Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuaa🤣🙌Jeshi/Army/Millitary ni moja hao wengine vikosi vya wahuni tu.
Kwahiyo Polisi KAZI Yao ni Usalama Tu na ulinzi hauwahusu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yule ni mkuu wa majeshi ya ulinzi,
Polisi na wengine ni majeshi ya Usalama.
Ndiyo maana Rais ni Amri mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Anaitwa hivyo kwasababu ni mkuu wa military forces zote (yaani Navy, Land na Air). Pia kumbuka polisi, magereza uhamiaji na hao rangers wote ni paramilitary units. Ndiyo maana kwa cheo wako chini ya CDF ( yaani wanampigia salute).
JESHI ni moja tu... vingine hivyo ni vikosi vya kutumika kisiasa ndani ya nchi!
Mh reasoning za jamii forum?Jirani zetu wanaita Kenya Police Service, U.K wanaita Police Service, kwa Biden wanaita New York Police Department(NYPD), Los Angeles Police Department(LAPD) n.k.
Kwanini wasimalizie mkuu wa majeshi ya ulinzi? Kama ilivyo CDF?... dunaini kote ukitamka tu neno JESHI default understanding ni Jeshi la Ulinzi; kwa Tanzania ni JWTZ. Hivyo, kwa CDF kuitwa Mkuu wa Majeshi default understanding ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi; haihitaji ufafanuzi wa ziada; actually ndio kirefu cha CDF.
... hao wengine, IGP, CGI, CGP, n.k. ili kueleweka una-refer jeshi lipi (kuondoa default understanding) lazima ufafanue - Mkuu wa Jeshi la Polisi, n.k. Hope umeelewa.
MagerezaSio kweli
Bongo tunaishi kwa mazoea tu, hakuna lingine ana jina ambalo halipo back up na sheria.Kwanini wasimalozie mkuu wa majeshi ya ulinzi? Kama ilivyo CDF?
Brigadier General anateuliwa na Raisi? Raisi ambaye ni mwanasiasa hivyo hutumika pia kisiasa.Magereza
Polisi
Uhamiaji
wote wanatumika kisiasa.
JESHI ni moja tu!
Jeshi mama ni JWTZ, hao wengine ni sub part.
Mfano.
Mara nyingi recruits wao mara nyingi wanatoka JWTZ kwenda majeshi mengine ila sio kutoka majeshi mengine kwendaa JWTZ.
Haiwezekani.
Umeliweka vizuri sana!Brigadier General anateuliwa na Raisi? Raisi ambaye ni mwanasiasa hivyo hutumika pia kisiasa.
Ushahidi ni issue ya gas kule Mtwara walienda kuizima kina nani?
Hakuna jeshi lisilo tumika kisiasa ila yapo yanayotumika zaidi kuliko mwingine [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yes, usalama wa ndani ya nchi, JW wanadeal na ulinzi wa mipaka ndani na nje.Kwahiyo Polisi KAZI Yao ni Usalama Tu na ulinzi hauwahusu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Polisi, Mageraza sijui na nini , hizo ni Idara za kiraia za usalamaJeshi/Army/Millitary ni moja hao wengine vikosi vya wahuni tu.