GE2025 Kwanini Bunge lifungwe Leo, na kuvunjwa Aug 3, 2025? Kwanini isivunjwe Leo?. Is Yes Reforms, Yes Election Coming?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna posho wabunge tunataka tuzikusanye zikatusaidie kuwanunulia wananchi kahawa na vitenge ili watuchague
 
Namna ulivyokipata kitu ndivyo utakavyo kitumia.
Walio pewa hawawezi tumia sawa sawa na waliovitafuta
 
Nakupa mifano miwili kisha itafakari
Kinyonga: hana rangi moja.. Hujibadili kulingana na mazingira
Popo: hajulikani ni mnyama au ndege.. Usiku alivyo ni tofauti na mchana alivyo
Kuna kitu kinaitwa timing kaka unakuwa huna mipango endelevu tena . unacheza na muda huku ukisikilizia
 
Hata Zanzibar bado halijavunjwa.
Something is cooking in the air
Ngoja tuone hii July inatuambia Nini.
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
Shnagazi yako ndio stupid. pambafu acha kumtukana Mh Rais hata kama humpendi. Huyo ndio Rais wa Tanzania mpaka 2030 hutaki hamia Burundi
 
Samia will go down a history as the worst president ever, huyu hakustaili hata kuwa hata mwenyekiti wa kijiji, ameenda shule kidogo, but very stupid, simple mind, low IQ,
wewe mwenye akili ya Isaac Newton mbona hukupewa nchi?

hata kiingereza shida halafu unajifanya kujua saana; siyo sahihi kusema 'down a history' ....... kajifunze grammar kidogo
 
Sasa Umeelewa Matamko tofauti kati ya amagufuli na Mama Samia..

Mama Samia kasema Ameahirisha Shuhuri za Bunge na Litavunjwa Rasmi Tarhe 03/08 ila Magufuli alitamka Rasmi kuvunja..
Kuahirisha na Kuvunja ni Tofaouti
 
Ni sawa na aliyehukumiwa kunyongwa anaendelea kuishi hadi siku iliyopangwa ya kutiwa kitanzi. Some people bwana!

Kwanini mwaka huu!!? ,,Ndo swali la mleta mada πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Sio mwaka huu tu nakumbuka hata 2015 ilikuwa hivyo ila sikumbuki kama 2020 ilikiwa hivyo lakini lengo kuu ni kwamba waendelee kupokea mshahara angalau kwa mwezi mmoja zaidi.
 
Mimi nina hakika CCM hatuwezi kuhalalisha uchaguzi Mkuu kwa kutumia CHAUMA na ACT Wazalendo.

Jumuiya za ndani ya nchi na za kimataifa zinakitambua CHADEMA kuwa ndiyo Chama kikuu Cha upinzani.

Jumuiya hizo pia zinatambua kuwa taratibu za uchaguzi haziko sawa.

Ikumbukwe kuwa Magufuli,pamoja na ubabe wake,lakini alihakikisha Chadema kinashiriki uchaguzi Mkuu.Hii ni kwa sababu katika nchi yoyote jambo linaloangaliwa kwa unzito mkubwa na wananchi na Jumuiya za kimataifa ni uchaguzi Mkuu.

Tujiulize kama nchi tunaweza kumudu uchaguzi utakaogharimu fedha yote halafu ustambuliwe na Watanzania walio wengi na Jumuiya ya kimataifa.Ni sawa na kupanda shamba kubwa na usivune chochote.

Madhara yake ni kutengwa na Jumuiya ya kimataifa,kukosa uwekezaji,kukosa misaada na mikopo.Hatuwezi kumudu kujiendesha bila misaada au mikopo.
Mapato yetu bado yako chini mno.
 
Sasa Umeelewa Matamko tofauti kati ya amagufuli na Mama Samia..

Mama Samia kasema Ameahirisha Shuhuri za Bunge na Litavunjwa Rasmi Tarhe 03/08 ila Magufuli alitamka Rasmi kuvunja..
Kuahirisha na Kuvunja ni Tofaouti
Kutoelewa kwako shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…