Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mkuu Yoda asante sana kwa michango yako kwenye uzi huu. Very educative.Libya ni mfano wa matokeo ya Udikteta na sio demokrasia, udikteta wa Gaddafi ndio uliosababisha vurugu zote za Libya na taifa kusambaratika. Libya haijawahi kuwa na demokrasia.
Lakini pia maisha bora ya Libya chini ya Qadaffi yalitiwa chumvi sana.Na ndivyo jinsi madikteta wenye akili wanavyofanya hata kama ni walafi, basi wanawakumbuka na wanyonge... Familia ya Gaddafi enzi za uhai wake walikula sana Bata, watoto walijichotea sana mihela lakini pia baba yao w
aliboresha maisha ya wanainchi wa Libya.
Sasa viongozi wa CCM wanashindwa nini kufanya hivyo?
Kwa rasilimali zilizopo hapa nchini viongozi wa serikali ya CCM Wana uwezo wa kukwapua mabilioni ya pesa kadri watakavyo, wakati huo pia wanaboresha maisha ya Kila mtanzania kiasi Cha watanzania hao kutowaabugudhi kabisa watawala hao wa CCM.... Ila wanachofanya ni kufisadi mchinkwa sana huku wakizidi kuongeza ugumu wa maisha kwa watanzania, sababu ni nini hasa? Ni kukosa maarifa ya kiongozi au??
Sahihi kabisaSi Udikteta wala Demokrasia zinatoa utajiri kwa nchi. Ni Viongozi wenye nia za kuleta maendeleo kwa nchi na si Wizi au Ulaghai
Baada ya Gaddafi kuondolewa hawakuchagua viongozi kidemokrasia???Libya ni mfano wa matokeo ya Udikteta na sio demokrasia, udikteta wa Gaddafi ndio uliosababisha vurugu zote za Libya na taifa kusambaratika. Libya haijawahi kuwa na demokrasia.
Siyo system ya utawala peke yake inayoleta maendeleo, commitments, fulfilling obligations and responsibilities inapaswa kuanzia kwenye grassroots. Asilimia kubwa ya raia wakiwa na ile drive ya kusukuma maendeleo kila mmoja katika eneo lake slowly but surely nchi lazima inyanyuke kiuchumi.OK OK OK kwa hiyo Kenya na Zambia zinaokoteza tu matapeli
Hiyo hoja ya watu kukimbilia kwenye mataifa ya Magharibi huwa ni moja wapo ya hoja za kipumbavu na sijui ni kwann huwa mnaiendekeza.Wachina wengi wanakimbilia kuishi na kuwa wakazi Marekani lakini ni nadra kukuta Mmarekani anaenda kuweka makazi ya kudumu China. Raia wengi wa Iran, Urusi, Uarabuni na Africa wanakimbilia Marekani na Ulaya.
Kama tumekubaliana ya kuwa democracy pekee haiwezi kukuletea maendeleo, basi kila nchi iwe huru kuchagua ni mfumo gani utakao faa kuliongoza taifa lao la msingi huo mfumo uwawezeshe raia wa nchi husika kuishi maisha mazuri.Libya ni mfano wa matokeo ya Udikteta na sio demokrasia, udikteta wa Gaddafi ndio uliosababisha vurugu zote za Libya na taifa kusambaratika. Libya haijawahi kuwa na demokrasia.
Nani kakudanganya kwamba demokrasia ni utawala bora?Demokrasia ni utawala bora.
Sasa ki vipi utawala bora usiwe kichochezi cha maendeleo katika nchi ?
Mbona gambia ina watu wachache kuliko Qtaar na bado ni masikini bora hata Tz ?Qatar wana watu wachache, nchi ndogo, na fedha nyingi. Hiyo ndio imewezesha kuwa na maendeleo. Wangekuwa nchi kubwa, na watu wengi, kama Nigeria pasingekalika.
Unalosema ni kweli, yapo mambo mengine ambayo hayakuwepo ila watu waliongeza chumvi... Lakini yapo mengi sana ambayo ni ya kweli kama vile wanainchi wa Libya kutokulipa bills za umeme na maji, elimu Bure kwa ngazi zote, matibabu Bure na endapo kama Kuna ulazima wa kwenda kutibiwa nje basi serikali ndio iligharamia na wanainchi kupewa nyumba za kuishi hasa wale waliokuwa hawana uwezo.... Haya yote yalifanyika japo ni katika substandard.Lakini pia maisha bora ya Libya chini ya Qadaffi yalitiwa chumvi sana.
