Jirani zetu wanaita Kenya Police Service, U.K wanaita Police Service, kwa Biden wanaita New York Police Department(NYPD), Los Angeles Police Department(LAPD) n.k.
Mh reasoning za jamii forum?
Burundi Kuna jeshi Moja na hizi nyingine ni kamandi.
Immigration ni department ndani ya Usalama wa Taifa Rwanda.
Immigration ni jeshi huko Urusi wanaitwa border forces.
Immigration ni Taasisi ya kiraia hapo Kenya.
Amerika unaposema State na kila state Ina police department yake ila wanaoperate kama majeshi.
Kwa ngazi ya shirikisho Kuna Federal Bureau of Investigation (FBI)
India police ni jeshi kamili, China polisi ni jeshi kamili, Afrika ya kusini polisi ni jeshi kamili.
Unaona mfano wako ni wa ovyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Naona majina yanakubabaisha ila sio kosa lako Bali ni kosa la lugha uitumiayo Haina maneno mengi.
Kuna haya maneno:
1)Force
kama bongo tuna Police force, fire and rescue force,Tanzania people's defence force.
2) Service
Kama bongo tuna Tanzania prison service, Tanzania Immigration service na National service(JKT).
3) Military
4)Army
Jeshi la Wokovu( Salvation Army)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
5) Department
Kama Idara ya Usalama wa Taifa, Immigration.
Kumbuka immigration ya bongo kwenye sheria yake Ina maneno yote ya service na department.
Hivyo kikubwa sio maneno yanayotaja kitu Bali limeundwaje ndilo linalofanya kitu kiwe jeshi au la.
Polisi Leo hata ukiwaita jina lolote hawatobadili jinsi ya wanavyoenenda na kutenda.