Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Kwanini CDF aitwe Mkuu wa Majeshi wakati Polisi, Magereza na Uhamiaji wana wakuu wao?

Maana yako kama wangewekwa neno yote MAJESHI YOTE
 
Kikinuka hata wewe unapewa silaha kupambania na nchi yako. Rejea vita ya Uganda.
 
Anaitwa hivyo kwasababu ni mkuu wa military forces zote (yaani Navy, Land na Air). Pia kumbuka polisi, magereza uhamiaji na hao rangers wote ni paramilitary units. Ndiyo maana kwa cheo wako chini ya CDF ( yaani wanampigia salute).
 
Hivi ukiambiwa Juma Anthony ni mwanajeshi.Unauliza tena ni Polisi Magereza au Uhamiaji?
Au unakuwa umeelewa?
 
Yule ni mkuu wa majeshi ya ulinzi,

Polisi na wengine ni majeshi ya Usalama.

Ndiyo maana Rais ni Amri mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Kwahiyo Polisi KAZI Yao ni Usalama Tu na ulinzi hauwahusu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli, uhamiaji sio jeshi.
Polisi, Magereza na uhamiaji hawako chini ya CDF, hizo ni Taasisi tofauti kabisa zinazojitegemea.
Anaitwa hivyo kwasababu ni mkuu wa military forces zote (yaani Navy, Land na Air). Pia kumbuka polisi, magereza uhamiaji na hao rangers wote ni paramilitary units. Ndiyo maana kwa cheo wako chini ya CDF ( yaani wanampigia salute).
 
Jeshi mama ni JWTZ, hao wengine ni sub part.

Mfano.
Mara nyingi recruits wao mara nyingi wanatoka JWTZ kwenda majeshi mengine ila sio kutoka majeshi mengine kwendaa JWTZ.

Haiwezekani.
 
Jirani zetu wanaita Kenya Police Service, U.K wanaita Police Service, kwa Biden wanaita New York Police Department(NYPD), Los Angeles Police Department(LAPD) n.k.
Mh reasoning za jamii forum?

Burundi Kuna jeshi Moja na hizi nyingine ni kamandi.

Immigration ni department ndani ya Usalama wa Taifa Rwanda.

Immigration ni jeshi huko Urusi wanaitwa border forces.

Immigration ni Taasisi ya kiraia hapo Kenya.

Amerika unaposema State na kila state Ina police department yake ila wanaoperate kama majeshi.

Kwa ngazi ya shirikisho Kuna Federal Bureau of Investigation (FBI)

India police ni jeshi kamili, China polisi ni jeshi kamili, Afrika ya kusini polisi ni jeshi kamili.

Unaona mfano wako ni wa ovyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Naona majina yanakubabaisha ila sio kosa lako Bali ni kosa la lugha uitumiayo Haina maneno mengi.

Kuna haya maneno:
1)Force
kama bongo tuna Police force, fire and rescue force,Tanzania people's defence force.

2) Service
Kama bongo tuna Tanzania prison service, Tanzania Immigration service na National service(JKT).

3) Military

4)Army
Jeshi la Wokovu( Salvation Army)[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

5) Department
Kama Idara ya Usalama wa Taifa, Immigration.

Kumbuka immigration ya bongo kwenye sheria yake Ina maneno yote ya service na department.

Hivyo kikubwa sio maneno yanayotaja kitu Bali limeundwaje ndilo linalofanya kitu kiwe jeshi au la.

Polisi Leo hata ukiwaita jina lolote hawatobadili jinsi ya wanavyoenenda na kutenda.
 
... dunaini kote ukitamka tu neno JESHI default understanding ni Jeshi la Ulinzi; kwa Tanzania ni JWTZ. Hivyo, kwa CDF kuitwa Mkuu wa Majeshi default understanding ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi; haihitaji ufafanuzi wa ziada; actually ndio kirefu cha CDF.

... hao wengine, IGP, CGI, CGP, n.k. ili kueleweka una-refer jeshi lipi (kuondoa default understanding) lazima ufafanue - Mkuu wa Jeshi la Polisi, n.k. Hope umeelewa.
Kwanini wasimalizie mkuu wa majeshi ya ulinzi? Kama ilivyo CDF?
 
Magereza
Polisi
Uhamiaji

wote wanatumika kisiasa.

JESHI ni moja tu!
Brigadier General anateuliwa na Raisi? Raisi ambaye ni mwanasiasa hivyo hutumika pia kisiasa.

Ushahidi ni issue ya gas kule Mtwara walienda kuizima kina nani?

Hakuna jeshi lisilo tumika kisiasa ila yapo yanayotumika zaidi kuliko mwingine [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sio kweli
Jeshi mama ni JWTZ, hao wengine ni sub part.

Mfano.
Mara nyingi recruits wao mara nyingi wanatoka JWTZ kwenda majeshi mengine ila sio kutoka majeshi mengine kwendaa JWTZ.

Haiwezekani.
 
Brigadier General anateuliwa na Raisi? Raisi ambaye ni mwanasiasa hivyo hutumika pia kisiasa.

Ushahidi ni issue ya gas kule Mtwara walienda kuizima kina nani?

Hakuna jeshi lisilo tumika kisiasa ila yapo yanayotumika zaidi kuliko mwingine [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umeliweka vizuri sana!
JESHI linatumika kwa nadra sana tofuti na vile vikosi
 
Back
Top Bottom