Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?

1) This is too simplistic!
2) Mimi kama mdau wa sheria, hoja ya Tundu Lissu ni ya msingi kisheria: kwamba 'justice delayed is justice denied', na kwamba 'justice must not only be done, but also must be seen to be done'.
3) Unapomshtaki mtu kwa kosa kubwa kama uhaini, ambalo adhabu yake ni hukumu ya kifo, lazima uhakikishe kama huna ushahidi unaojitosheleza, umwachie huru mshtakiwa kwa sababu hukumu ya kifo ikishatolewa ni irreversible, na kuendelea kuhairisha kesi isipelekwe mahakama kuu, ambako ndiko itakaposikilizwa, ni kuchelewesha haki, na kuchelewa haki ni kutotenda haki kwa wakati.
4) Kwa nchi kama Tanzania, ambayo kwa miaka mingi imekuwa nchi rafiki na mataifa mengi duniani, na imesaidia harakati za ukombozi barani Afrika, na kuwa nchi inayoaminika kimataifa, taswira ya kuhairisha kesi 'mara kwa mara', kwa maoni yangu, hakuwezi kutafsiriwa kuwa ni 'effectiveness na efficiency' ya prosecution.
5) Hivyo, mataifa yanayoiangalia kesi hii, na kuifuatilia (maana iko live), hayawezi kutafsiri kama kuahirisha huko ni compelling, na kwa msingi huu yanaweza kuona kama kuna 'miscarriage of justice'.
6) Upande wa prosecution though unaona hoja za Tundu Lissu hazina mashiko, bali ni kutafuta huruma ya mahakama, na umma/kimataifa.
7) Upande wa Lissu unaona ni 'kesi ya kisiasa', ambayo kila ikitajwa inahairishwa tena kwa 'stories', na hivyo, hizi 'stories' zinaharibu sifa ya nchi kimataifa.
8) Sisi watazamaji na wasikilizaji/wafuatiliaji ni rahisi kuvutiwa upande mmoja au mwingine (to take sides).
9) Lakini tujiulize, ungekuwa wewe uko kwenye death row, na unakaa na wafungwa wanaosubiria kunyongwa (ambao wsmeshahukumiwa na wewe hujahukumiwa - kwa madai ya Lissu) kwa muda wa zaidi siku 90 kesi bado haijaanza kusikilizwa, na kukaletwa hoja ya kuwaficha mashahidi, na ushahidi umeshakamilika, je ungeona ni dalili za kutendewa haki?
10) Hivi ndivyo nilivyomwelewa Tundu Lissu, ambaye anataka kesi ikasikilizwe mahakama kuu, lakini upande wa prosecution bado wanaendelea kuomba ihairishwe kwenye committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Ataelewa haya? Ni mambo magumu sana kwa wenye ufahamu wa hapa na pale.
 
Ili tuelewane weka mfano wa nchi ya kiafrika ambayo imewahi kukemea mienendo ya chaguzi za Tanzania na Zanzibar. Kumbuka aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar alisema "CCM haijawahi kushinda uchaguzi".
weka mfano wa nchi ya afrika ambayo imewahi kukemea mienendo ya chaguzi za ulaya na marekani. Misaada iko dunia nzima, hata Marekani inakopa sana China.
 
Bora umefunguka, kumbe aliwahi kukutongoza, hebu weka picha yako ya mgongoni tuone vigezo vilivyomvutia.
Wakati Afrika imehamaki kuhusu kulazimishwa na wazungu kukubali ushoga, Lissu aliambiwa atoe maoni yake kuhusu ushoga, yeye alisema ni haki ya mtu na wasibughuziwe. Yaani anacheza midundo ya wazungu; hatuwezi kumkabidhi nchi huyu tukiamini kuwa atatuvusha. Wenzangu niambieni ni jambo gani ambalo chadema hawakupinga utekelezaji wake. Nitoe mifano ambao chadema walipinga:
1. Kuhamisha wafugaji katikati ya mbuga ya Ngorongoro kupisha wanyama watamalaki
2. Kununua ndege za abiria
3. Kujenga bwawa la Nyerere
4. Kufuta mikataba ya kinyonyaji ya madini
5. Kutaifisha mitambo ya IPTL iliyokuwa inaligharimu taifa
6. Kusitisha lockdown wakati wa covid-19
7. Nchi kukopa
8. Upanuzi wa barabara ya Ubungo-Kimara
9. Ujenzi wa reli ya umeme.
10. Kubinafsisha bandari
11. Kubinafsisha mashirika ya umma
12. Kuuza nyumba za serikali
13. Muungano
14. Uchaguzi.
15. Kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam
16. Kudhibiti uuzwaji wa madini kama Tanzanite na gold.
17. Kutumia pesa za covid 19 kujenga madarasa

Mengi ya haya wanaunga mkono juhudi za wakoloni
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
No reform No election
 
Ni kama ccm wanavyoamini wazungu kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo
 
Hao ndo maboss zetu watanzania wote mpk waliobebewa mimba tumboni mwa mama zao..!!
 
