Kwanini CCM imejitenga na msiba wa Profesa Sarungi??

Kwanini CCM imejitenga na msiba wa Profesa Sarungi??

Prof. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.

Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?
Jana Makamu mwenyekiti bara alikuwa msibani Rorya. Sasa imejitengaje?
 
Huyu mama mshamba na mlevi wa madaraka. Ni mtu mjinga asiyejua chochote amepata bahati ya kuyakalia madaraka makubwa ndiyo maana hajui nn cha kufanya.
Acha upumbavu wewe. Msiba ni wa familia sio CCM.
 
Soma vizuri andiko chawa wewe. Mm nalalamikia serikali inayoongozwa na Samia kujitenga na msiba wa prof. Sarungi. Sijataka aende Samia yeye binafsi.
This logical fallacy is called ad hominem.

Jadili hoja usijadili mtoa hoja.

Samia nishamchana sana humu, kwa hiyo huwezi kuniweka kundi ka chawa.

Serikali haina wajibu wa kuzika kila aliyekuwa mtunishi wake.

Hakuna sehemu ambayo serikali ina wajibu huo.

Na serikali si rais Samia.

Sasa kwa nini mnamuandika rais Samia?

Pia, mnajuaje serikali haijatuma wawakilishi wake?

Pia umeambiwa Wassira alikuwa msibani jana, huyo ni makamu mwenyekiti wa CCM. Sasa hapo mnasemaje msiba wa Sarungi umetengwa?
 
y
Acha upumbavu, chadema haina serikali chawa wewe
aani mpaka muwe na serikali ndiyo mshiriki misiba ya wenzenu yaani nyie konyo kweli sasa mkiwa na serikali mtaweza mambo ya kijamii kweli endeleeni kupiga kelele upinzani tu nchi hamchukui hata kwa nini
 
Hebu elewa somo,ni Sawa ushiriki wa serikali katika misiba hii miwili utakua tofauti?je hamtashiriki sababu Maria ni mkosoaji wa serikali?au
Sawa wewe muelewa. Mazishi ni leo kwani? Kama si leo ni kesho basi tusubiri kesho kama serikali na wengine hawatakuwepo. Sasa hivi tutaongea mambo yasiyo sahihi
 
Nadhani ubaguzi unaupika wewe

Over the past 6 months tumefiwa na former ministers zaidi ya sita….

Au kwasababu Huyu prof mwanaye ni chagandumuz basi apewe ufalme mkuu?
Waziri gani alifariki halafu serikali haikuhusika kumzika??
 
Sawa wewe muelewa. Mazishi ni leo kwani? Kama si leo ni kesho basi tusubiri kesho kama serikali na wengine hawatakuwepo. Sasa hivi tutaongea mambo yasiyo sahihi
Mpaka sasa hivi tulitegemea Utumishi wawe wametoa salamu za pole kama wanavyofanya mitandaoni kwa viongozi wengine wa ngazi za chini kabisa sembuse huyu Waziri mstaafu na kiongozi mwandamizi.
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Anahukumiwa kwa makosa ya mtoto wake?
 
Sawa wewe muelewa. Mazishi ni leo kwani? Kama si leo ni kesho basi tusubiri kesho kama serikali na wengine hawatakuwepo. Sasa hivi tutaongea mambo yasiyo sahihi
Wassira kaenda msibani nimeweka mpaka video hapa post # 66.

Watu wanapenda kuhemka tu.
 
Yani mtoto wako atukane kila siku halafu unategemea ssh akupe heshima wewe kiuhalisia haiwezekani
Ni mtoto anayenyonya kwamba baba yake atamchapa aache kukosoa hao majizi ya kura?
 
Juzi tu mkwewe kafiwa na baba yake akwenda kutoa pole nyumbani kwao alikuwa na majukumu Tanga.

Watu hawawezi wacha ratiba zao kisa muwaone kwenye misiba.

Kwanza yupo hata Dar kwenyewe au yupo kaskazini huko.
Baba wa mkwewe alikuwa waziri?? Hata hivyo aliwatuma akina Nchimbi na Wasira pamoja na viongozi wengine wa serikali ngazi ya mkoa na wilaya.

Hata kwa prof. Sarungi tunalalamikia serikali yake kujitenga na msiba huo
 
mbona sijaona viongozi wa chadema wakishiriki huu msiba nao wanachuki na sarungi? acha ujinga huo
Akili yako ime paralyse..hujaona Jana HECHE ALIENDA KUHANI MSIBANI.

ALL IN ALL,
APUMZIKE KWA AMANI PROF.SARUNGI PIA AMSALIMIE BEST YAKE THE LATE PROF Y.BWATWA.
Nili wai kumuuliza Prof. Bwatwa kwa Nini hakuwai kuwa/ kuingia kwenye siasa licha ya kua na qualities nzurii/ karama ya uongozi.

Alinijibu kwa maneno machache kua hawezi kua mwanasiasa kwa sababu yeye sio MUONGO.
 
Back
Top Bottom