Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?

Lisu ni kiongozi mkubwa wa chama cha siasa, kwa hiyo usimzungumzie kama vile just a villageman next to your uncle at Madaga village
Viongozi kama yeye wako wengi sana Afrika. Lissu hana tofuti na Mobutu, Tinubu, Kagame, Museveni, Paul Biya, nk. Ni kibaraka anaeimba wimbo wao. Mimi napenda mabadiliko lakini yanayotokana na matakwa yetu
 
Linapoongelewa suala la haki wazungu wanaoonekana wanahusika na cdm, ila kwenye misaada ya fedha,etc wazungu ni WA ccm
 
..binafsi naona si vyema wazungu kuwapa kipaumbele katika masuala yetu,kama nchi lakini kwa muenendo wa sasa katika nchi yetu hatuna budi kuwa invite na wao ili waoneshe walicho nacho.

kwasababu kama baadhi yetu tunajiona keki kanakwamba matumbo yetu ni bora kulikoni Tanzania. na tunashindwa kujitawala vyema kwa kukaa mezani basi wazungu wahusike tu. pengine akili itakuja hao hadi wazungu watuvushe salama au vibaya.
 
Ni kwakuwa Kavulata wapo wengi.
 
Naungacmkono hoja zako
 
Wazungu wangekuwa wanawajali watumwa Milioni 60+ wasingemhonga fedhuli mmoja..
 
Wako desperate. Hata wangeambuwa wale kinyesi Ili CCM iathirike, wangekula.
 
Kwanini serikali ya CCM inaamini kwenye misaada ya wazungu kwenye miradi ya Maendeleo na annual budget??😅😅😅😅🤣🤣🤣 Kweli ujinga ni mzigo
 
Tuambie sheria inayomtaja kua kiongozi wa chama cha siasa ni mtu mkubwa bila kutumia hisia na mihemko.
The final level of being smart is just pretending you don’t know anything to make your life easier.
 
Tuamze na wewe kwanini unapendelea kutumia mitandao bayo tekinolojia yake kaleta mzungu😂😂😂😂
 
Baada ya mungu ni mzungu
 
Lissu anataka anaependwa yoyote akipata kura aongoze maana CCM haina mkataba wa kuongoza nchi
 
Na kwanini ccm inaenda kukopa kwa wazungu ?
 


Kwanini ccm wanakopa ela kwa wazungu na sio wahindi?
 
Machadema ni kibaraka wa wazungu wachache.
 
kwa sababu hawana jeshi, hawana polisi, hawana tiss, tofauti na mshindani wao. ccm isingekuwa na hivyo, chadema wangewamudu bila msaada wa wazungu. ukiwa unaonea mtoto wako wa kumzaa kila siku, usishangae akikimbilia kwa jirani kuomba usaidizi akakugeuka kabisa kama haujamzaa vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…