gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kwa sheria hii basi ndiyo maana bunge litavunjwa agosti, sababu ukilivunja leo, uchaguzi itabidi ufanyike mapema oktoba,ndipo itakua chini ya siku 90Nikurekebishe Japo Sijaangalia Video Uliyotuma..
Rais Alipohutubia Bunge alitangaza Presidential Decree ya Kuvunja Bunge Tarehe 20/08/2015 na Sio tarehe 20/09/2015..
Hiyo Tarehe 09/7/2015 ndo siku UKAWA waliosusia Kuingia Bungeni na Kikwete Akaamua Kutoa Presidential Decree ya Kuvunja Bunge..
Nimekwisha Kusema Kwa Kutoa Hoja Ya Kikatiba na Si Maneno TupuIbara ya 90(2) inasema:
"Baada ya kuvunjwa kwa Bunge, uchaguzi wa Rais na wabunge utafanyika ndani ya muda usiozidi siku tisini kutoka siku ya kuvunjwa kwa Bunge."
Sahihi kabisa; Mkubwa hajaangalia video; nadhani swali la kujiuliza baada ya Rais Kikwete kutangaza Bunge litakoma Setember 2015, je kipindi hicho Bunge liliwahi kuitishwa tena? Je shughuli zingine za kiuchaguzi hazikuendelea?Mambo ya UKAWA ni wakati wa bunge la katiba siyo bunge la bajeti
Una Uhakika Unajua Hata UKAWA iliamza Lini?Mambo ya UKAWA ni wakati wa bunge la katiba siyo bunge la bajeti
NImekuambia Kuwa Kulikuwa na Presidential Decree ya Kuvunja Bunge iliyotolewa na Rais Kikwete sasa Kwanini Niende Nikaangalie Wakati Nilikuwepo 20/08/2015 ndo Bunge lilipovunjwa Hata Humu JF tulikuwa Tulikesha Sana Kulidiacuss Hilo Poa Tafuga UtapataNinapendekeza uiangalie kwanza video mkuu with due respect; baada ya kuona mchango wako kuwa Bunge lilikoma tarehe uliyoitaja niliamua kwenda kujiridhisha - records zinaonesha otherwise: no hard feelings
Daaah, haya bwana. Basi unajua kilaNImekuambia Kuwa Kulikuwa na Presidential Decree ya Kuvunja Bunge iliyotolewa na Rais Kikwete sasa Kwanini Niende Nikaangalie Wakati Nilikuwepo 20/08/2015 ndo Bunge lilipovunjwa Hata Humu JF tulikuwa Tulikesha Sana Kulidiacuss Hilo Poa Tafuga Utapata
Mkuu Sijakataa ulichosema Ila Nilichokuambia Ni kwamba Tarehe Rasmi ni Gazeted Date na Si Vinginevyo kwa Mwaka Huu Tarehe Iliyokuwa Gazeted ni Tarege 03 mweizi wa 8..Daaah, haya bwana. Basi unajua kila
Kitu kiongozi. Ngumu sana kujadili na mtu anyejua kila kitu.
Umetoa challenge, mimi imebidi nikasikilize hotuba ya kufunga bunge 2015 na 2020 na sasa 2025 (kimsingi zote zinaonesha similarities fulani) 2020 Bunge lilivunjwa lakini Rais JPM alisema terehe rasmi itatangazwa kwenye gazeti la serikali ....
Wewe umepewa challenge, ili kujiokoa unadiscredit kila kitu kutoka kwa wenzio; ngoja nikatafute na hotuba ya 2010 kama naweza kuipata.
Kwanini mwaka huu!!? ,,Ndo swali la mleta mada 👆👆👆Leo limekamilisha shughuli zake kwa kipindi cha miaka mitano ila 3 August ndo linamaliza muda wa uhai wake kwa maana 4 August itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea. Wabunge wataendelea kuwa wabunge mpaka siku tume itakapoteua wagombea wa nafasi za ubunge na kampeni kuanza rasmi.
Hiki ndicho ninachosema; Maana yake,Mkuu Sijakataa ulichosema Ila Nilichokuambia Ni kwamba Tarehe Rasmi ni Gazeted Date na Si Vinginevyo kwa Mwaka Huu Tarehe Iliyokuwa Gazeted ni Tarege 03 mweizi wa 8..
