Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Halafu kwanini CHADEMA walianzisha hili neno?
 
Sukuma Gang ni masalia ya yule dhalim wa kihutu toka Chato. Masalia hao wanatoka pande mbali mbali za nchi hii,Sabaya, Ndungai,Aly Hapi, Jerry Muro,Sheiza wa JF na wengineo.
 
Wanachadema mtuambia kwanini mnawatenga kanda ya ziwa? Kwanini mnawaita Sukuma gang?
 
Sukuma Gang ni masalia ya yule dhalim wa kihutu toka Chato. Masalia hao wanatoka pande mbali mbali za nchi hii,Sabaya, Ndungai,Aly Hapi, Jerry Muro,Sheiza wa JF na wengineo.
Kwanini mnatumia jina la kabila la wasukuma? Kwani hakuna jina lingine?
 
Sukuma Gang ni masalia ya yule dhalim wa kihutu toka Chato. Masalia hao wanatoka pande mbali mbali za nchi hii,Sabaya, Ndungai,Aly Hapi, Jerry Muro,Sheiza wa JF na wengineo.
Ona unaendeleza ukabila tu. Na kuleta kejeli. Kwahiyo chato haifai kuwepo Tanzania? Kwanini unaleta siasa za kibaguzi? Hivi nyie CHADEMA mtaacha lini ubaguzi? Unataka kuanza kuwabagua watanzania?
 
Yaani 2023 bado unatuletea Tweet za 2021 .... Two years ago!!
 
Najua anafanya propaganda kuwahusisha CDM na jambo Hilo,

Bt issue hii ni tatizo la vyama vyote.

Ndomana nawambia pia CCM waache propaganda mfu.

Tupo pamoja Ktk issues zenye maslah mapana yanchi ndugu TINDO.
 
Gwajiboy ashatolea ufafanuz juu ya hii, maan huko alipo alikanusha kua kiongoz wa push gang!!
 
Yaani 2023 bado unatuletea Tweet za 2021 .... Two years ago!!
Umesoma uzi wangu? Naeleza kwanini hawa CHADEMA waliazisha hili jambo la kuwatukana watu wa kanda ya ziwa? Mimi hapa nataka jibu. Iwe tweet ya 2000 au 2021 ninahaki ya kupatiwa jibu.
Au wewe unaonaje?
 
Ujinga utakuisha lini? Nani kakwambia sukuma gang ni wasukuma?
 
Gwajiboy ashatolea ufafanuz juu ya hii, maan huko alipo alikanusha kua kiongoz wa push gang!!
Sawa kabisa kwanini sasa wasingetumia neno push wakatumia neno la kabila? na hawa CHADEMA ndio wanaendelea kuwatukana watu wa kanda ya Ziwa. Wamo humu JF tunaziona comments zao.
Nauliza kwanini sasa CHADEMA wanafanya hivyo? Lengo lao ni kutugawa watanzania?
 
Kwani dhalimu alipokuwa anajiita msukuma hakuwa na kabila lake?
 
Ujinga utakuisha lini? Nani kakwambia sukuma gang ni wasukuma?
Sukuma maana yake ni nini?
Na gang maana yake ni nini? Wewe mwelevu.
Je, Tanzania kuna kabila linaloitwa sukuma?
 
Kwani dhalimu alipokuwa anajiita msukuma hakuwa na kabila lake?
Jibu swali langu mzee.
Je tanzania kuna kabila liitwalo sukuma?
Je, gang maana yake nini?
Je kabila hilo lipo wapi hapa Tanzania?
 
Wanachadema mtuambia kwanini mnawatenga kanda ya ziwa? Kwanini mnawaita Sukuma gang?
Haitasaidia kuvuruga mkutano wa jumamosi.

Watu Wana hamasa ya kutosha Kumuona mtu MAARUFU zaidi mwaka 2022 Tanzania. Na kusikiza Sera za CDM.

Ndugu AIKAELI FREEMAN MBOWE.
 
Umesoma uzi wangu? Naeleza kwanini hawa CHADEMA waliazisha hili jambo la kuwatukana watu wa kanda ya ziwa? Mimi hapa nataka jibu. Iwe tweet ya 2000 au 2021 ninahaki ya kupatiwa jibu.
Au wewe unaonaje?

Huu ni uzi ama utoto?
 
Mbona unajitia kimbelembele sana wewe! Kanda ya ziwa ni mali ya wasukuma?
Kumbe Sukuma Gang ni wasukuma pekee yao. Asante kwa kunielewesha.
Sasa kwanini CHADEMA wanawatenga wasukuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…