Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.
Kwanini mama fulani anatumia ujanja ujanja kumuepuka mtanzania huyu asiwepo kwenye sanduku la kura kitapeli tapeli?