Kwanini binadamu wasingekuwa wanataga mayai?

Mutation hizo za kuweza kuzaa na sio kutaga mayai zilitoka miaka zaidi ya milioni 100 iliyopita
Naunga mkono. Inaonekana viumbe wa mwanzo walikuwa wataga mayai. Dinosours walikuwepo miaka 200m iliyopita na ni wataga mayai.
 
Ingekuwa ukiwa Theatre kusubiria pindi, mara paap! Sister Duu anawashwa matakoni kwenda kuatamia [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwanini binadamu hawatagi mayai? Zipi faida za kuzaa dhidi ya kutaga?
Achilia mbali kuzaliwa.

Mwanaadamu ndiye kiumbe ambaye anachua muda mrefu zaidi kukua baada ya kuzaliwa ukilinganisha na viumbe wengine.

Mfano ng'ombe akizaliwa tu siku hiyohiyo atatembea kufuata maziwa ya make na kunyonya.

Ila mwanaadamu anazaliwa akiwa hajitambui na wala hakuna lolote analoweza kijifanyia, na inamchukua kipindiki kirefu mpaka aje kusimama mwenyewe....

Sasa kama unaakili utayatazama haya kwa mazingatio na kuona jinsi ulivyokuwa dhaifu na utarudi kuwa dhaifu.

Hivyo ndivyo mola wako alivyokuumba ili upate mazingatio.
 
Ng'ombe na binadamu wote wanazaa. Ulichoeleza hakionyeshi faida za kuzaa dhidi ya kutaga.
 
Baba kaenda kutafuta.

Au wanaona upo busy na simu sebuleni wanasema baba atakua anachat na madalali wa nyanya Ilula.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kitu pekee naona ni kuwa wanyama wanaozaa wanaakili kuliko wanaototolewa. Je ukuaji wa akili ndiyo umefanya wengine wazae na wengine watage?
 
Mamba huwa wakubwa kuliko binadamu lakini wanataga mayai. Kwa mantiki hiyo mayai ya binadamu yangekuwa madogo kuliko ya mamba. Huo ingekuwa rahisi kupitisha mayai kuliko mtoto mdogo?

Mayai ya mamba(ya binadamu yangekuwa madogo zaidi)

 
Mbona hata wewe unataga vizuri tuu, haunyi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…