ya vyoo kwamba watu wanatoka wanakotoka ili kufuata vyoo ambavyo viko sehem maalumBank unaenda kuweka/ kuchukua hela au kukata gogo?
Okeynikweli usemacho kabisaa sipingi hoja...ila pale katk lile jengo kuna office tofauti tofaut ..so huwa wanatumia vyoo vya nje nyuma ya jengo..nasio kutumia vyoo vyao vya ndani...nop.
HahaaKwani shule unaenda kusoma au kukata gogo ama kukojoa
Pamokoasnte
Zipo Ila ni maalmu kwa sisi staff tu.Swali zuri sana.
Pia wao wafanyakazi huwa wanatimiza haja zao wapi kama hizo sehemu za kutimizia haja hazipo?