Kwanini CHADEMA ina ushawishi Mkubwa katika Chama cha Wanasheria(TLS) nchini?

Sawa! Nimefundishwa na mwalimu wangu wa Legal method namna ya ku reason ngoja ninyamaze
Kweli nyamaza maana hujui:

Lusinde yupo kwenye jopo la kutunga sheria. Kibatala yupo kwenye jopo la kutafsiri sheria zilizotungwa na Lusinde
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Kwani mwabukusi ni chadomo?
 
Sabato Njema!

Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?

Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Hii ni conclusion unayotoa. Then, ili uweze kueleweka zaidi, onyesha grounds au premises zilizokufanya ufikie conclusion kwamba Chadema inaushawishi TLS. Mimi sioni hivyo. Ninachoona mimi ni kwamba Chadema ni miongoni mwa wale wanaotaka mabadiliko ili tuweze kuendelea mbele zaidi na kufikia Ile ndoto ya Nyerere 'ili tuendelee tunahitaji ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora'. Asiyetaka haya sijui anataka nini.
 

Huoni Jambo Dogo kama hili Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…