Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Hata kwakutumia akili za kuvukia Barbara hizo kanuni za kificho mmezitengeneza wakati Yuko gerezani CCM bana?

Someni kuhusu 'ostracism' mtanishukuru
 
Una matatizo ya akili?

Wapenda haki wanachokikataa ni mashahidi wa kutengenezwa ambao hata hao mashetani watengeneza kesi hawataki waonekane. Kama wana ushahidi usio na shaka kwa nini wanaogopa kuwapeleka mashahidi mahakamani, na badala yake wanataka wapeleke sauti walizojirekodi.
“…sauti walizojirekodi”? Cross examination itanyikaje? Mtuhumiwa anahaki ya kufanya cross examination ya mashahidi wa Serikali.
 
Mashahidi wa wananchi tunataka wawe wazi tuwaone Ili tuwapongeze kwa kugundua kwamba Tundu Lissu anapanga njama za uhaini dhidi ya nchi yetu. Kwa nini watu wazalendo kama hao wafichwe kwenye ushahidi wa Jamhuri?? Wawekeni wazi tuwapongeze kwa Kazi nzuri dhidi ya nchi yetu.
 
Kwnn mnaogopa? Kwann muwaone?
 
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Bora ungekaa kimya usikilize watu wenye uelewa wakuelekeze vizuri jambo hili kuliko kuandika hizi takataka. kwani ukiwa chama tawala ndio hata akili unatumia za viongozi wako
 
Mbona unaonekana kupaniki vipi Kuna shida
 
Kwani wale wa kesi ya Mbowe waliokuwa mubashara walifanywa nini Hadi wa kesi hii waogope kuonekana? Ni busara na hekima wakiwa mubashara ili wazalendo wauone uzalendo wao kwa taifa. Ila kujificha ni aina nyingine ya uhaini mpya wa kimahakama tusioujua.
Hao mashahidi hawapendi kuvalishwa nishani ya uzalendo? Wawe mubashara ili tuwatunuku nishani ya uzalendo uliotukuka.
 
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Upumbavu mtupu! Hapo kuna uhaini gani?
 
Hata Polepole na Musiba walikuwa na kiburi zaidi yako, ila Leo wamegeuka. Subiri uwe na kesi ya kunyongwa halafu uletewe mashahidi wa kufichwa huwajui hata majina.
Mashahidi wa Siri wapo kisheria hata kwenye mahakama kubwa za ICC, hasa kwa kesi ya Ugaidi kama ya Lissu hao mashahidi ni wa mihimu sana wasipofichwa huenda kikundi cha ugaidi alichokiandaa Lissu huku mtaani kikamuandama shahidi kwahiyo acha watoe ushahidi kwa njia wanayoona wako salama ilimradi hawavunji sheria
 
Hizo kanuni kwanini mmeziandaa wakati yuko gerezani, (what is your motives behind)

Kanuni zinazo andaliwa kwa siri na mashahidi wa siri duu CCM bana?
 
Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.

Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?

Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?

Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.

All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.
Issue ni kwa nini mashaidi wafichwe sura?
 
Wao humu JF hawataki kutumia majina yao halisi wanatumia ya bandia halafu wanalalamika eti kwanini mashahidi wafichwe. Kwanza watwambie kwanini wao JF hawatumii majina yao!!!!
 
Back
Top Bottom