GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uko shallow because you have blinded yourself with a hate situation

Jakaya did it, mwamba did it

But if samia did it you don’t want it
 
chagua moja uhame chama ukose ile naniii kumbuka bunge linaexpire 3 /8/ 2025 na mchakato wa kuwapata wapeperusha bendera unaendelea huku wengine bado ni wabunge
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
nadhani yupo sana sana.....nyie tatizo hamueleweki mnataka nini...kila Rais kwenu mbaya..basi nchi tuwape shangazi zenu.
 
Kwahiyo ukihesabu siku 90 baada ya agosti tatu!means ni mwezi wa 11 ndio uchaguzi utafanyika au sio!!?

Ngoja tuone!!
Elewa vizuri. ndani ya siku 90 baada ya kuvunja bunge.

anaweza vunja tarehe 23 august na tarehe 10 mwezi wa 10 uchaguzi ukafanyika ilimradi ni ndani ya siku 90. Hapo tukiacha siku za kuzunguka kwenye kampeni n.k

Au kama hakuna kampeni akivunja leo uchaguzi unaweza fanyika kesho yake ilimradi ni ndani ya 90 days
 
IGA
HGA
LNG

mkuu taadhima inakutaka ufafanue kidogo hapo
 
Ni sawa na aliyehukumiwa kunyongwa anaendelea kuishi hadi siku iliyopangwa ya kutiwa kitanzi. Some people bwana!
 
Wakili Msomi Umeji elekeza Vibaya..
Kuvunjwa Kwa Bunge Hakuondoi Serikali Kufanya Majukumu Yake chini ya Mawaziri..
Nikucorrect Bunge Halijavunjwa limeahiriahwa Kwa Mujibu Wa Katiba..

Kwenye Mawaziri Nikucorrect!
Mawaziri Wote na Baraza La Mawaziri Litakoma Kuwa Baraza La mawaziri Mpaka Pale Raisi Atalapoteua Mtu mwingine au Wazirj Mkuu Mwingine..

Soma Katiba Ibara Ya 51 (3) Na ufafanuzi wake Ukisoma Pamoja na Ibara ya 57 (2) Imeeleza Vizuri sana..
Kwa ziada Soma Na Sheria namba 20 ya Mwaka 1992 Kifungu cha 9
Kuhusu Kuvunjwa kwa Serikali..


Nitakuwekea Ibara ya 57(2)

57.-(1) Muda wa kushika madaraka ya Waziri na Naibu Waziri utaanza tarehe atakapoteuliwa kushika madaraka hayo.

(2) Kiti cha Waziri au Naibu Waziri kitakuwa wazi litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:
(a) endapo mwenye madaraka atajiuzulu au kufariki dunia;

(b) ikiwa mwenye madaraka hayo atakoma kuwa Mbunge kwa sababu yoyote isiyohusika na kuvunjwa kwa Bunge;

Kwahyo Anaendelea Kuwa Waziri Na Serkali hiyo Huitwa Caretaker Government Haina Maamuzi makubwa Kwakuwa hakuna Bunge
 
Una ufahamu wowote kuhusu Tamko Rasmi la Serikali kupitia The Government Gazette la Kulivunja Bunge Rasmi?

"Baada ya kusema yote sasa natamka kuwa Bunge hili linavunjwa rasmi na tarehe itatangazwa rasmi kwenye gazeti la Serikali. Niwatakie mafanikio mema".

Kauli ya mwisho ya Rais Magufuli akilivunja Bunge la 11 tarehe 16/6/2020. Umeelewa nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…