Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kasome historia ya Wanyakyusa na Wakonde ndipo utajua kwamba wewe ndio umeandika kilevihutaki kujibu mzee wangu, umejibu kilevi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome historia ya Wanyakyusa na Wakonde ndipo utajua kwamba wewe ndio umeandika kilevihutaki kujibu mzee wangu, umejibu kilevi
Ndiyo msaidie sasa kashindwa kuelewa ndiyo maana kaomba msaada kwa mnaojua. Sijaona bayaAcheni kusoma biblia kama novel, someni biblia kwa msaada wa roho mtakatifu ndio mtafunuliwa siri zake. Umeshiba zako ugali unakuja kusoma biblia kama unasoma novel hutaelewa
duh!Kasome historia ya Wanyakyusa na Wakonde ndipo utajua kwamba wewe ndio umeandika kilevi
Mkuu nipo hospital hapa nimejuka nacheka na hii comment yako Hadi watu wamenishangaa.....Kama umewajua kupitia Biblia, iweje sasa useme Biblia inakuficha? Vitabu vingine vya mathematics, chemistry, physics etc mbona husemi vinakuficha kuhusu majitu hayo?
oneni hizi tenzi malaika alifukuzwa mbinguni akaja duniani kuwapelekea Moto madem zetu..Wanefili ni malaika waliofukuzwa mbinguni. Baadae wakaja kuzaa na binadamu.
Malaika walizini?Kasome upya biblia ..mbona uzao wao umeandikwa kuwa ulitokana na malaika kuzaa na wanadamu....tayari walisha changanya damu na hao uzawa wa nuhu
Ndiyo ilivyo andikwa kuwa walijigeuza wanadamu na kuzini na binti za binadamu ..... hivyo wakazaliwa binadamu wenye nguvu na miili mikubwaMalaika walizini?
Kama biblia kama ilivyoandikwa mwisho hao Malaika Mungu aliwatupa kuzimumalaika gani hao wapenda mbususu?
Lakini ilithibitishwa na yesu pia ...pale alipo sema 👉kama ilivyo kuwa zama za nuhu ndivyo itakavyo kuwa kizazi hiki mpaka pale nuhu alipoingia kwenye safina na mlango kufungwa ndivyo itakapo kuwa kwa kizazi hiki...Nampenda Mungu na namuamini Mungu yupo ila hii story ya safina na nuhu tulipigwa
Unaweza kunipa tafsiri ya Mwanzo 6 1-3??Ndiyo ilivyo andikwa kuwa walijigeuza wanadamu na kuzini na binti za binadamu ..... hivyo wakazaliwa binadamu wenye nguvu na miili mikubwa
Inakuaje Bwana amefeli kwa kile alicho kitengeneza? Vip kama kuna program zingine anaendelea kufeli hayapo kwenye hadithi hizo za wazunguMwa 6:1-12
Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua. BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini. Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa. BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote. BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. BWANA akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewafanya. Lakini Nuhu akapata neema machoni pa BWANA. Hivi ndivyo vizazi vya Nuhu. Nuhu alikuwa mtu wa haki, mkamilifu katika vizazi vyake; Nuhu alikwenda pamoja na Mungu. Nuhu akazaa wana watatu wa kiume, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Dunia ikaharibika mbele za Mungu, dunia ikajaa dhuluma. Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mwenye mwili amejiharibia njia yake duniani.
Weka hapa wengine hatujui kusoma namba namba..Unaweza kunipa tafsiri ya Mwanzo 6 1-3??