Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Demokrasia ni indicator kuu na muhimu ya utawala bora kama unafanya ranking ya ubora wa utawala.Kimsingi Demokrasia sio main indicator ya utawala Bora, na neno utawala Bora likoo too subjective.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demokrasia ni indicator kuu na muhimu ya utawala bora kama unafanya ranking ya ubora wa utawala.Kimsingi Demokrasia sio main indicator ya utawala Bora, na neno utawala Bora likoo too subjective.
Ni kweli, kubadilika lazma tubadilishe mfumo wa utoaji haki. Adhabu zikiwa kali hamna mtu atasogelea rushwa.Kwani hao viongozi walioko juu wanatoka mbinguni mkuu?siwanatoka miongoni mwa jamii yetu?
Tatizo la waafrica Sio uongozi bali ni mfumo wa kifkira kwenye jamii yetu ,na ndio maana mtu utamkuta anapiga kelele kuhusu ufisadi lakini akipewa nafasi ya uongozi badala ya kuondoa huo ufisadi alio kuwa anaupigia kelele yeye ndo anaenda kuwa fisadi mara 10 ya aliye mtangulia.
Sasa hivi mfano chadema akachukua nchi nakuhakikishia hakuna chochote kitakacho badilika ndani ya nchi hii.
Uongo hakuna kitu kama hicho.....!! Kwa watu ambao tayari mko brainwashed na western ideologies ndio mtaamini hivyoDemokrasia ni indicator kuu na muhimu ya utawala bora kama unafanya ranking ya ubora wa utawala.
Kila binadamu mwenye akili timamu anataka freedom of speech, mahakama huru, uhuru wa imani na kuchagua watu wa kumuongoza katika uchaguzi uhuru.Uongo hakuna kitu kama hicho.....!! Kwa watu ambao tayari mko brainwashed na western ideologies ndio mtaamini hivyo
kwa tafsiri yako basi US pia ni nchi ya kidikteta, maana inaongozwa na Uniparty!Amekosea kidogo kusema mtu mmoja, kuna
Junta dictatorship,
Party dictatorship,
Theocracy
same as US, state department na Pentagon wamehodhi nguvu zote,..... au tuseme MIC wamehodhi nguvu zote kiasi raisi wa nchi hana kauli kwao!Kuna udikteta wa kichama na hapo ndipo China alipo Xi anaweza asiwe na nguvu yoyote lakini chama cha kikomunisti kikawa kimehodhi nguvu zote
Uniparty ni nini??kwa tafsiri yako basi US pia ni nchi ya kidikteta, maana inaongozwa na Uniparty!
Unaelewa majukumu ya State Department na Pentagon?same as US, state department na Pentagon wamehodhi nguvu zote,..... au tuseme MIC wamehodhi nguvu zote kiasi raisi wa nchi hana kauli kwao!
kifupi kila nchi ina aina yake ya utawala ambapo ukichunguza utagundua kuna elements za udikteta!
Kifupi, demokrasia ni adui wa maendeleo..!! Watu watahoji na kutaka kupewa demokrasia kwenye kulipa kodi.Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
Kwanini uiseme Kenya na Zambia na sio yakwako?Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
Sababu mojawapo kubwa ya mapinduzi ya Marekani na vita vya kupigania uhuru ni wakazi wa Uingereza waliohamia kwenye koloni la Marekani kutozwa kodi bila kuwa na uwakilishi bungeni.Kifupi, demokrasia ni adui wa maendeleo..!! Watu watahoji na kutaka kupewa demokrasia kwenye kulipa kodi.
Kila binadamu mwenye akili timamu anapenda maendeleo kwa maana ya upatikanaji wa huduma zote za msingi kwanzia yeye mwenyewe na vizazi vijavyo.Kila binadamu mwenye akili timamu anataka freedom of speech, mahakama huru, uhuru wa imani na kuchagua watu wa kumuongoza katika uchaguzi uhuru.
Hata wewe unapenda haya kama una akili timamu.
