Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

Huyo hafahamu kuwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu na maandiko aliyoyataka King James au mnajitia wazimu tu kujidanganya eti ni kitabu cha mungu?
 
Huvibhamafahamu kuwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu na maandiko aliyoyataka King James au mnajitia wazimu tu kujidanganya eti ni kitabu cha mungu?
Kama huna jibu pita kule kuliko kuja hapa kubeza kitabu cha wenzako.
Umeshindwa kutoa maoni kule waliko halalisha watoto miaka 9 waolewe unakuja mbiombio hapa kubeza kitabu kitakatifu?
 
Ona huyu choko nguruwe anauliwa hachinjwi au haujui hata kama nguruwe Hana shingo

Hv nguruwe una mjua? Au unajua usnge tu
Hapa patamu ndiyo faida ya kubishana na mazuzu wa mtume mudi boy ....kama nguruwe achinjwi basi muhammad alisema muislamu anaweza kula nguruwe akiwa na njaa ...kumbe huyo nguruwe ambaye mudi boy anawaruhusu waislamu kumlq ni kibudu maana mnyama asiye chinywa kwa kufuata taratibu za Kiislamu huyo ni kibudu tu ...sasa nieleweshe muhammad alivyo waruhusu waislamu kula nguruwe je huyo nguruwe uchinjwa namnq gani kabla ya muislamu kumla ? FaizaFoxy
 
Huvibhamafahamu kuwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu na maandiko aliyoyataka King James au mnajitia wazimu tu kujidanganya eti ni kitabu cha mungu?
Du we muhuni upo 😁😁😁 mimi nilijua umesha kuwa mzoga duniani hivyo tayari upo kwenye gesti ya mbinguni ya mudi boy ukiwa umepewa mabasha 70 kama zawadi 😁😁😁😁😁 we fara kumbe upo hai bado,...Na maswali yangu ninayo kutag kabisa ujibu kuhusu mudi boy😁😁😁😁
 
Kisha nijibu swali langu sasa wanefili walitoka katika uzao wa nani?
Usitake ku modify swali, watu tupo makini humu. Swali lako halikusema waenefi katika uzao wa nani, bali lilisema
"Kwa nini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?"

Kubaki kwanza ulichoandika ili tuendelee, na tutaendelea tulipoishia kuwa, kama Biblia imeficha, wewe hiyo habari ambayo unayo kuhusu waenefi umeinukuu kutoka kwenye kitabu gani? 😄
 
Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja wanefili.

Nadhani hukulewa niliuliza verse ya kwanza kabisa. sasa wewe unahitaji ningeuliza vipi ukaelewa nimesema wazi kuwa sijawahi ona kuwa wanefili wametokana na uzao wa mtu fln.
 
Uwe unasoma maelezo kuliko kukimbilia kujibu swali mkuu
 
Nadhani hukulewa niliuliza verse ya kwanza kabisa. sasa wewe unahitaji ningeuliza vipi ukaelewa nimesema wazi kuwa sijawahi ona kuwa wanefili wametokana na uzao wa mtu fln.
mods walikubadilishia title ya uzi au ipo kama ulivyoiandika wewe?
 
Haijabadilishwa iko vilevile. Tatizo hukusoma maelezo kwa kina tena mwanzo tu hapo nilisema wazi kuwa hakuna sehemu tumeambiwa walitokana na uzao mtu fulani.

Hata Title ililenga hivyovyo kuwa uzao wa manefili(chimbuko)
 
Du we muhuni upo 😁😁😁 mimi nilijua umesha kuwa mzoga duniani hivyo tayari upo kwenye gesti ya mbinguni ya mudi boy ukiwa umepewa mabasha 70 kama zawadi 😁😁😁😁😁 we fara kumbe upo hai bado,...Na maswali yangu ninayo kutag kabisa ujibu kuhusu mudi boy😁😁😁😁
Sikushangai, mafunzo ya king james ni zaidi ya hayo, jitajidi sana kumsoma.
 
Back
Top Bottom