Tulisikia 'Libia ukioa unalipiwa mahari na unapewa nyumba''.
Niliongea na mtu aliekuwa anaishi Libya anasema sio kweli.
Ni kweli Gadafi alijitahidi, lakini sifa nyingi zilikuwa propaganda za uwongo, kama ilivyo kwa Paulo Kagame.
Imebaki historiatanzania ya ujamaa kama china iko wapii
Cheap excuse, hakuna nchi ya Afrika iliyopigwa tukio eti kwa sababu uchumi wake unakua kwa kasi.Umesah
umesahau pointi moja muhimu sana. Uchumi wa Afrika unasimamiwa na mabepari. Nchi ikienda speed kimaendeleo, itapigwa tukio ili kuipunguza kasi.
Hii ndiyo sababu kubwa ya umaskini wa nchi zetu.
Na Mimi nazidi kusisitiza kuendekeza demokrasia kwa nchi yeyote ambayo Bado inajitafuta ni kujichimbia kwenye umasikini...Mabadiliko yapo, ile ni VERY NEGATIVE KWAO..!!
Umeme ulikuwa bure, sasa ipoje?
Matibabu ilikuwa bure, je sasa?!!
Elimu ilikuwa bure, saa hii je?
etc
DEMOKRASIA NI ADUI WA MAENDELEA...!!!
Vipi kuhusu Nigeria na Angola zote si zina mafuta kama waarabu?Watu wengi hawaelewei hili, wanafikiria udikteta wa watawala wa nchi zenye mafuta uarabuni ndio umezisaidia sana hizo nchi.
Kinachozibeba familia za Kifalme uarabuni ni kwamba pesa wanazopata za mafuta na gesi ni nyingi sana kiasi kwamba wanajichotea za kwao kuwafanya mabilionea na bado zinabaki nyingi tu za kufanya maendeleo kwa raia.
Demokrasia ni neno pana. Wengi wanahusisha demokrasia na uchaguzi au vyama vingi jambo ambalo ni kosa. Na pia: demokrasia bila uwajibikaji ni bure. Unakuwa na demokrasia ya corruption utegemee maendeleo?Demokrasia haileti maendeleo..
Nchi za kiarabu wana demokrasia? Lakini angalia walipo... Qatar unaionaje?
Demokrasia pekee ilete maendeleo? Au udiktekta pekee ulilete maendeleo? Maendeleo yanaletwa na uwajibikaji.Mabadiliko yapo, ile ni VERY NEGATIVE KWAO..!!
Umeme ulikuwa bure, sasa ipoje?
Matibabu ilikuwa bure, je sasa?!!
Elimu ilikuwa bure, saa hii je?
etc
DEMOKRASIA NI ADUI WA MAENDELEA...!!!
Sahihi kabisa... Kila mtu ajiongoze kwa mfumo ambao anaona una mfaa, maswala ya kupangiana pangiana Kila mtu afuate mfumo Fulani ndio udikteta wenyeweKama tumekubaliana ya kuwa democracy pekee haiwezi kukuletea maendeleo, basi kila nchi iwe huru kuchagua ni mfumo gani utakao faa kuliongoza taifa lao la msingi huo mfumo uwawezeshe raia wa nchi husika kuishi maisha mazuri.
Hazina mafuta kama Waarabu,Vipi kuhusu Nigeria na Angola zote si zina mafuta kama waarabu?
Mbona Gambia ni ndogo kama Qatar na iliongozwa na dikteta na hakuna maendeleo? Nimekwambia Afrika tunatakiwa kuishi kienyeji bila maserikali. Si udikteta, wala demokrasia, unaotufaa.Mbona gambia ina watu wachache kuliko Qtaar na bado ni masikini bora hata Tz ?
Na vipi Saudia yenye watu wengi mbona ni tajiri?
Hawakuchagua viongozi, wamekuwa wanapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe. Dikteta Gaddafi aliacha ombwe kubwa la uongozi nyuma yake lililojazwa na warlords wengi.Baada ya Gaddafi kuondolewa hawakuchagua viongozi kidemokrasia???
Na kwanini wameshindwa kurejea kwenye Hali ya utulivu na kujenga uchumi imara kuliko kipindi Cha Gaddafi maana Sasa hivi wako huru Zaid?