Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

Mwa 6:1-12​

Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua. BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini. Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa. BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote. BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. BWANA akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewafanya. Lakini Nuhu akapata neema machoni pa BWANA. Hivi ndivyo vizazi vya Nuhu. Nuhu alikuwa mtu wa haki, mkamilifu katika vizazi vyake; Nuhu alikwenda pamoja na Mungu. Nuhu akazaa wana watatu wa kiume, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Dunia ikaharibika mbele za Mungu, dunia ikajaa dhuluma. Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mwenye mwili amejiharibia njia yake duniani.
Tufafanulie mkuu maana hapo tiyari tumeona wana wa Mungu na wanefili hapo kuna vitu viwili tofauti
 
1.Vitabu hivi vinavyoitwa vya Mungu vina taratibu za kusoma kwake....kuna baadhi ya maandiko unaweza usome na usielewe chochote bila ya msaada!
2.baadhi ya vitabu hivyo vimepunguzwa sana yale maandiko sababu ingekuwa ni mibuku isobebeka kwa sababu mengi mule ni maneno ya watu
3.kama nilivyosema hapo juu yataka msaada wa wasomi kuelewa matumizi ya LUGHA, NYAKATI NA MAHALI, unadhani iligharikishwa DUNIA nzima kwamaana ya GIMBA lote hili? Mungu anataratibu za kupeleka muonyaji mahala penye shida mkikataa anawaramba, pekua habari za lotu na wengineo...kumbuka zama hizo dunia haikuwa kijiji ilikuwa dunia dunia kweli...ukizaliwa msanga utafia msanga chanika tu kufika ni muhali..!
4.Malaika unamtambuaje kupitia hiko kitabu chako? Kumbuka walipopita kwa Ibrahim na kumpasha habari za uzao na kumwambia kule wanapoenda aliwatayarishia CHAKULA KINONO walikula? Kwa nini hawakula? Je Unadhani wanaweza kutomba na kutombwa?
4.chochote unachokiona ama unaaamini kipo kati ya waandamu basi asili ya yake ni umbo moja la Bwana Adamu na Manzi wake Hawa...na kilichotokea ni kutawanyika tu duniani na maumbo rangi na vimo NI KUTOKANA NA MAZINGIRA.....!
FUNGUKA...halafu we kwanza hayo MAJITU UNATATAKA YA NINI...Si umsome Yesu vile kaishi na wewe uishi japo robo yake vile aliishi mji wako usalimike🤪
Hayo tunasoma kuelewa ndiyo maana yaliandikwa yote mwanzo hadi ufunuo
 
baadhi wali survive kwenye galika
Si Kweli,

Neno halisemi hivyo.

Pepo anapojibadili na kuvaa mwili. Akawa mwanadamu, mkifanikiwa kuangamiza mwili, anarudi katika form ya kiroho,

Anaweza kuja tena Kuzaliwa baadae katika mwili mwingine autakao.

Ndipo ujue, mapepo na majini ni zaidi ya 6/10, WANADAMU ni 4/10 au chini ya hapo.

Wanefili wa Leo giants ni Wachache, Walio wengi Wana miili kama sisi tu, hawataki tuwastukie.

Wapo Hadi Leo, wanaitwa uzao wa nyoka,

Mnaonunua Malaya wengi wa wanawake ni mapepo, Nephilim.

Mnaendeleza uzao wa nyoka duniani Kwa kujua na kutojua.
 
Wanefili si ndio product ya Wana wa Mungu na wanadamu?
Sina uhakika.Kwa uelea wangu nasoma ......Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; hii walikuwapo siku zile bado tumefichwa walitokana na uzao wa nani maana biblia haijafunguka kabisa inawataja ghafla tu kwa mtindo huo.
 
Nipo hapa kijana niliyebobea Theology.
Biblia haijaficha kitu na haikuwa na lengo la kuficha chochote, ingawa nakiri kuwa biblia haijaandika vitu vyote kwasababu mbalimbali.
Majini au tuite bad angles au fallen angels walipenya na kuanza mahusiano na wanadamu duniani.
Familia zote duniani zikawa tayari demonize yaani tayari kila familia ilikuwa imeshazaa na majini kasoro familia moja tu ya Nuhu. Mungu alipoangamiza dunia kwa gharika lengo lilikuwa kusafisha dunia (kuondoa kizazi cha mijitu) ingawa watu wanadhani dhambi ndio sababu. Kama dhambi ingekuwa sababu basi kizazi hichi nacho kingefutwa kwa 80%-90% au zaidi.
 
Kwahiyo nikweli biblia haijasema wazi kuwa ni uzao wa malaika na binadamu?
 
Hata kitabu cha yohana pia unashindwa kukisoma? Sasa kwenye taasisi (kanisani) unaendaga kufanya nini?
Mimi siyo mtu wa madhehebu ya dini uwezi kunikuta kanisani lawa msikitini hata siku moja ....punguza kula nyuruwe wewe pimbi🙄🙄
 
Mimi tena ndo nile nguruwe au Wewe kondoo ndo upunguze mbona unajichanganya kijana
Kwani ujui kuwa nguruwe walio chinjwa kwa kuelekezwa kibra ndiyo unatakiwa kumla kama mudi boy alivyo fundisha na kuagiza....
 
Si Kweli,

Neno halisemi hivyo.

Pepo anapojibadili na kuvaa mwili. Akawa mwanadamu, mkifanikiwa kuangamiza mwili, anarudi katika form ya kiroho,

Anaweza kuja tena Kuzaliwa baadae katika mwili mwingine autakao.

Ndipo ujue, mapepo na majini ni zaidi ya 6/10, WANADAMU ni 4/10 au chini ya hapo.

Wanefili wa Leo giants ni Wachache, Walio wengi Wana miili kama sisi tu, hawataki tuwastukie.

Wapo Hadi Leo, wanaitwa uzao wa nyoka,

Mnaonunua Malaya wengi wa wanawake ni mapepo, Nephilim.

Mnaendeleza uzao wa nyoka duniani Kwa kujua na kutojua.
GIants hawaweze kuvaa miili tena maana ni abomination both in dark and light, uzao una uongelea ni tofauti kabisa na wanafeli bali hao ni watoto wa lilith
 
Kwani ujui kuwa nguruwe walio chinjwa kwa kuelekezwa kibra ndiyo unatakiwa kumla kama mudi boy alivyo fundisha na kuagiza....
Ona huyu choko nguruwe anauliwa hachinjwi au haujui hata kama nguruwe Hana shingo

Hv nguruwe una mjua? Au unajua usnge tu
 
Back
Top Bottom