Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.
Yasije yakatumika mambo ya AI kwenye swala nyeti namna hii ndio maana mashaidi inatakiwa waje bila vificho vyovyote.
 
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.
Muulize Mto wa mbu ndiye kinara
 
Kwanini sisiemu wanataka mashahidi wafichwe wanaogopa nini? Mtu Mhaini kutoa ushahidi wa haki mbele za watu ni ushujaa wakulinda nakuipenda nchi yako lakini ushahidi wakujificha wa nini na una uhakika hausemi uongo? Hivyo sio CDM inayoogopa mashahidi ila washitaki na mashahidi wenyewe ndio wanamuogopa waliemshitaki na CDM kwa Ujumla kwa CDM ilipofikia tangia ikombolewe toka kwa pandikizo hata mkaamua kumnyonga nakumuua TAL basi CDM inaenda kuimarika 1000x kuliko ilivyo sasa leteni mashahidi hadharani mkatende Haki kama ana makosa mumuhukumu kwa makosa aliyofanya sio hila
 
Hizo kanuni kwanini mmeziandaa wakati yuko gerezani, (what is your motives behind)

Kanuni zinazo andaliwa kwa siri na mashahidi wa siri duu CCM bana?
We nani kakwambia imetungwa akiwa yeye gerezani? Kasome The victim and witness Protection Act 2008

Mmekaa mnadanganywa danganywa kama nyumbu acha mashahidi wa siri watoe ushahidi asipokua na hatia ataachiwa akiwa na hatia atanyongwa
 
Kesi ina public Interest alafu Mashaidi wawe siri kuna usili gani katika kupangia Uhaini si unasema tulipanga tutafanya hivi live tunaona tuchambue pumba na mchele maana mlitutangazia Kwamba jamaa anataka kufanya Uhaini
 
We nani kakwambia imetungwa akiwa yeye gerezani? Kasome The victim and witness Protection Act 2008

Mmekaa mnadanganywa danganywa kama nyumbu acha mashahidi wa siri watoe ushahidi asipokua na hatia ataachiwa akiwa na hatia atanyongwa
Duh lissu anyongwe🤣🤣🤣🤣
 
Is it an organized crime and terrorism

Criminal activities that are planned and controlled by powerful groups and carried out on a large scale is that right

Nyie ndiyo mnaongoza nchi kwa kutumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives through unbecoming behaviors such a flattering or hypocrisy similarly working towards self-absorbed group
 
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.
CDM wanataka mashahidi wajulikane... Kwanini wafichwe fichwe?
 
Ingekuwa ni kesi unayoshtakiwa wewe singeleta huu uzi hapa
Kama kweli unafuatilia hii kesi usingeuliza hilo swali hapa.
 
We nani kakwambia imetungwa akiwa yeye gerezani? Kasome The victim and witness Protection Act 2008

Mmekaa mnadanganywa danganywa kama nyumbu acha mashahidi wa siri watoe ushahidi asipokua na hatia ataachiwa akiwa na hatia atanyongwa
Mnyongeni tu... Awe na hatia asiwe nayo!
 
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.

Chadema wanataka uwazi, mashahidi waje open kila mtu aone

Nyie ambao mnataka kufanya gizani ndio waoga
 
Back
Top Bottom