Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

Kwanini Biblia ilituficha kuhusu uzao wa majitu/Wanefili?

Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja wanefili.

Sote tuna soma mwanzo 6 hadi9 na kuona ya kwamba Mungu aliingamiza dunia na viumbe vyake vyote isipokuwa waliokuwa ndani ya safina pekee yaani kwa upande wa binadamu ni familia ya Nuhu pekee ndiyo ilipona.

Sasa baada ya gharika hawa wanefili walitokea wapi tena ili hali biblia ina sema....

Mwanzo 7:23 Mungu akaangamiza kila kiumbe kilichokuwa hai duniani: Binadamu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Vyote viliangamizwa duniani. Noa tu ndiye aliyesalimika na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina. 24Maji hayo yalidumu katika nchi siku 150.

Hivyo ni wazi kuwa kila chenye uhai kiliangamizwa kabisa kabisa.

Swali

Hawa wanefili baada ya gharika walitokea wapi tena?.

KARIBUNI
Wakati mwingine haya maandiko matakatifu huwa yanachanganya sana na sijui uandishi wake ulikuwa Vipi.

Nilishawahi kuweka uzi hapa

Thread 'Waandishi wa Agano Jipya walifanya makusudi au walijisahau?' https://www.jamiiforums.com/threads...ya-walifanya-makusudi-au-walijisahau.2282339/
 
Nilichokibeza nini na ndio ukweli, au huupendi ukweli?

Biblia yenyewe haijui kama inaitwa biblia.

Nioneshe mstari ndani ya biblia wenye neno "bibli".
Kwani ndani ya msahafu kuna washia au wasuni ....neno biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali kama lilivyo neno msahafu kuna injili kuna torati kuna zaburi nk
 
Au Uzi wako ulifutwa? Naambi kumradhi Kuna tatizo kidogo😀😀
Neno BIBLIA lina maana ya mkusanyiko wa vitabu na ndani ya mkusanyiko huo kuna maandiko ya AGANO LA KALE na maandiko ya AGANO JIPYA.... Maandiko ya AGANO LA KALE ni mengi sana yamepangiliwa vyema na ni rahisi sana kueleweka kuliko maandiko machache ya AGANO JIPYA... Ndio maana Wasabato na Waislamu wengi wanayakubali sana maandiko ya AGANO LA KALE kuliko maandiko ya AGANO JIPYA.🙏

Ukisoma kitabu cha AGANO LA KALE kuanzia MWANZO hadi MALAKI unaweza kuwafahamu vyema wahusika wote na hata koo zao.👉 Lakini ukisoma kitabu cha AGANO JIPYA utaona waandishi wamelipua au wameunga unga vipande vya maandishi wala huwezi kukuta kurasa walau 4 zinaelezea kitu kimoja. Stori hazijitoshelezi

Kuanzia MATHAYO mpaka UFUNUO... Utakutana na stori au hadithi zilezile chache zinazofanana harafu utakuta mwandishi ktk AGANO JiPYA, anasema eti "Kuna mambo mengi aliyofanya Yesu, ambayo yakiandikwa mojamoja nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa" YOHANA 21:25.

Je, hii ilikuwa ni kweli? Waandishi walijisahau au waandishi waliamua tu kufanya makusudi Kwa lengo Yesu asiweze kusomeka kwa mambo mengi ambayo mengineyo (huenda) yangedhoofisha 'Utakatifu' 'Unabii' 'Uana wa Mungu' au 'Uungu wake?' Maana haiwezekani waandishi kama MATHAYO, MARKO, LUKA na YOHANA... Wakajikuta wote kwa pamoja wanaandika jambo lilelile kumhusu Yesu, bila ya kusimulia story tofauti wakati kila mmoja aliandika INJILI kwa wakati wake.

