Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?

Ataelewa haya? Ni mambo magumu sana kwa wenye ufahamu wa hapa na pale.
 
Ili tuelewane weka mfano wa nchi ya kiafrika ambayo imewahi kukemea mienendo ya chaguzi za Tanzania na Zanzibar. Kumbuka aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar alisema "CCM haijawahi kushinda uchaguzi".
weka mfano wa nchi ya afrika ambayo imewahi kukemea mienendo ya chaguzi za ulaya na marekani. Misaada iko dunia nzima, hata Marekani inakopa sana China.
 
Bora umefunguka, kumbe aliwahi kukutongoza, hebu weka picha yako ya mgongoni tuone vigezo vilivyomvutia.
Wakati Afrika imehamaki kuhusu kulazimishwa na wazungu kukubali ushoga, Lissu aliambiwa atoe maoni yake kuhusu ushoga, yeye alisema ni haki ya mtu na wasibughuziwe. Yaani anacheza midundo ya wazungu; hatuwezi kumkabidhi nchi huyu tukiamini kuwa atatuvusha. Wenzangu niambieni ni jambo gani ambalo chadema hawakupinga utekelezaji wake. Nitoe mifano ambao chadema walipinga:
1. Kuhamisha wafugaji katikati ya mbuga ya Ngorongoro kupisha wanyama watamalaki
2. Kununua ndege za abiria
3. Kujenga bwawa la Nyerere
4. Kufuta mikataba ya kinyonyaji ya madini
5. Kutaifisha mitambo ya IPTL iliyokuwa inaligharimu taifa
6. Kusitisha lockdown wakati wa covid-19
7. Nchi kukopa
8. Upanuzi wa barabara ya Ubungo-Kimara
9. Ujenzi wa reli ya umeme.
10. Kubinafsisha bandari
11. Kubinafsisha mashirika ya umma
12. Kuuza nyumba za serikali
13. Muungano
14. Uchaguzi.
15. Kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam
16. Kudhibiti uuzwaji wa madini kama Tanzanite na gold.
17. Kutumia pesa za covid 19 kujenga madarasa

Mengi ya haya wanaunga mkono juhudi za wakoloni
 
No reform No election
 
Na k wanini na nyie mnapewa mosaada na mikopo na wazungu ?
 
Ni kama ccm wanavyoamini wazungu kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo
 
Hao ndo maboss zetu watanzania wote mpk waliobebewa mimba tumboni mwa mama zao..!!
 
Na k wanini na nyie mnapewa mosaada na mikopo na wazungu ?
Hata Marekani inapewa mikopo na wajamaa, China. Hapo veeepe? Mzazi mahiri atafanya kila kitu wanawe wale; hata ikibidi kushikishwa ukuta.
 
Ni kama ccm wanavyoamini wazungu kwenye ujenzi wa matundu ya vyoo
Wazungu tunawadai, wana hela zetu. Wazungu hawa wanapanga bei za bidhaa zao wanazotuuzia na bidhaa zetu tunazowauzia; hivyo wana hela zetu nyingi sana. Yaani wanashusha bei ya manunuzi na kupandisha bei ya uuzaji; kuna nini hapo. Chadema na Lissu wanatakiwa watoe mbinu mpya za kukwepa dhuluma hizi wanazofanya wazungu kwetu.

Ndio maana sasa hivi mwelekeo wa dunia ni kuelekea Asia na Ulaya Mashariki ambako dhuluma za aina hii zina ahueni.
 
Ndugu Lissu ni kibaraka familia yake iko Ulaya inalishwa na wazungu. Nyumbu wake wanalalamika Mbowe kutohudhuria kesi zake, ni mtanzania yupi amemwona mke wa Lissu akienda mahakamani hata mara moja? Kwanza kuna anaifahamu ht sura yake? Huyo lofa apigwe mvua za kutosha iwe fundisho kwa wapumbavu wenzie.
 
Kwasababu ndio wanowapa ninyi PESA na ndip wanaficha pesa huko kwao MLIZOIBA kwa walala hoi.
 
Wakati nyumbu wanasugua mabenchi pale Kisutu kwenye kesi ya Lissu wafaidika wake (mke na watoto) wanakula bata Ulaya. Nyumbu hawajui kwamba Lissu kuwa mahabusu na kupelekwa mahakamani kama vile yuko kazini; analipwa kwa ajira hiyo. Lissu anapata wapi hela ya kulisha na kusomesha watoto wakke ulaya? Lema na Maria hivyohivyo. Mazuzu wanaacha kazi zao na kwenda kushinda mahakamani.
 
Naona umeandika bila kufikiri.
 
Kwa ujinga huu ndo maana viongozi wa kamati wakuu wa vyombo wameshtakiwa
 
Kwa ujinga huu ndo maana viongozi wa kamati wakuu wa vyombo wameshtakiwa
waliowashitaki wamechanganyikiwa. hawashitakiki hata kidogo wasijisumbue. Wajiandae kwa 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…