Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?

Kwasababu wazungu wamewapa hifadhi nje ya nchi familia zao kwahiyo wanataka kulipa fadhila wakishika Madaraka
Ati wazungu wabaya, kwa nini huwa hamkimbilii Syria au Yemeni; umesikia yule unyanyembe wenu CCM, katukana sana wazungu, sasa huyoooooo Sweden, na Yulee mwingine --------Msiba huyooooooooo kwa wazungu. Humuandagi Saudi.
 
Tunaamini kwa wazungu kwa vile mamaenu alipopata madaraka alizunguka kwa wazungu akajingaza anaifungua nchi kwa R4 na akapewa pesa sasa huo ufunguaji tuuone!
 

..tufuate sheria kwasababu the world is watching, na Tanzania ina sifa ya kupigania haki duniani.

..sisi tukianza kuumizana humu ndani dunia itatushangaa, na tutapoteza sifa nzuri ya taifa letu.
 
T
Wazungu walitutawala na lugha yao ndo tunaitumia kwenye mambo yetu mengi ikiwemo sheria zinazotuongoza.
Mpaka fedha ya uchaguzi wazungu wameombwa kutupiga tafu,hivyo ni desturi yetu watanzania kuwaamini wazungu,chadema wako sahihi.
Unatumia lugha ya kiingereza na sio ya ulaya.
 
Lissu anashika kila tawi ili aokoke, Lissu ni kibaraka la hao wazungu na siku zote kwake yeye kuichafua nchi ndiyo silaha yake
 
Wazungu walitutawala na lugha yao ndo tunaitumia kwenye mambo yetu mengi ikiwemo sheria zinazotuongoza.
Mpaka fedha ya uchaguzi wazungu wameombwa kutupiga tafu,hivyo ni desturi yetu watanzania kuwaamini wazungu,chadema wako sahihi.
Tangia chaguzi za 2020 hakuna senti iliombwa nje kwa ajili ya uchaguzi wowote.
 
Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?
Kwa sababu Wazungu wakitupiga spana hata CCM watachenjiana. Si unajua bajeti yetu inawategemea Wazungu karibu kwa 30% ?
 
Heart of europen economy mainly depend on african resources!,america not,
 
Kuna masharti ya kuingilia kesi iliyopo mahakamani?
 
Kufuatilia hiyo kesi ya Lissu ni ushahidi wa wazi kuwa wanamtumia km kibaraka wao kutuvurugia nchi. Tuliokaa Ulaya tunajua lini mzungu kampenda mtu mweusi? Serikali yetu chini ya Jemedari Rais wetu isitetereke ikibidi huyo lofa awekwe kizuizini siyo wa kucheka naye, familia yake inahudumiwa na nani kule Ulaya? Na kwanini kaache kule wakati yeye amerudi? Kosa alilofanya Samia kumrudisha huyo kibaraka. Viongozi sazingine waanzie walikoishia waliowatangulia.
 
We unajulikana kwa uzombie
 
Una kaupumbaff kwenye DNA yako.
 
Ndio lazima watoe masharti,sasa we kwanini huwa unawategemea weupe, kwanini usijitegemee!!? Ili uwe huru?
 
Kama sisi wenyewe bajeti yetu tunawategemea wao chadema ni nani wasiwathamini wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…