Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.
Sawa Shahidi wa Siri gizani tumekuelewa.
 
Eti tunajiuliza maswali mengi 😅

Hamna akili kiasi hicho? kuna swali gani hapo la kujiuliza kama una akili timamu?
 
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.

Usiseme mashahidi tu. Sema mashahidi wa kificho.
 
..Ccm ndio wame-panic hawataki ushahidi wao wa kupika ufahamike kwa Watanzania.

..hiyo ndio sababu ya kulazimisha mashahidi wa kificho.
Kesi ni ya Jamhuri kwa niaba ya WaTanzania lakini Jamhuri inaogopa WaTanzania wasiwafahamu mashahidi¡
 
Back
Top Bottom