90% of Tanzanians they really doesnt know the rule of law!Hili halina muda... Kuna mabadiliko mengi makubwa yanakuja... Jeshi litatengwa na shughuli na siasa na utawala libaki na dhima yake ya ulinzi na usalama
Katolewa uraiani kapewa cheo na gwandaCGI nakuwaje raia?.
Walishika nafasi za juu wakiwa washastaafu hawakuwa activeNani alikuambia....
Jeshini wanasoma uongozi tena hutoa viongozi wazuri sana.
Wametuletea Kikwete,kinana
Kwa taharifa yako hakuna mtu wanaomkubali kama huyo alieteuliwa (m JWTZ) kua mkuu wa magereza amewarekibishia mambo yao mengi tu,in fact wanajeshi wakipewa sehemu kusimamia hua hawapindishi japo katiba ya nchi hairuhusu hilo.Nilishangazwa na Kuchukizwa MWANAJESHI JWTZ kuteuliwa kuwa Mkuu wa Magereza
Hii ni dharau kubwa sana kwa jeshi la Magereza na walilalamika ila Jiwe alifunga masikio
Umechapia.Mi Nataka PTA pale Apewe mjeda
Kwanza bado wapo in service,kikwete na kinana walikua washastaafu ulitaka wavae magwanda kwend wapi ?Huyo Kikwete, pamoja na kuwa alikuwa Amiri jeshi, ulishawahi kumuona amevaa hayo magwanda? Kinana naye ulishaona kuvaa hayo mavazi? Hapa hoja sio kwa nini hizo nafasi, pamoja na za wakuu wawilaya na mikoa wanapewa Wanajeshi, hoja vipi waendelee kuvaa hayo mavazi wakiwa wapo kwenye utumishi usio wa kijeshi?
Kwani wewe ulikuwa unawaonaje kipindi kile cha mtawala vasco da gama?Je, kulikuwa na sababu gani kuanza kuwatumia wanajeshi katika kazi za kiraia? Kwamba Jeshi ndio lina uzalendo? Au wasio wanajeshi sio Wazalendo ? Nahitaji kufahamu tija hasa ni ipi?
Usilinganishe JWTZ na sub jeshiYule Kamishna General wa Megereza hivi hiwa anavaa nguo za JW?
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye hivi huwa anavaa sare za Polisi?
Mkurugenzi wa Usalama wa taifa hivi bado anavaa sare za Polisi?
Lakini kila wakipewa waongoze wanafanya vyema sana.Kwani hakuna watz wenye uwezo wa hizi nafasi mpaka sinia officer wa jeshi watake over hayo majukumu.
Logically wao wamekuwa trained kuenforce zaidi badala ya logic implementation.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Katiba inamlinda raisNilishangazwa na Kuchukizwa MWANAJESHI JWTZ kuteuliwa kuwa Mkuu wa Magereza
Hii ni dharau kubwa sana kwa jeshi la Magereza na walilalamika ila Jiwe alifunga masikio
Kuna sababu gani ya kuwatenga wanajeshi ambao tunaona wanauwezo mzuri wa kufanya shughuli za kiserikali?