MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Jana Makamu mwenyekiti bara alikuwa msibani Rorya. Sasa imejitengaje?Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.
Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?
Acha upumbavu wewe. Msiba ni wa familia sio CCM.Huyu mama mshamba na mlevi wa madaraka. Ni mtu mjinga asiyejua chochote amepata bahati ya kuyakalia madaraka makubwa ndiyo maana hajui nn cha kufanya.
This logical fallacy is called ad hominem.Soma vizuri andiko chawa wewe. Mm nalalamikia serikali inayoongozwa na Samia kujitenga na msiba wa prof. Sarungi. Sijataka aende Samia yeye binafsi.
aani mpaka muwe na serikali ndiyo mshiriki misiba ya wenzenu yaani nyie konyo kweli sasa mkiwa na serikali mtaweza mambo ya kijamii kweli endeleeni kupiga kelele upinzani tu nchi hamchukui hata kwa niniAcha upumbavu, chadema haina serikali chawa wewe
Sawa wewe muelewa. Mazishi ni leo kwani? Kama si leo ni kesho basi tusubiri kesho kama serikali na wengine hawatakuwepo. Sasa hivi tutaongea mambo yasiyo sahihiHebu elewa somo,ni Sawa ushiriki wa serikali katika misiba hii miwili utakua tofauti?je hamtashiriki sababu Maria ni mkosoaji wa serikali?au
Waziri gani alifariki halafu serikali haikuhusika kumzika??Nadhani ubaguzi unaupika wewe
Over the past 6 months tumefiwa na former ministers zaidi ya sita….
Au kwasababu Huyu prof mwanaye ni chagandumuz basi apewe ufalme mkuu?
Mpaka sasa hivi tulitegemea Utumishi wawe wametoa salamu za pole kama wanavyofanya mitandaoni kwa viongozi wengine wa ngazi za chini kabisa sembuse huyu Waziri mstaafu na kiongozi mwandamizi.Sawa wewe muelewa. Mazishi ni leo kwani? Kama si leo ni kesho basi tusubiri kesho kama serikali na wengine hawatakuwepo. Sasa hivi tutaongea mambo yasiyo sahihi
Anahukumiwa kwa makosa ya mtoto wake?Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Wassira kaenda msibani nimeweka mpaka video hapa post # 66.Sawa wewe muelewa. Mazishi ni leo kwani? Kama si leo ni kesho basi tusubiri kesho kama serikali na wengine hawatakuwepo. Sasa hivi tutaongea mambo yasiyo sahihi
Ni mtoto anayenyonya kwamba baba yake atamchapa aache kukosoa hao majizi ya kura?Yani mtoto wako atukane kila siku halafu unategemea ssh akupe heshima wewe kiuhalisia haiwezekani
Baba wa mkwewe alikuwa waziri?? Hata hivyo aliwatuma akina Nchimbi na Wasira pamoja na viongozi wengine wa serikali ngazi ya mkoa na wilaya.Juzi tu mkwewe kafiwa na baba yake akwenda kutoa pole nyumbani kwao alikuwa na majukumu Tanga.
Watu hawawezi wacha ratiba zao kisa muwaone kwenye misiba.
Kwanza yupo hata Dar kwenyewe au yupo kaskazini huko.
Safi tunategemea Serikali ifanye kama misiba mingine ya viongozi wastaafu,Sarungi ni Levo nyingineNadhani wakati wa Mazishi huenda Serikali itatuma wawakilishi!
Lakini mpaka dakika hii Makamu wa Mwenyekiti wa CCM mzee Wassira alifika kwenye msiba kuwahani wafiwa!
View: https://youtu.be/Km7iCkno83E?si=LQaU1fIm25AUa3gN
Jana makamu mwenyekiti alifika nyumbani kwa marehemu kuhani msibambona sijaona viongozi wa chadema wakishiriki huu msiba nao wanachuki na sarungi? acha ujinga huo
Very low iqItakuwa jambo la kushangaza sana SSH akaususa huu msiba tena kwenye kipindi hiki cha mfungo kwa sababu tu ya Maria Sarungi.
former ministers… aka waziri mstaafuWaziri gani alifariki halafu serikali haikuhusika kumzika??
Akili yako ime paralyse..hujaona Jana HECHE ALIENDA KUHANI MSIBANI.mbona sijaona viongozi wa chadema wakishiriki huu msiba nao wanachuki na sarungi? acha ujinga huo
Ntagazwa, kiriginiWaziri gani alifariki halafu serikali haikuhusika kumzika??
Fatma huwa hatukani kama huyu lesbian Maria SarungiUnataka kusema Akifa Karume Serikali haitahusika sababu Fatma anaipinga serikali?
4R za mama ziko wapiYani mtoto wako atukane kila siku halafu unategemea ssh akupe heshima wewe kiuhalisia haiwezekani