Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Mbona mnaogopa mashahidi kwani Kuna nn kimejificha
Sasa jonh mrema na ushahudi wa uhaini wap na wap?Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
sasa kwa taarifa yako chadema ndo wanatamani sana hao mashahidi wajitokeze mahakamani watoe ushahidi waoKwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Wewe Kimbesa11 kila mitandao upo... Kuanzia YouTube... X( Twitter zamani)... Na comment zako ni Oktoba tunatiki!!! Au umeajiriwa kwa kazi hiyo?Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Hivi waongea ni nini sasa,,sheria wazijua?? Zinasemaje juu ya mashahidi??Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Kama ndivyo inavyopasa kuwa wewe hujaivunja hiyo kanuni? Au wewe haikuhusu? Mbona umeandika Kama shahidi wa kificho?tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.