Wachina hawajawahi kugundua miaka mingi kwamba demokrasia sio kichocheo cha maendeleo, China haijawahi kufikiria hata suala la demokrasia. Kwa miaka 2000 mpaka mwaka 1912 China ilikuwa inatawaliwa na Emperors, baada ya utawala wa emperors kuanguka ikaanza kutawaliwa kama jamuhuri chini ya mtawala wa kijeshi, mwaka 1959 Wakomunisti ndipo wakauipindua utawala uliokuwepo baada ya vita vya muda mrefu.Kwa ufupi tu China waliligundua hili miaka mingi sana kuwa demokrasia sio kichocheo halisi Cha maendeleo hususani kwa taifa ambalo Bado linajitafuta.
Miaka ya 1950s mpaka 1970s mzee Mao alikuja na campaign maalimu ya GLF(Great Leap Forward) ambayo ililenga kuitrasnform China kutoka kwenye agrian economy na kuipeleka kwenye uchumi wa viwanda, campaign ambayo iligharimu mamilioni ya maisha wa wachina, watu walikufa sana na njaa na Mao alipata wapingaji wengi sana. Lakin wapingaji hao hawakuwa na nguvu sababu hapakuwepo na demokrasia ya kimagharibi.
Kwa kipindi chote hicho hawakuendekeza siasa za kidemokrasia uchwara, ilikuwa ni mwendo wa KUPIGA kazi tu, muda wa kupigana majungu na kukosoana kukosoana kiholela mara sijui purukushani za uchaguzi haukuwepo, waliamini katika maono ya Mao Zedong.
Wachina hawaamini Kwenye utawala wa kubadilisha badilisha viongozi kuwa eti ndio chachu ya kupata maendeleo kwa haraka, wao wanaamini kwenye utawala Bora unaozingatia katiba ambayo inaweza ikamuwajibisha mtu yoyote pale anapoikiuka.
Na ndio maana leo hii wameamua kumfanya Xi Jinping kuwa raisi wa kudumu, sababu Wanaamini katika maono yake na pia hawana wasi wowote kuhusu yeye maana katiba yao ni Bora na ipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya China.
Wachina wengi wanakimbilia kuishi na kuwa wakazi Marekani lakini ni nadra kukuta Mmarekani anaenda kuweka makazi ya kudumu China. Raia wengi wa Iran, Urusi, Uarabuni na Africa wanakimbilia Marekani na Ulaya.Kila binadamu mwenye akili timamu anapenda maendeleo kwa maana ya upatikanaji wa huduma zote za msingi kwanzia yeye mwenyewe na vizazi vijavyo.
Na hili kuwezekana sio lazima uishi kwenye demokrasia.
Na Zaid ya hapo mwenye akili timamu hapendi kabisa political Chaos ya aina yoyote, na of course mara nyingi political chaos utaikuta Zaid kwa waendelekeza demokrasia.
Mfano rahisi ni hapo Libya tu.Kifupi, demokrasia ni adui wa maendeleo..!! Watu watahoji na kutaka kupewa demokrasia kwenye kulipa kodi.
Mabadiliko yapo, ile ni VERY NEGATIVE KWAO..!!Mfano rahisi ni hapo Libya tu.
Ajaribu kuwauliza walibya kwamba tangu utawala wa Gaddafi umeangushwa na wao kuletewa hiyo demokrasia Kuna mabadiliko gani ya maana waliyonayo mpaka sasa
Libya ni mfano wa matokeo ya Udikteta na sio demokrasia, udikteta wa Gaddafi ndio uliosababisha vurugu zote za Libya na taifa kusambaratika. Libya haijawahi kuwa na demokrasia.Mfano rahisi ni hapo Libya tu.
Ajaribu kuwauliza walibya kwamba tangu utawala wa Gaddafi umeangushwa na wao kuletewa hiyo demokrasia Kuna mabadiliko gani ya maana waliyonayo mpaka sasa