Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #61
Siamini , imagine ujengee tofali za kuchoma kama yale majengo ya twin tower pale posta ? It doesn't make. SenseKwanini usiweze? Zimeanza kujengewa maghorofa kwa karne nyingi sana kabla ya tofali za Cement🤣
bei za hizo mashine zinaendaje?Bei inatofautiana kulingana na sizes na inategemea imechomwa na mashine za umeme au tanuru la kuni
Tofali ghali sana hizoHivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Mshana kuwa serious, tofali ya Udongo unaipa thamani mbele ya tofali inayochanganywa na saruji na mchangaTofali ghali sana hizo
Huamini au unakataa?🤣Siamini , imagine ujengee tofali za kuchoma kama yale majengo ya twin tower pale posta ? It doesn't make. Sense
Kumbe unatania , haya Engineer wa mnara wa babeli alikuwa mfugale niniHuamini au unakataa?🤣
zinafaa sana na zimetumika for centuries hata Mnara wa babeli ulijengewa hizi tofali🤣
Mwanza karibu na mlango mmoja Kuna jengo la ghorofa 8 limejengwa kwa tofali za kuchomaKumbe unatania , haya Engineer wa mnara wa babeli alikuwa mfugale nini
Udongo wa maeneo ya Mgeninani, na malamba mawili kwa macho yangu nimeuona ni mfinyaz
Dar es Salaam pia hakuna MAWE. Wanajenga msingi kwa tofali.Hivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
Sitanii, nakuambia uhalisiaKumbe unatania , haya Engineer wa mnara wa babeli alikuwa mfugale nini
Itakuwa wamesuka London imara sanaMwanza karibu na mlango mmoja Kuna jengo la ghorofa 8 limejengwa kwa tofali za kuchoma
Kuna hawa wanaobandika baada ya nyumba kujengwa kwa tofali kubwa za cement, don't confuseMwanza karibu na mlango mmoja Kuna jengo la ghorofa 8 limejengwa kwa tofali za kuchoma
Ila haziwezi kuhimili jengola ghorofa 3 kuendelea zinatamba kwa nyumba za chini tuDar es Salaam pia hakuna MAWE. Wanajenga msingi kwa tofali.
Dar kuna mchanga ambao huwezi kutengenezea tofali za kuchoma.
Tofali za kuchoma ndio tofali bora na imara zaidi, ambazo hutumika hata Ulaya
View attachment 3611878View attachment 3611879View attachment 3611880
Mkuu kinachobeba uzito mkubwa kwenye jengo sio kuta ni Beams na Columns. Usishangae sana tofali za kuchoma kujengea ghorofa au majengo makubwa.Siamini , imagine ujengee tofali za kuchoma kama yale majengo ya twin tower pale posta ? It doesn't make. Sense
Nimeliona tangu linaanza kujengwaKuna hawa wanaobandika baada ya nyumba kujengwa kwa tofali kubwa za cement, don't confuse
Acha uongo basi, si umeuliza swali subiri tukujibu au kama unataka ushahidi utaoneshwa sheikhIla haziwezi kuhimili jengola ghorofa 3 kuendelea zinatamba kwa nyumba za chini tu
Inawezekana kabisaNimeliona tangu linaanza kujengwa
Sasa mbona kwenye miradi mikubwa ya serikali mikoani wanasiogopaMkuu kinachobeba uzito mkubwa kwenye jengo sio kuta ni Beams na Columns. Usishangae sana tofali za kuchoma kujengea ghorofa au majengo makubwa.
Wewe ni Engineer au huu mtazamo wako tu??Ila haziwezi kuhimili jengola ghorofa 3 kuendelea zinatamba kwa nyumba za chini tu
Jamii forum. Hatukosi ma engineer , wasomi watakuja kukuprove wrongAcha uongo basi, si umeuliza swali subiri tukujibu au kama unataka ushahidi utaoneshwa sheikh