Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?

Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyoshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msururu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao
Kwanini sisiemu inaamini misaada ya wazungu katika bajeti? Ukipata jibu ndio hilo hilo

No reforms No Election
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyoshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msururu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao
Ili tuelewane weka mfano wa nchi ya kiafrika ambayo imewahi kukemea mienendo ya chaguzi za Tanzania na Zanzibar. Kumbuka aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar alisema "CCM haijawahi kushinda uchaguzi".
 
Viongozi gani wa Africa wa kuheshimika ambao CHADEMA inaweza kuwaamini katika harakati zao??
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Mwenyekiti wao mropokaji anaesota korokoroni anajaribu kuimpact slavery mentality kwa wanachadema kwamba EU ndio tegemeo lao licha ya kua kwenye mjadala wa jana bunge la EU, nadhani ulikua na wabunge wasiozidi 20, na ni rafiki yake Lisu tu ndie alie jaribu kuikosoa Tz tena kwa kukiri kua hakua na details information ya kinachoendelea huko Tz ambako mropokaji wa upinzani anasota korokoroni.

kwa kifupi,
wabunge wengi wa EU wamekosoa sana demokrasia ya Ujerumani na ufaransa ambayo iko at risk, huku Rassia na China wakionekana kua na nguvu zaid na kufanya vizuri zaid katika kuimpact aina ya demokrasia yao Africa 🐒
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyoshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msururu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao
1) This is too simplistic!
2) Mimi kama mdau wa sheria, hoja ya Tundu Lissu ni ya msingi kisheria: kwamba 'justice delayed is justice denied', na kwamba 'justice must not only be done, but also must be seen to be done'.
3) Unapomshtaki mtu kwa kosa kubwa kama uhaini, ambalo adhabu yake ni hukumu ya kifo, lazima uhakikishe kama huna ushahidi unaojitosheleza, umwachie huru mshtakiwa kwa sababu hukumu ya kifo ikishatolewa ni irreversible, na kuendelea kuhairisha kesi isipelekwe mahakama kuu, ambako ndiko itakaposikilizwa, ni kuchelewesha haki, na kuchelewa haki ni kutotenda haki kwa wakati.
4) Kwa nchi kama Tanzania, ambayo kwa miaka mingi imekuwa nchi rafiki na mataifa mengi duniani, na imesaidia harakati za ukombozi barani Afrika, na kuwa nchi inayoaminika kimataifa, taswira ya kuhairisha kesi 'mara kwa mara', kwa maoni yangu, hakuwezi kutafsiriwa kuwa ni 'effectiveness na efficiency' ya prosecution.
5) Hivyo, mataifa yanayoiangalia kesi hii, na kuifuatilia (maana iko live), hayawezi kutafsiri kama kuahirisha huko ni compelling, na kwa msingi huu yanaweza kuona kama kuna 'miscarriage of justice'.
6) Upande wa prosecution though unaona hoja za Tundu Lissu hazina mashiko, bali ni kutafuta huruma ya mahakama, na umma/kimataifa.
7) Upande wa Lissu unaona ni 'kesi ya kisiasa', ambayo kila ikitajwa inahairishwa tena kwa 'stories', na hivyo, hizi 'stories' zinaharibu sifa ya nchi kimataifa.
8) Sisi watazamaji na wasikilizaji/wafuatiliaji ni rahisi kuvutiwa upande mmoja au mwingine (to take sides).
9) Lakini tujiulize, ungekuwa wewe uko kwenye death row, na unakaa na wafungwa wanaosubiria kunyongwa (ambao wsmeshahukumiwa na wewe hujahukumiwa - kwa madai ya Lissu) kwa muda wa zaidi siku 90 kesi bado haijaanza kusikilizwa, na kukaletwa hoja ya kuwaficha mashahidi, na ushahidi umeshakamilika, je ungeona ni dalili za kutendewa haki?
10) Hivi ndivyo nilivyomwelewa Tundu Lissu, ambaye anataka kesi ikasikilizwe mahakama kuu, lakini upande wa prosecution bado wanaendelea kuomba ihairishwe kwenye committal proceedings Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Kwanini serikali inategemea wazungu katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo?
 
CCM mbona ndio inaongoza kutegemea hao wazungu??
Budget ya Taifa inategemea wazungu haohao unaoona CDM inawategemea!
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Sio tu CHADEMA ,HATA NCHI YETU ,NENDA OFISI YA HAZINA FATILIA PESA WANAZOCHUKUA HUKO KWA WAZUNGU
 
Dunia hii ya leo hawa sio wa kuwaamini sana.

