Kwanini sisiemu inaamini misaada ya wazungu katika bajeti? Ukipata jibu ndio hilo hiloMakamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyoshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msururu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao
Ili tuelewane weka mfano wa nchi ya kiafrika ambayo imewahi kukemea mienendo ya chaguzi za Tanzania na Zanzibar. Kumbuka aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar alisema "CCM haijawahi kushinda uchaguzi".Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyoshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msururu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao
Mwenyekiti wao mropokaji anaesota korokoroni anajaribu kuimpact slavery mentality kwa wanachadema kwamba EU ndio tegemeo lao licha ya kua kwenye mjadala wa jana bunge la EU, nadhani ulikua na wabunge wasiozidi 20, na ni rafiki yake Lisu tu ndie alie jaribu kuikosoa Tz tena kwa kukiri kua hakua na details information ya kinachoendelea huko Tz ambako mropokaji wa upinzani anasota korokoroni.Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
1) This is too simplistic!Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyoshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msururu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao
Kwanini serikali inategemea wazungu katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo?Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Sio tu CHADEMA ,HATA NCHI YETU ,NENDA OFISI YA HAZINA FATILIA PESA WANAZOCHUKUA HUKO KWA WAZUNGUMakamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Mbona haimkati Bashite na Sabaya?Sheria ni msumeno
WAZUNGU NDIO WATETEZI KWASABAB WANA CHA KUJIDAIA DHIDI YETU, HATA CCM WAKIJA KUWA CHAMA PINZANI HAPO BAADAE NI LAZIMA WATATAKA MSAADA NA SUPPORT KUTOKA KWA WAZUNGUMakamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
MTOA MADA BADO HAUNA TAARIFA AU UWEZO MZURI WA KUFIKIRIA.Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Alikosea sana Mama kuwafungulia, alifungulia wakora badala ya wanasiasa. Wananchi wanaisubiria serikali iwapelekee maji, umeme, barabara, huduma za afya, elimu, vituo vya polisi pembejeo za kilimo na ufugaji. Wananchi hawasubiri majibu ya maombi kutoka kwa Mungu kupata maji na umeme.Tunaamini kwa wazungu kwa vile mamaenu alipopata madaraka alizunguka kwa wazungu akajingaza anaifungua nchi kwa R4 na akapewa pesa sasa huo ufunguaji tuuone!
Sifa nzuri haikutusaidia kiuchumia miaka 60 ya Uhuru, hebu tujaribu sifa mbaya tuone huenda tukatoboa. Magufuli alipojaribu sifa mbaya akafanikiwa kujenga bwawa kuuuubwa la umeme sehemu ambayo Lissu na wazungu wake walitukataza kujenga, alijenga reli ya kisasa, alijenga madaraja ya juu kwa juu, alihamia Dodoma fasta, hakufungia watu kwa COVID-19 kama Lissu na wazungu walivyotaka, elimu Bure kwa sekondari iliwezekana, Kumbe sifa nzuri kwa wazungu ni upumbavu mtupu...tufuate sheria kwasababu the world is watching, na Tanzania ina sifa ya kupigania haki duniani.
..sisi tukianza kuumizana humu ndani dunia itatushangaa, na tutapoteza sifa nzuri ya taifa letu.
Bila wazungu CHADEMA aiwezi kusimama.. ndiyo maana CHADEMA ikiingia madarakani mali zote tunawapa wazungu.Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Waliweza kwa North Korea eti?Hangaika uwezavyo ,lakini Wazungu hawajawahi kushindwa kitu. Take it from me Tanzania tupende tusipende lazima TUNDU Lissu aachiwe na turekebishe SHERIA za uchaguzi ili CHADEMA ishiriki. Vinginevyo kilio hakiko mbali.
Lisu ni kiongozi mkubwa wa chama cha siasa, kwa hiyo usimzungumzie kama vile just a villageman next to your uncle at Madaga villageMakamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Sio chadema tuu wana waamimi wazungu watuweusi tunawaamini wazungu .kwasababu siasa imetoka kwao ni mabaki yao kwenyesiasa za africa Mzungu Ana vuna vingiMakamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia.
Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is watching)kwa jicho baya. Anasema Tanzania inachafuliwa na kesi yake. Yaani watanzania 65,000,000 wanachafuliwa na Lissu kuwa mahabusu. Tena wanachafuka huko Ulaya.
Wazungu watakuwa wapumbavu kama wanaiona Tanzania kama nchi inayochafuka kwakuwa Lissu ameashitakiwa mahakamani na kesi inaendelea kusikilizwa, ila Marekani haikuchafuka wakati Trump alipokuwa na msululu wa kesi zinazomkabili.
Chadema wanapush hard wazungu watuadhibu kama vile wazungu ndio wanaodhamini harakati zao za kuelekea Ikulu.
Tuambie sheria inayomtaja kua kiongozi wa chama cha siasa ni mtu mkubwa bila kutumia hisia na mihemko.Lisu ni kiongozi mkubwa wa chama cha siasa, kwa hiyo usimzungumzie kama vile just a villageman next to your uncle at Madaga village