Kwamfano... MATHAYO angeandika INJILI yake kwa ufasaha kabisa kuhusu uzao wote wa Yesu uzao wa wazazi wake pamoja na ndugu zake wote. Kisha MARKO naye angeandika INJILI yake historia ya maisha ya Yesu kuanzia alipofikisha umri wa miaka 12 mpaka 29 kwamba (Yesu) alikuwa anaishi wapi, alikuwa anapendelea kufanya nini na nini na alipofikisha umri wa kufanya kazi alifanya kazi gani?

LUKA na YOHANA pamoja nyaraka kadhaa za akina Mtume PAULO... Wenyewe wangeandika kama hivi walivyoandika kazi za Yesu alipoanza kuhubiri INJILI akiwa na umri wa miaka 30... Naamini vitabu vingetosha kabisa na sisi wasomaji tusingechoka kuvisoma na wala tusingefikia hatua ya kutofautiana hata kuzalisha madhehebu mbalimbali ya kidini.

Angalia jinsi waandishi wote wa AGANO JiPYA walivyoacha kuandika Siku, Tarehe, Mwezi na hata Mwaka aliozaliwa Yesu... Watu wengine baadae walipokuja kusema kuwa "Yesu amezaliwa Desemba 25" Ndipo Wasabato na Waislamu walipoamua kupingana ktk hilo... Na sio ktk hilo tu...Hata kwenye masuala ya ulaji wa nyama ya Nguruwe, siku maalum ya kuabudu Mungu, Kufunga mwezi mtukufu, Sikukuu ya Pasaka na hata kuoa, kuolewa na Talaka... AGANO JIPYA halifafanui kwa uwazi kama ilivyo AGANO LA KALE.

Mitume na Manabii wote walioandikwa ktk kitabu cha AGANO LA KALE wametajwa kwa uwazi majina ya wazazi wao wote mpaka ndugu zao... Lakini ukisoma kitabu cha AGANO JIPYA ni vigumu sana kukuta majina ya wazazi wa mama yake Yesu na vigumu sana kukuta majina halisi ya ndugu zake Yesu. Ingawa inasemekana Yesu alikuwa na mama zake wadogo, Shangazj zake, Wajomba zake, Kaka na Dada zake...

Pia alikuwa na Babu pamoja na Bibi zake ambao wanatajwa kuwa ni (Anna na Yoakimu), lakini ndani ya AGANO JiPYA hawakuwekwa wazi.

Vilevile si rahisi kukuta ktk AGANO JIPYA imeandikwa kazi alizofanya Yesu (kabla hajaanza kuhubiri), si rahisi kukuta imeandikwa kama Yesu alikuwa na mke au mpenzi au alikuwa hana kabisa AGANO JIPYA limekwepa kabisa kuandika yote hayo, ingawa inatambua wazi Yesu alikuwa ni mwanadamu mkamilifu kama walivyo wanadamu wengine... Alikuwa Analala, Anakula na Kunywa, Alikuwa anavaa Nguo. Alikuwa anajisaidia haja ndogo na kubwa... Alikuwa anachukia na kufurahi... Alikuwa anachoka, Alibatizwa, Alitahiriwa, Alikuwa anasali na kuomba Dua na pia alikuwa na matamanio kama walivyo wanadamu wengine (maana alitamani hata kula matunda ktk mti fulani) na alipokuta matunda hakuna Yesu alichukia.

Kama ukisoma kwa kuunga unga maandiko ndani ya AGANO JIPYA, utagundua kuwa akina YUDA walikuwa wawili na mmoja ni ndugu yake Yesu. Akina Mariamu walikuwa watatu ambapo mmoja ni mama yake mzazi, wa pili mama yake mdogo na wa tatu ni Mariamu Magdalena (ambaye amezua gumzo sana ulimwenguni). Pia utagundua Simeoni Petro, Andrea, Yakobo, Yohana, Yuda, Yosefu au Yusufu, Salome na Yohana walikuwa ni ndugu wa mama mmoja (Mariamu mama yake mdogo Yesu) lakini baba tofauti. Lakini Yohana Zakaria alikuwa ni kaka wa Yesu (mtoto wa mama yake mkubwa Elizabeth).