Na k wanini na nyie mnapewa mosaada na mikopo na wazungu ?
Hata Marekani inapewa mikopo na wajamaa, China. Hapo veeepe? Mzazi mahiri atafanya kila kitu wanawe wale; hata ikibidi kushikishwa ukuta.
 
Ni kama ccm wanavyoamini wazungu kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo
Wazungu tunawadai, wana hela zetu. Wazungu hawa wanapanga bei za bidhaa zao wanazotuuzia na bidhaa zetu tunazowauzia; hivyo wana hela zetu nyingi sana. Yaani wanashusha bei ya manunuzi na kupandisha bei ya uuzaji; kuna nini hapo. Chadema na Lissu wanatakiwa watoe mbinu mpya za kukwepa dhuluma hizi wanazofanya wazungu kwetu.

Ndio maana sasa hivi mwelekeo wa dunia ni kuelekea Asia na Ulaya Mashariki ambako dhuluma za aina hii zina ahueni.
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Ndugu Lissu ni kibaraka familia yake iko Ulaya inalishwa na wazungu. Nyumbu wake wanalalamika Mbowe kutohudhuria kesi zake, ni mtanzania yupi amemwona mke wa Lissu akienda mahakamani hata mara moja? Kwanza kuna anaifahamu ht sura yake? Huyo lofa apigwe mvua za kutosha iwe fundisho kwa wapumbavu wenzie.
 
Kwasababu ndio wanowapa ninyi PESA na ndip wanaficha pesa huko kwao MLIZOIBA kwa walala hoi.
 
Ndugu Lissu ni kibaraka familia yake iko Ulaya inalishwa na wazungu. Nyumbu wake wanalalamika Mbowe kutohudhuria kesi zake, ni mtanzania yupi amemwona mke wa Lissu akienda mahakamani hata mara moja? Kwanza kuna anaifahamu ht sura yake? Huyo lofa apigwe mvua za kutosha iwe fundisho kwa wapumbavu wenzie.
Wakati nyumbu wanasugua mabenchi pale Kisutu kwenye kesi ya Lissu wafaidika wake (mke na watoto) wanakula bata Ulaya. Nyumbu hawajui kwamba Lissu kuwa mahabusu na kupelekwa mahakamani kama vile yuko kazini; analipwa kwa ajira hiyo. Lissu anapata wapi hela ya kulisha na kusomesha watoto wakke ulaya? Lema na Maria hivyohivyo. Mazuzu wanaacha kazi zao na kwenda kushinda mahakamani.
 
Wakati Afrika imehamaki kuhusu kulazimishwa na wazungu kukubali ushoga, Lissu aliambiwa atoe maoni yake kuhusu ushoga, yeye alisema ni haki ya mtu na wasibughuziwe. Yaani anacheza midundo ya wazungu; hatuwezi kumkabidhi nchi huyu tukiamini kuwa atatuvusha. Wenzangu niambieni ni jambo gani ambalo chadema hawakupinga utekelezaji wake. Nitoe mifano ambao chadema walipinga:
1. Kuhamisha wafugani katikati ya mbuga ya Ngorongoro kupisha wanyama watamalaki
2. Kununua ndege za abiria
3. Kujenga bwawa la Nyerere
4. Kufuta mikataba ya kinyonyaji ya madini
5. Kutaifisha mitambo ya IPTL iliyokuwa inaligharimu taifa
6. Kusitisha lockdown wakati wa covid-19
7. Nchi kukopa
8. Upanuzi wa barabara ya Ubungo-Kimara
9. Ujenzi wa reli ya umeme.
10. Kubinafsisha bandari
11. Kubinafsisha mashirika ya umma
12. Kuuza nyumba za serikali
13. Muungano
14. Uchaguzi.
15. Kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam
16. Kudhibiti uuzwaji wa madini kama Tanzanite na gold.
17. Kutumia pesa za covid 19 kujenga madarasa

Mengi ya haya wanaunga mkono juhudi za wakoloni
Naona umeandika bila kufikiri.
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Kwa ujinga huu ndo maana viongozi wa kamati wakuu wa vyombo wameshtakiwa
 
Back
Top Bottom