Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Hata kwakutumia akili za kuvukia Barbara hizo kanuni za kificho mmezitengeneza wakati Yuko gerezani CCM bana?Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
“…sauti walizojirekodi”? Cross examination itanyikaje? Mtuhumiwa anahaki ya kufanya cross examination ya mashahidi wa Serikali.Una matatizo ya akili?
Wapenda haki wanachokikataa ni mashahidi wa kutengenezwa ambao hata hao mashetani watengeneza kesi hawataki waonekane. Kama wana ushahidi usio na shaka kwa nini wanaogopa kuwapeleka mashahidi mahakamani, na badala yake wanataka wapeleke sauti walizojirekodi.
Twambie zikoje kwasasaSh
Sheria zinabadilika
Kwnn mnaogopa? Kwann muwaone?Mashahidi wa wananchi tunataka wawe wazi tuwaone Ili tuwapongeze kwa kugundua kwamba Tundu Lissu anapanga njama za uhaini dhidi ya nchi yetu. Kwa nini watu wazalendo kama hao wafichwe kwenye ushahidi wa Jamhuri?? Wawekeni wazi tuwapongeze kwa Kazi nzuri dhidi ya nchi yetu.
There's no secret under the son in reality though human actions are often driven by the same human fundamental impulsesPrivacy is matter
Bora ungekaa kimya usikilize watu wenye uelewa wakuelekeze vizuri jambo hili kuliko kuandika hizi takataka. kwani ukiwa chama tawala ndio hata akili unatumia za viongozi wakoKwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Upumbavu mtupu! Hapo kuna uhaini gani?Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo mbele ya mabeberu? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu, ujue ukivunja Sheria utahukumiwa bila kujari mabeberu wako na hawana Cha kutufanya.
Mashahidi wa Siri wapo kisheria hata kwenye mahakama kubwa za ICC, hasa kwa kesi ya Ugaidi kama ya Lissu hao mashahidi ni wa mihimu sana wasipofichwa huenda kikundi cha ugaidi alichokiandaa Lissu huku mtaani kikamuandama shahidi kwahiyo acha watoe ushahidi kwa njia wanayoona wako salama ilimradi hawavunji sheriaHata Polepole na Musiba walikuwa na kiburi zaidi yako, ila Leo wamegeuka. Subiri uwe na kesi ya kunyongwa halafu uletewe mashahidi wa kufichwa huwajui hata majina.
Hizo kanuni kwanini mmeziandaa wakati yuko gerezani, (what is your motives behind)Mashahidi wa Siri wapo kisheria hata kwenye mahakama kubwa za ICC, hasa kwa kesi ya Ugaidi kama ya Lissu hao mashahidi ni wa mihimu sana wasipofichwa huenda kikundi cha ugaidi alichokiandaa Lissu huku mtaani kikamuandama shahidi kwahiyo acha watoe ushahidi kwa njia wanayoona wako salama ilimradi hawavunji sheria
Issue ni kwa nini mashaidi wafichwe sura?Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.
Wao humu JF hawataki kutumia majina yao halisi wanatumia ya bandia halafu wanalalamika eti kwanini mashahidi wafichwe. Kwanza watwambie kwanini wao JF hawatumii majina yao!!!!Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu.
Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama?
Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini Mnataka waonekane Mnataka muwafanye Nini? Je! Ungekuwa ww ungetaka uonekane?
Tuiachie mahakama yetu tukufu ifanye kazi, itende haki, tuache kuzungumzia suala ambalo lipo mahakamani.
All in All:
Katiba yetu ilindwe na kila mmoja wetu.
unakuta shahidi ni mwamba 😁Sasa jonh mrema na ushahudi wa uhaini wap na wap?
We utajuaje kama awakurecordUnajuaje Kama walirekod