Unga unga maandiko haya ili kuwajua ndugu wa Yesu: MATAYO 13:55 👉 MARKO 6:3 👉 LUKA 6:13:16 👉 MARKO 15:40 👉 LUKA 24:10 👉 MARKO 1:29 👉 YOHANA 19:25 👉 MATENDO 12:12:17 👉 MATENDO 12:2 na YUDA 1:1. Petro na Andrea baba yao ni Yohana. Yakobo na Yohana baba yao ni Zebedayo.

Bado kuna hili la mafumbo! Katika AGANO JIPYA kuna maandiko mengi yenye muundo wa Mifano, Methali na Mafumbo... Ambayo ni vigumu kwa watu wengi kuelewa wakati kitabu chenyewe kimatafsiriwa katika llugha zote za ulimwengu... Mfano ni INJILI ya YOHANA INJILI hii ndio imehusika zaidi kumficha mwanafunzi aliyependwa na Yesu bila ya kumtaja jina mpaka mwisho. Je, lengo hapa lilikuwa nini?

AGANO JIPYA haikuandika wazi kusema kama Yusufu na Mariamu (baada ya posa) walioana? Waliendelea kuishi pamoja hadi kifo kilipowatengenisha? Walizaa watoto wengine tofauti na Yesu? Je, walikufa wakiwa na umri wa miaka mingapi? Walizikwa wapi?

AGANO LA KALE wamezingatia kuandika yote haya... Lakini AGANO JIPYA limepuuzia Ndio maana watu wengi wanajikuta wakisema: "INJILI ni ngumu sana kuielewa mpaka uvuviwe na Roho Mtakatifu" MATENDO 19:13: 20 na MATENDO 8:9:25 🙏

Je, waandishi wa AGANO JiPYA walijisahau au waliamua tu kufanya makusudi kutoandika kweli yote?
 
Kwani ndani ya msahafu kuna washia au wasuni ....neno biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali kama lilivyo neno msahafu kuna injili kuna torati kuna zaburi nk
King james umesoma habari zake au unapayuka tu?
 
Kwani mudi boy aliye waruhusu hadi waislamu haswa maswahaba kula nguruwe wakiwa na dhiki ya njaa sembuse wewe muisiharamu eti unajitia uwezi kula nguruwe wakati maswahaba walikula walipo patwa na njaa kwa muongozo wa King James mudi boy
Swali limekuwa gumu kwako? Soma tena:

King james kawaruhusu kula nguruwe?
 
Ebu soma hapa
Mwanzo 5;
Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;
2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
3 Adamu akaishi miaka mia na thelathini, akazaa mwana kwa sura yake, kwa mfano wake, akamwita jina lake Sethi.
4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake.
5 Siku zote za Adamu alizoishi ni miaka mia kenda na thelathini, naye akafa.
6 Sethi akaishi miaka mia na mitano, akamzaa Enoshi.
7 Sethi akaishi baada ya kumzaa Enoshi miaka mia nane na saba, akazaa wana, waume na wake.
8 Siku zote za Sethi ni miaka mia kenda na kumi na miwili, akafa.
9 Enoshi akaishi miaka tisini, akamzaa Kenani.
10 Enoshi akaishi baada ya kumzaa Kenani miaka mia nane na kumi na mitano, akazaa wana, waume na wake.
11 Siku zote za Enoshi ni miaka mia kenda na mitano, akafa.
12 Kenani akaishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.
13 Kenani akaishi baada ya kumzaa Mahalaleli miaka mia nane na arobaini, akazaa wana, waume na wake.
14 Siku zote za Kenani ni miaka mia kenda na kumi, akafa.
15 Mahalaleli akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.
16 Mahalaleli akaishi baada ya kumzaa Yaredi miaka mia nane na thelathini, akazaa wana, waume na wake.
17 Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa.
18 Yaredi akaishi miaka mia na sitini na miwili, akamzaa Henoko.
19 Yaredi akaishi baada ya kumzaa Henoko miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake.
20 Siku zote za Yaredi ni miaka mia kenda na sitini na miwili, akafa.
21 Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
22 Henoko akaenda pamoja na Mungu baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, akazaa wana, waume na wake.
23 Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano.
24 Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu alimtwaa.
25 Methusela akaishi miaka mia na themanini na saba, akamzaa Lameki.
26 Methusela akaishi baada ya kumzaa Lameki miaka mia saba na themanini na miwili, akazaa wana, waume na wake.
27 Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa.
28 Lameki akaishi miaka mia na themanini na miwili, akazaa mwana.
29 Akamwita jina lake Nuhu, akinena, Huyu ndiye atakayetufariji kwa kazi yetu na kwa taabu ya mikono yetu katika nchi aliyoilaani Bwana.
30 Lameki akaishi baada ya kumzaa Nuhu miaka mia na tisini na mitano, akazaa wana, waume na wake.
31 Siku zote za Lameki ni miaka mia saba na sabini na saba, akafa.
32 Nuhu alikuwa mwenye miaka mia tano, Nuhu akawazaa Shemu, na Hamu, na Yafethi.


