Jamaa walishakosa hoja kabisa hadi kule jamhuri ya twitter waliparaganyika jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na afisa wa magereza alivoteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Zimamoto vp walilalamika napo?.
Magereza kulikuwa na madudu sana ambayo walikuwa wanalindana wenyewe kwa wenyewe.Ndio maana mzee kaamua kuleta mtu kutoka kabila lingine. Ingekuwa ameletwa Raia sawa.
Muongo mkubwa tena walmnafikunHuko memkwa kulikuwa huru wakati magu anatawala?
Utawala wa magu mihimili yote taasisi zote na raia wote waliwekwa utumwani kwa kitisho cha bunduki.
Kama tulivyowahi kuzungumza hapo awali, wanajeshi wanatakiwa warudi kwenye makambi/ofisi zao wakafanye shughuli zao za kijeshi na sio kwenda kufanya kazi za kiraia. Raia weng wapo na wana uwezo mkubwa sana kuliko hawa wanajeshi.Watazivua tu, tuwape muda.
Wewe ndio unatuambia leo kua ni ushamba,,,,lakini tunazungumzia Mamlaka ya wao kuteuliwa na sio Ushamba unao uona weweKama tulivyowahi kuzungumza hapo awali, wanajeshi wanatakiwa warudi kwenye makambi/ofisi zao wakafanye shughuli zao za kijeshi na sio kwenda kufanya kazi za kiraia. Raia weng wapo na wana uwezo mkubwa sana kuliko hawa wanajeshi.
Tumeshuhudia matatizo makubwa sana kwenye taasisi za kiraia zinazoongozwa na wanajeshi. Chondechonde hawa wanajeshi warudi wakawaongoze wanajeshi wenzao. After all, Militaly management/administration ni tofauti kabisa na civil service management/administration.
Mambo ya kuvaa combat za kijeshi kwenye shughuli za kiraia ni ushamba mkubwa sana, hii sio nchi ya kijeshi!!
Hili halina muda... Kuna mabadiliko mengi makubwa yanakuja... Jeshi litatengwa na shughuli na siasa na utawala libaki na dhima yake ya ulinzi na usalama
Mmbabdar ni wapi ?Yaan tena naona haitoshi
vitengo ka hivo hizo nguo zina heshima yake bwana asikuambie mtu.Nashaur sana hata huka mmbabdar waende J wee tu. nilifulahi sana kuona anatoa tamko juz na nguo hizo.heshima kubwa tena unapiga mpka mask zile yaaan watu wataogopa kuiba hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka umaarufu kwa post za kijinga,Kwani akivalia hivyo Kijeshi anazuia nini katika Ustawi wako mzima wa Kimaisha unaouhisha Wewe Kula, Kufurahia, Kujipatia Pesa na hadi Kumbandua ( Kumtia ) Mkeo / Hawara?
Itakuwa Latra bila shaka!Sie kwenye SU Yuko Bosi anavaa gwanda za Polisi.
Ni ujinga kuendelea kushabikia wanajeshi kufanya kazi za kiraia!Hoja yako mfu, ila ngoja tukusaidie kutoa ufu wako.
Brigedia Mbungo bado ni Mwanajeshi active (hajastaafu Jeshi bado) hivyo yeye kuvaa Uniform zake za Jeshi kuna shida gani? angestaafu hapo sawa asingevaaa labda kwenye shughuli nyeti, hivyo futa huu uzi hauna mashiko.
Ila kutumia jeshi kwenye maeneo ya kimkakati ni kawaida sehemu nyingi duniani. Siku hizi vita vimehamia kwenye uchumi, hujuma, uzandiki, propaganda ndio zinatawala uchumi!Hili halina muda... Kuna mabadiliko mengi makubwa yanakuja... Jeshi litatengwa na shughuli na siasa na utawala libaki na dhima yake ya ulinzi na usalama
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ila kutumia jeshi kwenye maeneo ya kimkakati ni kawaida sehemu nyingi duniani. Siku hizi vita vimehamia kwenye uchumi, hujuma, uzandiki, propaganda ndio zinatawala uchumi!
Hawa hawapewi uwaziri au nafasi za kisiasa bali maeneo yanayohitaji utendaji wenye maarifa ya kijeshi kama sehemu muhimu ya ufahamu.
Nafasi kama za ukuu wa mikoa na wilaya pia toka enzi za Nyerere kuna wilaya na mikoa ya pembezoni waliwekwa wanajeshi.
Hapana hawa watu walitawanya kwenye SU kibao.Itakuwa Latra bila shaka!
Kumbuka Gen.shimboMikwala tu,lakini humo humo watu wanapiga huku wakiwa wamevaa uzalendo kama kinga yao.