Kwanini CHADEMA wanaonekana wa muhimu kuliko vyama vingine awamu ya sita?

Kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake........!
 
Kupitia CHADEMA raia wanaweza kuwakilisha mawazo yao ktk Bunge la Wananchi


 
Chadema hawanunuliki Kama kina Zitto,Lipumba,shibuda ,Chiyo na wengineo.Ngogwe walikuwa wanajipa umuhimu ambao hawana,ndiyo maana wanaishia kwenye Fiesta.
 
Vyama vyote vimeshaitwa ikulu hakuna uspecial wala nini
 
Hapa tunaongelea umuhimu.
Kwani Rais alipoongea na Zitto,Juma Duni nk mazungumzo yao yalikuwa ayana umuhimu? Ila mazungumzo ya Rais na Mbowe,Mnyika nk ndio yenye umuhimu?

Embu tuambie ya wale yalihusu nini na ya hawa yanahusu nini ili tuone huo utofauti maana sisi wengine tunaona viongozi wa vyama vya Upinzani wamekutana na Rais wao Ikulu ili kujenga mstakabali mwema kwa Taifa lao kama wewe unaona tofauti tunaomba utufahamishe
 
Wanaomba wenyewe kwenda Ikulu au wanaitwa Ikulu?
 
Wewe unaonaje?
 
Chadema hawanunuliki Kama kina Zitto,Lipumba,shibuda ,Chiyo na wengineo.Ngogwe walikuwa wanajipa umuhimu ambao hawana,ndiyo maana wanaishia kwenye Fiesta.
Ewaaa
 
Ndiyo CHADEMA ni chama chenye umhimu kuliko vyama
Sio kwamba CHADEMA wanaonekana ni wa muhimu, huo ndo ukweli. Kuonekana wa muhimu au sio wa muhimu ni kutokana na unavyojibrand na wao ktk hilo wamefanikiwa ukilinganisha na vyama vingine
 
Kwani mkuu Chama gani cha Upinzani top five hakijanywa juice Ikulu awamu hii?
Huu sasa ndiyo utawala bora, yule mwendazake alitaka kuharibu nchi. Sema Mungu findi kweli kweli
 
Mkuu umeua kabisa hapo kwenye paragraph ya mwisho
 
hakina umuhimu wowote, na wanajifanya wa muhimu kwenyw hamna, nilichogundua viongozi wote wa upinzani walimmis sana kwenda ikulu enzi za JPM kumbe wanapapemda bwana
Sasa Jiwe ambaye ni sadist angweza ita nani ikulu, kumbuka kauli yake kuwa atahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani.
 
Utakufa kwa kihoro wewe sukuma gang. Kaa kwa kutulia
 
Kuna Chama kimeshampitisha mgombea Urais wa Chama kingine kuwa Rais miaka 3½ kabla ya uchaguzi wenywewe. Nacho unataka kiitwe Chama cha upinzani?
 
Akienda Zitto msaliti, Lipumba msaliti ila akienda Mbowe na Mnyika wao ni wapinzani wa maana?

Hii siasa ya wapinzani wa CCM ni ya kipumbavu sijawai kuona akili na mawazo yao ni kuitwa Ikulu tu
ccm wajanja wanatumia vizuri madhaifu ya wapinzani ili wasiungane kwa kuwaaminisha cdm ni chama chenye nguvu ambacho hakihitaji kuungana na vyama vingine.
 
Kinana ana mapungufu lakini ana utu. Sio sawa na Mangula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…