Kisha nijibu swali langu sasa wanefili walitoka katika uzao wa nani?
https://www.jamiiforums.com/javascript:window.print()
Wewe upo timamu kichwani kweli ? mbona umejichanganya sana kwenye hii comment yako na swali lako ....kabla sija kusaidia kukujibu nakushauri rudia kusoma tena hivyo vizazi utajua ujinga wako 😁😁😁😁
 
Naweka wazi kuhusu hili Kwa mtumishi mmoja anaitwa Musa meizon wa mbezi alifafanua vizuri ndy hapo utajua Kuna giant na watu warefu.

Egypt pia wanahistory kuhusu watu hao Wana nguvu sana yani kama wange unda jeshi lao kizazi Cha binadamu wa kawaida kingekuwa na wakati mgumu kidg.

Nikifa MkeWangu Asiolewe
 
King james umesoma habari zake au unapayuka tu?
Kabla ya mudi boy hakukuwa na neno msahafu kumbuka ...katika injili neno msahafu hakuna.... katika torati neno msahafu hakuna..... na katika zaburi neno msahafu hakuna ....je mudi boy kalitoa wapi neno msahafu ....maswali yako ni ya kijinga
 
Kuna Malaika walipokuwa wakitumwa duniani walikuwa wakitamani Wanawake wazuri hivyo wakaanza kujibadilisha kuvaa miili ya kibinadam na kuzaa na binadamu ndio kikatokea hicho kizazi Cha wanefili
Hao malaika waliowakula binadamu, kuna kitu walifanywa na huyo aliyewaumba?
 
Tangu mwanzo hadi ufunuo sijawahi ona biblia imetamka wazi kuwa manefili yalitokana na uzao wa mtu fulani sijawahi ona hilo andiko.Badala yake maandiko yanakuwa yanaibuka ghafla tu na kuwataja wanefili.

Sote tuna soma mwanzo 6 hadi9 na kuona ya kwamba Mungu aliingamiza dunia na viumbe vyake vyote isipokuwa waliokuwa ndani ya safina pekee yaani kwa upande wa binadamu ni familia ya Nuhu pekee ndiyo ilipona.

Sasa baada ya gharika hawa wanefili walitokea wapi tena ili hali biblia ina sema....

Mwanzo 7:23 Mungu akaangamiza kila kiumbe kilichokuwa hai duniani: Binadamu, wanyama, viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Vyote viliangamizwa duniani. Noa tu ndiye aliyesalimika na wale waliokuwa pamoja naye ndani ya safina. 24Maji hayo yalidumu katika nchi siku 150.

Hivyo ni wazi kuwa kila chenye uhai kiliangamizwa kabisa kabisa.

Swali

Hawa wanefili baada ya gharika walitokea wapi tena?.