Na Mwaka 2020 Ni Tarehe 20.....Siku anayohutubia Huenda Isiwe siku anayovunja Ila Tamko la tarehe ndyo Humata..
Na Nirekebishe Kitu Mkuu, Sijui Kila Kitu Ila nasimamia Msimamo wa Ninachokijua mpaka Pale nitakapopata Msimamo Mwingine wenye Hakika
Rais mpendwa sana. Kila mtanzani mwenye akili timamu anasema Rais samia is good for leadeship unlike jpm ambaye aliua kila kituSamia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
ze why 2010,2015,2020, Zanzibar pia haikuhairisha Baraza la wawakilishi ila this year nao wamehairishaaHiki ndicho ninachosema; Maana yake,
2015 - shughuli za Bunge zilihitimishwa july 9 ila tarehe ya mwisho iliyokowa gazeted ni september 20
2020 - Shughuli zilisitishwa 16 june lakini kuna tarehe rasmi iliyokuwa gazeted (haikutangazwa na Rais JPM) lakini Rais alisema hivyo.
2025 - shughuli zimesitishwa leo 27 June lakini tarehe ya kuwa gazeted ni 3 August.
Sasa Je, shida hapo ni ipi???? 2015 ilikuwa gazeted september 20 lakini uchaguzi ulifanyika kama kawaida - yaani mimi sioni kipya, ndiyo maana nataka kuelimishwa na kujielimishq zaidi. Cha msingi tu hapo nachoona ndugu zangu wabunge watakula mshahara wa mwezi 1 buree bila kuufanyia kazi, ambapo 2015 walikula mshahara wa miezi 2 bureeee
Wabunge ni 393 so kila mwezi mshara wa wabunge ni kama 5.5bIssue ni mishahara, kumbuke mshahara wa mbunge kwa mwezi ni zaidi ya million 14.
Ccm hawajawahi kuwa serious na maisha ya Watanzania.
Anayefikiri hapo kuna issue ya reform wala siyo maana yake, haya majitu ni malafi hayana huruma na hatuwezi kuyaondowa kwa hiyari.
Katiba ni kijitabu tu.Nikurekebishe Japo Sijaangalia Video Uliyotuma..
Rais Alipohutubia Bunge alitangaza Presidential Decree ya Kuvunja Bunge Tarehe 20/08/2015 na Sio tarehe 20/09/2015..
Hiyo Tarehe 09/7/2015 ndo siku UKAWA waliosusia Kuingia Bungeni na Kikwete Akaamua Kutoa Presidential Decree ya Kuvunja Bunge..
Nimekwisha Kusema Kwa Kutoa Hoja Ya Kikatiba na Si Maneno TupuIbara ya 90(2) inasema:
"Baada ya kuvunjwa kwa Bunge, uchaguzi wa Rais na wabunge utafanyika ndani ya muda usiozidi siku tisini kutoka siku ya kuvunjwa kwa Bunge."
she already worst president ever in our country, yani ataachia madaraka atake asitake.Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Hili kwa kweli halijawahi kutokea hapa nchini na duniani kote kwa ufahamu wangu. Majibu ya speculation ya sababu ya kufanya hivyo ni nyingi zikiwemo zifuatazo:Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema kwamba tumekaa Mguu pande kuangalia upepo wa akina Heche, Lissu, Mnyika, Lema Mayemba na wengineo wa No Reforms no Election?
Loudly thinking!
Good night!
This is uncalled for!. Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Unatumia jina fake ili uwezi kutukan humu ,lugha yenyewe uliyojaribu kutumia imekushinda ndio maana ukaamua kutumia kiswahili.Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Kufunga Bunge, hiki ndio kikao cha mwisho cha mkutano wa Bunge kama Bunge.Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Loudly thinking!
Good night!
Habari kwa kina :
Dk. Mwinyi alitoa kauli hiyo leo, Juni 23,2025 wakati akihutubia hotuba ya kulifunga baraza hilo huko Chukwani, Zanzibar, ambapo alisema ukomo wa Baraza la 10 utafikia mwisho Agosti 13 2025, kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar.
Amesema kwa mujibu wa Kifungu cha 91(2)(a) cha Sheria ya Zanzibar ya mwaka 1984, anayo mamlaka ya kuongeza muda wa Baraza hilo