macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Maria hajawahi kumtukuna Samia bali anamkosoa. Kama rais hana uwezo wa kuongoza na akatokea raia wake akasema kuwa hafai, hilo siyo tusi.Maria ni Maria ana mamlaka na utashi wake Binafsi na Mzee Sarungi ni mwana CCM. Kwa iyo ya Maria yaachwe Kwa Maria kwani Maria ni mtu mzima na Marehemu Sarungi asingeweza kumwamuru Kwa lolote lile
Watakuambia hawajapata mualikoProf. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.
Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?
Inawezekana watu wanatumia uzoefu wa misiba mingine punde ilipotokea hali ilikuwaje na wanaona mambo yanaenda tofauti kwa mzee wetu ukizingatia leo ni siku ys tatu.Watu wengi wanapenda kufanya siasa za mihemko na za maji taka mpaka kwenye misiba.
Profesa hata hajazikwa, msiba unasubiri ndugu warudi, wapambe washasema CCM imeutenga msiba.
Tumuheshimu huyu Mzee jamani, kwa nini watu wanataka kupenyeza siasa kwwnye msiba wake?
Una point yenye hoja nzito sana.Hili suala la makamu kuchukua madaraka automatically pale inapotokea Rais amepoteza sifa za kuendelea na madaraka liangaliwe upya.
Ni vyema Makamu akashika kwa muda fulani kisha uchaguzi ukaitishwa upya.
Dah!Kwani Samia ni lazima ajihusishe na kila msiba?
Mbona kama mnataka kumpa umuhimu ambao hana?
Una hakika familia ya Sarungi inataka rais Samia ajihusishe na msiba wao?
kila nafsi ihukumiwe kivyake, kama ni hivyo raisi na ccm ni dhaifu sana, sarungi atazikwa hata na watu wakawaida ila ccm na raisi wataonekana maadui kwa taifa na familiaKwa hiyo unataka kusema huyu Professor ambae mwanae anshinda mitandaoni kumktukana Rais usiku mchana unaona ulikuwa ni sahihi? SSH nae ni binadamu pia ,hata ungekuwa ni wewe matusi ya mariah sarungi hayavumiliki
Issue siyo mungu ila tanzaniani nchi yetu wote na yule ni raisi wetu kuna kukosoa , kutukana , kudhalilisha na kufitinisha hivyo ni vitu tofauti lazima ujue tofauti yakeKwani huyo Mungu wenu wa kike ataishi milele?
Kina lissu ,lema na wengine wengi walikimbia nchi ila 4r zimewafanya warudi na waendelee na siasa zao kwa uhuru bila ya kubughudhiwa ingawa wanaikosoa serikali kila siku4R za mama ziko wapi
Kukosoa na kutukana ni vitu viwili tofautiNi mtoto anayenyonya kwamba baba yake atamchapa aache kukosoa hao majizi ya kura?
Mi nimeona mara nyingi tu akitukana na kudhalilisha hata taasisi ya raisiSijaona Maria akitukana serikali zaidi ya kuongoza mijadala,Je Mtoto Ndio afanye kazi ya baba yake ipuuzwe? Tena mtoto aliezidi miaka 18 na ana familia yake?
Hata Taasisi ya mifupa (MOI) aliyoingoza kwa muda tu wanakuwa wana kigugumizi Cha kutoa hata pole kwenye page yao kisa Maria Sarungi.Profesa Sarungi hakuwa mtu wa hivihivi tu. Kinachotushangaza ni ukimya wa baadhi ya viongozi wakubwa akiwemo Rais kwenye msiba huu. Hawalazimiki kufanya chochote lakini kwa utamaduni wetu hata salamu tu ya rambirambi ingetosha. Watu wanatoa pole kwa vifo vya wasanii na kwa watu wa nje lakini siyo kwa kiongozi mstaafu aliyeacha alama kubwa kwenye taifa hili. Inshashangaza sana. Hawalazimiki ila tunawashangaa tu. Yote haya ni kwasababu mtoto wa marehemu anaikosoa serikali?
Kumbe watu wanabeba hasira na chuki vifuniani mwao hata wakati wa mwezi huu mtukufu.
Mbona me nilifiwa CCM ikanitenga sijalalamika binadamu wote sawa hata ww utatengwa kama hujitambuiProf. Sarungi amelitumika taifa hili ktk ngazi na nyadhifa mbalimbali.
1. Amekuwa daktari bingwa wa mifupa.
2. Amekuwa mbunge na waziri ktk wizara tofauti.
3. Amekuwa RC ktk mikoa tofauti.
4. Amekuwa mwanachama wa ccm mtiifu ktk uhai wake wote.
Ni kwann serikali inayoongozwa na Samia imejitenga na msiba huu mkubwa wa prof. Sarungi?
Watu wanampa rais nguvu asizokuwa nazo. Vivyo hivyo kwa chama na serikali.Inawezekana watu wanatumia uzoefu wa misiba mingine punde ilipotokea hali ilikuwaje na wanaona mambo yanaenda tofauti kwa mzee wetu ukizingatia leo ni siku ys tatu.
Marehemu hahitaji kutembelewa msibani,kuzikwa,hayo ni mahitaji ya walio hai,sasa Maria anahitaji kutembelewa zaidi kuliko sarungi,ye ndiyo anafeel the painSijaona Maria akitukana serikali zaidi ya kuongoza mijadala,Je Mtoto Ndio afanye kazi ya baba yake ipuuzwe? Tena mtoto aliezidi miaka 18 na ana familia yake?
Dah vipi mkuu?Dah!
Ametukana amesemaje?Kukosoa na kutukana ni vitu viwili tofauti
Mtoto hajafika miaka 18 kwani?Alishindwa kumkanya mwanae?
Makamu mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara walienda kumuona mjane.mbona sijaona viongozi wa chadema wakishiriki huu msiba nao wanachuki na sarungi? acha ujinga huo