KARIBUNI
Kumbuka wale waandishi walidhani Dunia ni hapo Mashariki ya Kati tu hawakujua kuna Wahehe huko Iringa
 
Umeshasoma habari Ile Musa aliwatuma wapelelezi wakarudi na kumwambia wameona majitu na kwamba wanefili Bado wanaishi kule?

Hawakufa Hadi kwenye kizazi Cha akina Musa walikuwepo
Hesabu 13:31-33 ndio ina maneno hayo. Wapelelezi waliotumwa kupeleleza Kaanani waliongea uongo hakukuwa na hao wanefili na kusema hawawezi kuwashinda na ndio maana ukisoma Hesabu 14:5-8 wapelelezi wengine waliokuwa nao Yoshua na Kalebu walikanusha taarifa hiyo na kusema nchi hiyo ni nzuri wanaweza kuimiliki.

Sababu mojawapo iliyofanya Mungu aingamize Dunia kwa ghalika ni uwepo wa uovu mwingi uliofanywa na hao wanefili(nusu binadamu nusu malaika). Biblia inasema Mungu alishindwa kuvumilia uovu huo ndipo akapanga kuwafagilia mbali wanadamu Mwanzo 6: 1-6

Hapo nafikiri itaeleweka
 
Hesabu 13:31-33 ndio ina maneno hayo. Wapelelezi waliotumwa kupeleleza Kaanani waliongea uongo hakukuwa na hao wanefili na kusema hawawezi kuwashinda na ndio maana ukisoma Hesabu 14:5-8 wapelelezi wengine waliokuwa nao Yoshua na Kalebu walikanusha taarifa hiyo na kusema nchi hiyo ni nzuri wanaweza kuimiliki.

Sababu mojawapo iliyofanya Mungu aingamize Dunia kwa ghalika ni uwepo wa uovu mwingi uliofanywa na hao wanefili(nusu binadamu nusu malaika). Biblia inasema Mungu alishindwa kuvumilia uovu huo ndipo akapanga kuwafagilia mbali wanadamu Mwanzo 6: 1-6

Hapo nafikiri itaeleweka
Sijakulewa unapokanusha kuwa hawakuwakuta wanefili pale.
soma hapa Hesabu 13:21 Basi, watu hao wakaenda na kuipeleleza nchi toka jangwa la Sini hadi Rehobu, karibu na njia ya kuingilia Hamathi. 22Walikwenda hadi Negebu wakapita mpaka mji wa Hebroni. Humo waliwakuta Waahimani, Washeshai na Watalmai, wazawa wa Anaki. (Mji wa Hebroni ulikuwa umejengwa miaka saba kabla ya mji wa Soani ulioko nchini Misri).

Maandiko yansema wazi humo waliwakuta .....wazawa wa anaki(wanefili).Tukija kwenye hoja yako au walichosema joshua na kalebu kwanza hawakukataa kuwa hakuna majitu kule bali wao waliwatia moyo kuwa pamoja na kwamba wapo hao watu Mungu wetu amewatia mkononi mwetu.


Rejea kwenye kitabu cha samweli mbona ipo wazi kabisa Daudi aliliua linefili (Goliathi)?

Hata kukuthibitishia wanefili hawakufa kwenye gharika soma pia
Torati 2:
9 Bwana akaniambia, usiwasumbue Wamoabi, wala usishindane nao katika mapigano; kwa kuwa sitakupa katika nchi yake kuimiliki; kwa sababu Ari nimewapa wana wa Lutu kuimiliki.

10 (Walioketi humo hapo kale ni Waemi, nao ni watu wakubwa, wengi, warefu, mfano wa Waanaki;

11 na hawa nao wadhaniwa kuwa majitu kama Waanaki; lakini Wamoabi huwaita Waemi.


Uzao wa hao jamaa ukisoma vitabu vya waandishi nje na biblia wanasema hadi leo hii trh4/2/2025 bado wapo japo si warefu kama wa kipindi kile ila wapo bado.

Kanusha kivingine lakini ukisema wanefili walikufa wote kwenye gharika sio kweli.
 
Back
Top Bottom