Kuna political activist alifungwa huko Belarus tangu 2020 sasa ndio kaachiwa tena Baada ya Trump kuomba aachiwe huru

Kisa kugombea Uraia na uanaharakati
Yaani mtu unanyimwa mpaka access ya lawyers na hata priests

Wazungu kama kumtoa wangemtoa zamani na kukata misaada Yao

Ila wakitaka wanafanya kama tu kuna maslahi
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
WAZUNGU NDIO WATETEZI KWASABAB WANA CHA KUJIDAIA DHIDI YETU, HATA CCM WAKIJA KUWA CHAMA PINZANI HAPO BAADAE NI LAZIMA WATATAKA MSAADA NA SUPPORT KUTOKA KWA WAZUNGU
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
MTOA MADA BADO HAUNA TAARIFA AU UWEZO MZURI WA KUFIKIRIA.

CCM NA SERIKALI YAKE WANAWATEGEMEA WAZUNGU ZAIDI UKILINGANISHA NA JINSI CHADEMA WNAAVOWATEGEMEA HAO WAZUNGU.

MISAADA NA MIKOPO SI VINATOKA HUKOHUKO KWA WAZUNGU? HALAFU TUNAKUJA KUAMBIWA NI PESA ZA BIBI, NI NGUMU CCM KUSIMAMA BILA WAZUNGU.

CCM NI TEGEMEZI KWA WAZUNGU KULIKO JINSI CDM WANAVYOWATEGEMEA HAO WAZUNGU.
 
Tunaamini kwa wazungu kwa vile mamaenu alipopata madaraka alizunguka kwa wazungu akajingaza anaifungua nchi kwa R4 na akapewa pesa sasa huo ufunguaji tuuone!
Alikosea sana Mama kuwafungulia, alifungulia wakora badala ya wanasiasa. Wananchi wanaisubiria serikali iwapelekee maji, umeme, barabara, huduma za afya, elimu, vituo vya polisi pembejeo za kilimo na ufugaji. Wananchi hawasubiri majibu ya maombi kutoka kwa Mungu kupata maji na umeme.

Chadema ya Sasa kama tutacheka nao wanaweza kurudisha Tanzania miaka 30 nyuma. Lazima Hawa jamaa tuwatange ni janga la taifa ili tuhangaike nao sote ili tusitumie muda na rasilimali za kusambazia wananchi maji umeme barabara huduma za afya elimu vituo vya polisi n reli za umeme kujibizana nao.

ATI jamaa anatutishia njau kwamba kama hatutaingilia uhuru wa mahakama kuiamuru imfutie kesi basi wazungu watatunyoosha. Hivi Kuna mzungu Gani anaweza kutunyoosha sisi wakati makampini yao makubwa kama Total, Puma, barrick na mengine makubwa yanafaidika hapa kwetu?. Hebu wajaribu waone.
 
..tufuate sheria kwasababu the world is watching, na Tanzania ina sifa ya kupigania haki duniani.

..sisi tukianza kuumizana humu ndani dunia itatushangaa, na tutapoteza sifa nzuri ya taifa letu.
Sifa nzuri haikutusaidia kiuchumia miaka 60 ya Uhuru, hebu tujaribu sifa mbaya tuone huenda tukatoboa. Magufuli alipojaribu sifa mbaya akafanikiwa kujenga bwawa kuuuubwa la umeme sehemu ambayo Lissu na wazungu wake walitukataza kujenga, alijenga reli ya kisasa, alijenga madaraja ya juu kwa juu, alihamia Dodoma fasta, hakufungia watu kwa COVID-19 kama Lissu na wazungu walivyotaka, elimu Bure kwa sekondari iliwezekana, Kumbe sifa nzuri kwa wazungu ni upumbavu mtupu.

Kagame ana sifa mbaya lakini jezi za timu za wazungu zimeandikwa Visit Rwanda wakati wanajua kuwa kagame yuko madarakani kwa miaka 30 na anaiba madini ya wacongo.

Kama hatutahangaika na Lissu mapema walahi tutakuja jilaumu huko mbeleni.
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Bila wazungu CHADEMA aiwezi kusimama.. ndiyo maana CHADEMA ikiingia madarakani mali zote tunawapa wazungu.
 
Hangaika uwezavyo ,lakini Wazungu hawajawahi kushindwa kitu. Take it from me Tanzania tupende tusipende lazima TUNDU Lissu aachiwe na turekebishe SHERIA za uchaguzi ili CHADEMA ishiriki. Vinginevyo kilio hakiko mbali.
Waliweza kwa North Korea eti?
 
Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.

Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.

Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.

Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Lisu ni kiongozi mkubwa wa chama cha siasa, kwa hiyo usimzungumzie kama vile just a villageman next to your uncle at Madaga village
 
Sio chadema tuu wana waamimi wazungu watuweusi tunawaamini wazungu .kwasababu siasa imetoka kwao ni mabaki yao kwenyesiasa za africa Mzungu Ana vuna vingi
 
Lisu ni kiongozi mkubwa wa chama cha siasa, kwa hiyo usimzungumzie kama vile just a villageman next to your uncle at Madaga village
Tuambie sheria inayomtaja kua kiongozi wa chama cha siasa ni mtu mkubwa bila kutumia hisia na mihemko.
 
Back
Top Bottom